ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Binafsi natamani watu kama kina Bashiru (Team JPM) aendelea kuwaacha nje ya mfumo, aendelee tu na akina Makamba et al, kuna kitu nataka kujifunza.Akimrudisha Dr Bashiru atakuwa kala bingo. Kwa nini? Ni kwa sababu Dr Bashiru ni kama alivyo Polepole, hao ni asset na ndiyo wanaoonekana na ku reflect Dkt Magufuli na falsafa zake. Akimleta ndani ya mfumo Dkt Bashiru maana yake ataua upinzani ktk kukipata kiti cha 2025 na pia Dkt Bashiru ni mwenye msimamo hata lamba asali ya Mama maana yake ata balance
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app