dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Hilo hawafanyi zaidi ya kupiga siasa uchwara kwenye mambo ya msingi.Basi watuwekee hizo shule top -10 ili kukata mzizi wa majungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo hawafanyi zaidi ya kupiga siasa uchwara kwenye mambo ya msingi.Basi watuwekee hizo shule top -10 ili kukata mzizi wa majungu
Ni ujinga. Yakina Msonde yapo tangia enzi na enzi, saiz yanakuja kuharibu mambo kisa kijitu kimoja? Watanzania pia Waganda wajue, ni mhimu mtu mmoja kumtanguliza mbele(tutamkuta huko huko) ili kusave watu wawili na kuendelea[emoji16] hapa nimechomekea tu. Ilisikika mlevi mmoja akibwabwaja maneno[emoji38]Kila mahali serikali imeamua kwa dhati kabisa kupanda siasa za maji taka
Hahahahahah wanatakiwa walielewe hiloAliyetoa matokeo ndiye anakanusha......wengine tungejuaje Kama chanzo siyo hao NECTA......WaTz siyo wajinga......
Watuambie sasa ni mkoa gani ulioshika mkia? Lazima awepo aliyeshika mkia, msituletee siasa.Baraza la mitihani nchini Necta limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne...
Labda ule wa kaskazini mlimani!Watuambie sasa ni mkoa gani ulioshika mkia? Lazima awepo aliyeshika mkia, msituletee siasa.
Erythrocyte wa Ufipa anahusika bwashee!Aliyetoa matokeo ndiye anakanusha......wengine tungejuaje Kama chanzo siyo hao NECTA......WaTz siyo wajinga......
😂😂😂😂😂 Kweli hata mimi naona itakuwa hivyo.Hakuna ya mwisho zote zimetoka sare
Huyo @Erthrocyte anafanya kazi NECTA? au ni msaidizi wa Msonde? Tz saizi kila jambo tunalifanya kisiasa.......mbona hawajakanusha top 10?......yaani top 10 za mwisho,Mtwara wanashule 9.....Erythrocyte wa Ufipa anahusika bwashee!
Nimeamua kufanya fact check ili kujiridhisha na hiyo orodha uliyoiweka hapo juu (iliyosambaa mitandaoni).Yesu na Mariamu! Kwahiyo shule hizi zipo Somalia au
View attachment 1679167
Bongo move wamekosa kazi sababu serikali imeamua kubeba jukumu la kuigiza movie 😄😄
Kwanini lakini kila kinachotokea Mtwara hawataki tujue?
Hakuna Tena Kiki za wapinzani, ndiyo maana wanatengeneza igizo.Yesu na Mariamu! Kwahiyo shule hizi zipo Somalia au
View attachment 1679167
Bongo move wamekosa kazi sababu serikali imeamua kubeba jukumu la kuigiza movie 😄😄
Kwanini lakini kila kinachotokea Mtwara hawataki tujue?
Kwa sataili hii ya siasa kwenye elimu hata hayo matokeo yenyewe yanaonekana yamepikwapikwa tu haya aminiki tenaBaraza la mitihani nchini Necta limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne...
Wewe hujamuona RC alivyomtolea mimacho Msonde?Huyo @Erthrocyte anafanya kazi NECTA? au ni msaidizi wa Msonde? Tz saizi kila jambo tunalifanya kisiasa.......mbona hawajakanusha top 10?......yaani top 10 za mwisho,Mtwara wanashule 9.....
Wewe unazijua bwashee?Kumbe hizi shule siyo za mtwara yaani hii mitandao unatoa jina Kama Mtwara kumbe siyoView attachment 1679266
😅😅😅Sasa sijui mtamsingizia nani.
Kwenye umeme mlisingizia kunguru... Hapa kwenye elimu mtasingizia nzige japo hawapo