Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

Kila mahali serikali imeamua kwa dhati kabisa kupanda siasa za maji taka
Ni ujinga. Yakina Msonde yapo tangia enzi na enzi, saiz yanakuja kuharibu mambo kisa kijitu kimoja? Watanzania pia Waganda wajue, ni mhimu mtu mmoja kumtanguliza mbele(tutamkuta huko huko) ili kusave watu wawili na kuendelea[emoji16] hapa nimechomekea tu. Ilisikika mlevi mmoja akibwabwaja maneno[emoji38]
 
Hivi hao NECTA walilipa posho za wasahishaji maana kuna mmoja alifungua uzi humu akilalama....isije ikawa wame copy na ku paste. Wabongo tupo vizuri sana kwenye hizo angle, copy and paste...yaani kiulaini tu.
 
Kama shule zilizofanya vizuri mmetuwekea basi na hizo zilizo tereza tuwekeeni ili tumeane moyo
 
Baraza la mitihani nchini Necta limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne...
Watuambie sasa ni mkoa gani ulioshika mkia? Lazima awepo aliyeshika mkia, msituletee siasa.
 
Erythrocyte wa Ufipa anahusika bwashee!
Huyo @Erthrocyte anafanya kazi NECTA? au ni msaidizi wa Msonde? Tz saizi kila jambo tunalifanya kisiasa.......mbona hawajakanusha top 10?......yaani top 10 za mwisho,Mtwara wanashule 9.....
 
Chadema na Bob wine wameshindwa uchaguzi Uganda

Museveni katangazwa mshindi kwa asilimia 58
 
Yesu na Mariamu! Kwahiyo shule hizi zipo Somalia au

View attachment 1679167
Bongo move wamekosa kazi sababu serikali imeamua kubeba jukumu la kuigiza movie 😄😄
Kwanini lakini kila kinachotokea Mtwara hawataki tujue?
Nimeamua kufanya fact check ili kujiridhisha na hiyo orodha uliyoiweka hapo juu (iliyosambaa mitandaoni).

Niliyokutana nayo huko ni yafuatayo;-

Kwa mujibu wa matokeo rasmi ya kidato cha nne mwaka 2020, shule hizo zinashika nafasi zifuatazo kitaifa.
1. Chingungwe 669 kati ya shule 986
2. Lukokoda 739 kati ya shule 986
3. Malocho 3894 kati ya 3956
4. Naputa 2505 kati ya 3956
5. Chanikanguo 3563 kati ya 3956
6. Mtiniko 3250 kati ya 3956
7. Michiga 2123 kati ya 3956
8. Msimbati 3500 kati ya 3956
9. Salama 3784 kati ya 3956

Sasa hata kwa mtu ambaye si mtaalamu sana wa hisabati au takwimu, ni vigumu sana kusema hizo shule tajwa ni shule kumi za mwisho kitaifa.

Source: https://matokeo.necta.go.tz/csee2020/csee.htm

Kuna watu tunaweza kuwa tunawaonea hapa.
 
Nnawasiwasi kuna jinsia ya kiume ilitupwa nje ya top 10 kitaifa kwa kigezo cha jinsia. Yote yanawezekana kama hilo la shule kumi za mwisho lilikuwa limewekwa hivyo lilivyo
 
Baraza la mitihani nchini Necta limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne...
Kwa sataili hii ya siasa kwenye elimu hata hayo matokeo yenyewe yanaonekana yamepikwapikwa tu haya aminiki tena

Ni ubabaishaji tu kila uchwao alooo ... kwakweli Mwlm Nyerere huko ulipo Mungu aishughilikie nia yako uliyokuwanayo

Eti ulituambia tusipobadilisha katiba atakuja kutokea mtu atutawale kwa staili ya u-Mungu mtu cha ajabu, katiba hii wewe ndie ulikua umeikalia kama Baba wa taifa kwahiyo ulituingiza chaka

Binafsi Nyerere sintokusamehe kwa hili kwa sababu hii katiba inatutafuna utu wetu kila siku kwa sababu ya mtu mmoja tu anaejinasibu kuwa yeye ni kiongozi wa malaika
 
Huyo @Erthrocyte anafanya kazi NECTA? au ni msaidizi wa Msonde? Tz saizi kila jambo tunalifanya kisiasa.......mbona hawajakanusha top 10?......yaani top 10 za mwisho,Mtwara wanashule 9.....
Wewe hujamuona RC alivyomtolea mimacho Msonde?
 
Back
Top Bottom