Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

Basi kama ndo hivyo.... Kutakuwa na makunyanzi makubwa na mengi ndani ya NECTA......
 
..mkoa ulioshika nafasi ya mwisho ni upi?

..lazima viongozi wa mkoa huo wawajibike.

..infact, viongozi wote ambao mikoa yao imefanya vibaya ktk mitihani ya kitaifa wawajibishwe.
 
Watakuwa wakisha type huwa wanakimbilia tu habari maelezo kutoa taarifa, hawafanyi proof reading!.

Sasa watuambie hizo shule zimetoka sayari ya Mars, au nayo itakuwa inasingiziwa na "mitandao", basi tufanye Jupiter kwasababu ndio kubwa zaidi.
napenda maneno Haya," proof reading,copy &paste,overlook"jina linarudiax 196.aibu
 
..mkoa ulioshika nafasi ya mwisho ni upi?

..lazima viongozi wa mkoa huo wawajibike.

..infact, viongozi wote ambao mikoa yao imefanya vibaya ktk mitihani ya kitaifa wawajibishwe.
Kuwa wa mwisho haimaanishi kwamba mmefanya vibaya.

Hata shule zote zikifanya vizuri bado atakuwepo wa kwanza na wa mwisho!
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Matokeo haya hayana tofauti na Uchafuzi Mkuu. Hivyo Tanzania tunaweza nini? Kila kitu ni hovyo!
 
Hivi hao NECTA walilipa posho za wasahishaji maana kuna mmoja alifungua uzi humu akilalama....isije ikawa wame copy na ku paste. Wabongo tupo vizuri sana kwenye hizo angle, copy and paste...yaani kiulaini tu.
Ha ha ha ha kwamba hawakulipwa au ipo wapi hyo nyuzi
 
Yaaan ukizama kwenye matokeo yao tu nafasi ipo kimkoa na kitaifa yaaan. Watu wala hawajiongezi
 
Tunaomba necta watoe jedwali la shule 10 la mwisho kama wanavyofanya miaka yote, tujue mbivu na mbichi
 
Tunaomba necta watoe jedwali la shule 10 la mwisho kama wanavyofanya miaka yote, tujue mbivu na mbichi
Kesho kila kitu kitawekwa hadharani!

Kuna mkoa huko kaskazini utawashangaza wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…