johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Waziri mkuu anatokea Lindi!Hii ni baada ya waziri mkuu kuwafokea kwani inautia aibu mkoa alikotoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri mkuu anatokea Lindi!Hii ni baada ya waziri mkuu kuwafokea kwani inautia aibu mkoa alikotoka
Sasa kwanini Necta hawakukanusha hadi walipopigwa mkwara na RC wa Mtwara?Tatizo sio necta,bali itakua hackers wameingiza hicho kipande cha shule 10 za mwisho mwisho..
Nekta wasilaumiwe kwa hili hata kidogo..View attachment 1679367
napenda maneno Haya," proof reading,copy &paste,overlook"jina linarudiax 196.aibuWatakuwa wakisha type huwa wanakimbilia tu habari maelezo kutoa taarifa, hawafanyi proof reading!.
Sasa watuambie hizo shule zimetoka sayari ya Mars, au nayo itakuwa inasingiziwa na "mitandao", basi tufanye Jupiter kwasababu ndio kubwa zaidi.
Basi tutajie wa mwisho wananchi waendele kuwakomaliaHahahaaaa...... Ufipa ingekuwa shule ingesingiziwa kuwa ya mwisho!
Kuwa wa mwisho haimaanishi kwamba mmefanya vibaya...mkoa ulioshika nafasi ya mwisho ni upi?
..lazima viongozi wa mkoa huo wawajibike.
..infact, viongozi wote ambao mikoa yao imefanya vibaya ktk mitihani ya kitaifa wawajibishwe.
Huu ni upumbavu wa hali ya juu.Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne.
Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
===
NECTA YAKANUSHA SHULE MTWARA KUBURUZA MKIA
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limekanusha taarifa za kuwa shule tisa kati ya kumi zilizoburuza mkia katika matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana zinatoka Mkoa wa Mtwara.
Taarifa iliyotolewa na Afisa Habari na Uhusiano wa baraza hilo, John Nchimbi imebainisha kuwa taarifa hizo zililenga kuuchafua mkoa huo na kuwaomba wananchi kuzipuuzia taarifa hizo.
“Baraza linapenda kuujulisha umma kuwa taarifa hizo ni za uongo na zinalenga kuupotosha umma, kuleta taharuki na kudhalilisha Mkoa wa Mtwara.” Amesema Nchimbi
Nchimbi amefikia kutoa kauli hiyo mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa mapema hii leo kulitaka baraza hilo kutoa ufanuzi juu ya taarifa hiyo.
Taarifa: habarileo_tz
Subiri kesho!Basi tutajie wa mwisho wananchi waendele kuwakomalia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sawa......Chadema na Bob wine wameshindwa uchaguzi Uganda
Museveni katangazwa mshindi kwa asilimia 58
Hata aliyeongoza kitaifa alipohojiwa na TBC alishangaa kushika nafasi hiyo. Yeye ni MTU wa movie na muziki.Basi hata walioongoza kwa ufaulu sio kweli!
Kwa maelezo haya hii mitihani inatakiwa urudiwe nchi nzima
Matokeo haya hayana tofauti na Uchafuzi Mkuu. Hivyo Tanzania tunaweza nini? Kila kitu ni hovyo!Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne.
Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
===
NECTA YAKANUSHA SHULE MTWARA KUBURUZA MKIA
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limekanusha taarifa za kuwa shule tisa kati ya kumi zilizoburuza mkia katika matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana zinatoka Mkoa wa Mtwara.
Taarifa iliyotolewa na Afisa Habari na Uhusiano wa baraza hilo, John Nchimbi imebainisha kuwa taarifa hizo zililenga kuuchafua mkoa huo na kuwaomba wananchi kuzipuuzia taarifa hizo.
“Baraza linapenda kuujulisha umma kuwa taarifa hizo ni za uongo na zinalenga kuupotosha umma, kuleta taharuki na kudhalilisha Mkoa wa Mtwara.” Amesema Nchimbi
Nchimbi amefikia kutoa kauli hiyo mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa mapema hii leo kulitaka baraza hilo kutoa ufanuzi juu ya taarifa hiyo.
Taarifa: habarileo_tz
Ha ha ha ha kwamba hawakulipwa au ipo wapi hyo nyuziHivi hao NECTA walilipa posho za wasahishaji maana kuna mmoja alifungua uzi humu akilalama....isije ikawa wame copy na ku paste. Wabongo tupo vizuri sana kwenye hizo angle, copy and paste...yaani kiulaini tu.
Yaaan ukizama kwenye matokeo yao tu nafasi ipo kimkoa na kitaifa yaaan. Watu wala hawajiongeziNimeamua kufanya fact check ili kujiridhisha na hiyo orodha uliyoiweka hapo juu (iliyosambaa mitandaoni).
Niliyokutana nayo huko ni yafuatayo;-
Kwa mujibu wa matokeo rasmi ya kidato cha nne mwaka 2020, shule hizo zinashika nafasi zifuatazo kitaifa.
1. Chingungwe 669 kati ya shule 986
2. Lukokoda 739 kati ya shule 986
3. Malocho 3894 kati ya 3956
4. Naputa 2505 kati ya 3956
5. Chanikanguo 3563 kati ya 3956
6. Mtiniko 3250 kati ya 3956
7. Michiga 2123 kati ya 3956
8. Msimbati 3500 kati ya 3956
9. Salama 3784 kati ya 3956
Sasa hata kwa mtu ambaye si mtaalamu sana wa hisabati au takwimu, ni vigumu sana kusema hizo shule tajwa ni shule kumi za mwisho kitaifa.
Source: https://matokeo.necta.go.tz/csee2020/csee.htm
Kuna watu tunaweza kuwa tunawaonea hapa.
Bora iwe hivi ili mikoa isidhalilikeHakuna ya mwisho zote zimetoka sare
Tunaomba necta watoe jedwali la shule 10 la mwisho kama wanavyofanya miaka yote, tujue mbivu na mbichiBaraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne.
Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
===
NECTA YAKANUSHA SHULE MTWARA KUBURUZA MKIA
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limekanusha taarifa za kuwa shule tisa kati ya kumi zilizoburuza mkia katika matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana zinatoka Mkoa wa Mtwara.
Taarifa iliyotolewa na Afisa Habari na Uhusiano wa baraza hilo, John Nchimbi imebainisha kuwa taarifa hizo zililenga kuuchafua mkoa huo na kuwaomba wananchi kuzipuuzia taarifa hizo.
“Baraza linapenda kuujulisha umma kuwa taarifa hizo ni za uongo na zinalenga kuupotosha umma, kuleta taharuki na kudhalilisha Mkoa wa Mtwara.” Amesema Nchimbi
Nchimbi amefikia kutoa kauli hiyo mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa mapema hii leo kulitaka baraza hilo kutoa ufanuzi juu ya taarifa hiyo.
Taarifa: habarileo_tz
Kesho kila kitu kitawekwa hadharani!Tunaomba necta watoe jedwali la shule 10 la mwisho kama wanavyofanya miaka yote, tujue mbivu na mbichi
Thubutuuuuuuuu.Labda ule wa kaskazini mlimani!
Weka ya 2020 sasa.Haya matokeo ni ya 2016 siyo 2020. Wewe ni utopolo sana!
Ukiyaweka hapa tutanenepa!??Ingia website ya NECTA