incognitoTz
Senior Member
- Apr 19, 2019
- 133
- 172
Wewe ndio unaleta ujinga.Aliyetoa matokeo ndiye anakanusha, wengine tungejuaje Kama chanzo siyo hao NECTA. Watanzania siyo wajinga.
[emoji23][emoji23][emoji23]Basi watuwekee walioshika mkia ili tuendelee kuwapa za uso.
Kwani haya matokeo tumeyapata wapi? Top ten za mwisho zote za Mtwara,moja inatoka Tanga.......kama unaona kwenu kunadhalilika nenda kahamasishe waache kucheza ngoma nakupenda shule,kulia lia wakati mmetoa masifuri mengi na hujawajibika ni ujinga.....Wewe ndio unaleta ujinga.
Ukitaka tukuelewe lete ushahidi kwamba taarifa ile inayodai Mtwara wameingiza nafasi 9 ktk nafasi 10 za shule zinazoshika mkia kitaif ni taarifa ilitolewa na NECTA.
Ndio tuletee video au nyaraka rasmi iliyotolewa na baraza.
Sio unakandia kijingajinga..
Wanasema eti Kilimanjaro ndio imeshika mkia!Kwani haya matokeo tumeyapata wapi? Top ten za mwisho zote za Mtwara,moja inatoka Tanga.......kama unaona kwenu kunadhalilika nenda kahamasishe waache kucheza ngoma nakupenda shule,kulia lia wakati mmetoa masifuri mengi na hujawajibika ni ujinga.....
🤣🤣🤣🤣🤣Basi watuwekee walioshika mkia ili tuendelee kuwapa za uso.
Ngoja wachaga waje,sisi Wakurya wa Mara hatutaki huo ukorofi, hatuna nenoWanasema eti Kilimanjaro ndio imeshika mkia!
Nadhani watatoa orodha mpya!Huwaa Hawa jamaa wa necta Ni wakurupukaji walisema shule iliyoongoza kitaifa Ni peace land iliyopo mwanzaaa ukiangàlia Ina miziro na mifour kibao wakati st magreth nazani iko moshono Arusha Ina one tisini,wanafunzi wote
Hahahaaaa.........!Ngoja wachaga waje,sisi Wakurya wa Mara hatutaki huo ukorofi, hatuna neno
Penye ushindani hata kama wote watapata 100% wa mwisho lazima awepoHahahaaaa.........!
Kila RC hataki mkoa wake uwe wa mwisho.