Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

Kwaio ni mkoa gani umekuwa mikia ya mwisho sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siasa bana
 
Inabidi necta waweke ufafanuzi la sivyo watu wataanza kuamini Kuna figisu necta
 
Aliyetoa matokeo ndiye anakanusha, wengine tungejuaje Kama chanzo siyo hao NECTA. Watanzania siyo wajinga.
Wewe ndio unaleta ujinga.
Ukitaka tukuelewe lete ushahidi kwamba taarifa ile inayodai Mtwara wameingiza nafasi 9 ktk nafasi 10 za shule zinazoshika mkia kitaif ni taarifa ilitolewa na NECTA.
Ndio tuletee video au nyaraka rasmi iliyotolewa na baraza.
Sio unakandia kijingajinga..
 
Kama kuna shule 10 bora kitaifa lazima kutakuwa na shule 10 za mwisho kitaifa. Sasa sasa (in Lissu's voice) watuwekee hizo za 10 mwisho tuzijue!!
 
Wewe ndio unaleta ujinga.
Ukitaka tukuelewe lete ushahidi kwamba taarifa ile inayodai Mtwara wameingiza nafasi 9 ktk nafasi 10 za shule zinazoshika mkia kitaif ni taarifa ilitolewa na NECTA.
Ndio tuletee video au nyaraka rasmi iliyotolewa na baraza.
Sio unakandia kijingajinga..
Kwani haya matokeo tumeyapata wapi? Top ten za mwisho zote za Mtwara,moja inatoka Tanga.......kama unaona kwenu kunadhalilika nenda kahamasishe waache kucheza ngoma nakupenda shule,kulia lia wakati mmetoa masifuri mengi na hujawajibika ni ujinga.....
 
Wanasema eti Kilimanjaro ndio imeshika mkia!
 
Huwaa Hawa jamaa wa necta Ni wakurupukaji walisema shule iliyoongoza kitaifa Ni peace land iliyopo mwanzaaa ukiangàlia Ina miziro na mifour kibao wakati st magreth nazani iko moshono Arusha Ina one tisini,wanafunzi wote
 
Nadhani watatoa orodha mpya!
 
Back
Top Bottom