Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Iv ukiwa na mwanao unamshauri kazi kati ya uwalimu na ubar medi utamwambia afanye kazi ipi inamasilahiAjira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'.Kipo njia ya Arusha mkabala na ukumbi mmoja maarufu sana uitwao Kuringe social hall.
Mdada analipwa mshahara wake safi wa kawaida halafu kila units za vinywaji anazohudumia kuna commission yake. Nauli ya kwenda na kurudi home wanapewa na msosi wanapewa.
Walevi wakishalewa huwa wana kautaratibu ka kukeep chenchi sana na kusahau masalia ya pesa. Kwakuwa yeye yupo strategic unakuta hela anayokusanya kwa mwezi ni nyingi kuliko wewe mwajiriwa wa Halmashauri idara ya kilimo na uhandisi wako wa hovyo.
Ana gheto safi. Mtoto anaenda shule na anavaa na kula vizuri bila mawazo ya buku 7.
Mabar mad ambao wako strategic na wako vijiwe vizuri wanapiga sana hela. Siyo lazima awe malaya.
Fuatilia mabar mad mijini wanaishi maisha gani. Hamna ambaye ni fala.
Hiyo degree uliyonayo inahusu nini hadi unashindwa kutofautisha kati ya bar maid na bar mad?
Wewe endelea kukopeshwa na kupewa Bima ya low class ambapo hata hospital wanaona mizigo kuwatibiaKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Yote hayo tija yake ni ndogo sana 1.Unaposema kua hakopesheki sio kweli,2.Bima sio kwa wafanyakazi tu Bali hata mkulima au msukuma tololi anaweza kua na bima,3 CV haina faida yoyote kama hauna chapaa 4.Kudanga ni Tabia ya mtu maana wapo waajiliwa wengi tu na WanadangaKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii
Akivitaka ivi anavipata so easy as long as she wanted itKumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii