Barmaid amenisimulia 'take home' yake kwa mwezi na maisha anayoishi mpaka nimejiona fala na degree yangu Halmashauri

Asa mtu karibia kila siku anatoa mbwa tu sasa anakuumizaje kichwa??
 
Sucha a crap argument.
Acheni kazi za serikalini hizo watu wanazitaka.
Yani upo serikalini afu unategemea mshahara tu?
 
Isikuume sana,mimi namwongelea huyo Bar maid.
Nina uhakika Tanzania nzima hakuna bar maid mwenye Bima.Alafu siwazi mikopo mikopo!!
Kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake.
sasa na wewe si ukawe barmaid?
 
Ma bar maid wengi wanadanga. Tena siku hizi ndio wamegeuka machangudoa mahiri. Usiulize nimejuaje.
 
Kila mtu humuona mwenzake ana nafuu mwelezee na kazi yako ilivyo utashangaa mwisho wa sikuu anaitamani ya kwako pamoja na changamoto unazoziona ww
Kila mtu hutamani asichokuwa nacho
 
Hakuna Zaidi ya kuuza K, hizo nyingine mbwembwe tu.
kaka niliwahi kumuliza konda analaza bei gani hapa dar akaniambia round 35000 to 45000 kwa siku ukizidisha mara 30 utapata jibu na pia angalia hapo anakuwa ameshakula na hahitaji usafiri.Zile mia tano tano wanazochukua mabar maid ni nyingi zidisha kwa wateja kumi tu utapata jibu.usidharau kazi ya mtu muhimu ni discline ya hela.
 
Kumbuka kuwa
1.hakopesheki na taasisi kubwa
2.hana Bima ya afya
3.hana CV
4.anadanga
5.akiumwa hapati pesa
6.hana Mfuko wa jamii


unajua maana ya cv?
nyie mnaokopesheka mna nini
bima ya afya Green/gold/plantinum? tena wafanyakazi wa serikali zinafutwa zote mnabaki kwenye line moja ya Panadol za India/Tanzania cjui uko kitengo gani hujajaza form mpya I doubt utakuwa daraja la chini ndo maana hujajaza shortly waulize maboss wako
Ivi kuna mtu asiyemdangaji tena nyie wa mwisho wa mwezi na mikopo ndo mnapewaga lunch tu mashughulikiwa

mfanyakazi gani wa serikalini akiumwa huwa anapata pesa? au unamaanisha huo mshahara wenye madeni

ngoja sheria mpya ije uone raha yake cjui una umri gani hadi unaanza kuwaza mfuko wa jamii asubuh hii
NB hakuna mfanyakazi wa serikalini milionea zaidi ya wezi na mafisadi na wenye acces iyo ni wachache
endelea kuenjoy nyongeza ya 7000
 


Unanikumbusha ule wimbo wa Vijana Jazz...."Bar Maid."
 
kumbe wafungua vizibo,vipozeo vya walevi.
 
Watu wanaongeza sifuri, hakuna jipya. Mnatakiwa mjiongeze na Degree zenu.
 
Post ya kimburula kuliko zote hapa JF, graduate una mawazo mafupi hivo
 
Jambazi anayetumia silaha
akikusimulia wa kwake utajiona fala mara mbili.
bac mkuu kuna umenikumbusha kitaa kwetu kuna mzee wa izo kazi...alikua fala tu....lakini kaz izo znamfanya kanunua mtaa mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…