Barmaid amenisimulia 'take home' yake kwa mwezi na maisha anayoishi mpaka nimejiona fala na degree yangu Halmashauri

😛
 
Nani alokuuliza hayo yote.
 
Security over freedom. ukielewa itapendeza.
Afu wewe bwana,Pm hujibu ila comments zangu unaziona.
Kuajiriwa ni stage moja wapo tunayopitia wengi.Mtumishi ni muajiriwa na barmaid kaajiriwa,tofauti yao ni work 'assurance'.
 
Siku ukikutana na Malaya anayejiuza akakupa story yake I hope utagawa sifuri saba moja tatu.
 
Afu wewe bwana,Pm hujibu ila comments zangu unaziona.
Kuajiriwa ni stage moja wapo tunayopitia wengi.Mtumishi ni muajiriwa na barmaid kaajiriwa,tofauti yao ni work 'assurance'.
Mbona nimekujibu mtoto mzuri. Hebu njoo sasa hivi maana nipo free tujadili mada uliyoianzisha.
 
Ulijuaje ghetto lake?
 
barmaid asikutishe pia ana pesa nyingi sio za halali pia aez kukwambia kua anadanga bila kumuona...ww muone tu mtaan anapeta behind the scene anajua mpig picha
 
Haya


Kaombe kazi bar basi uzichange

Degree chimba shimo fukia
 
Mkuu umenena vema kabisa. Ukifuatilia kipato cha mtu unaweza kufa kabla ya muda wako. Mimi mwenyewe pamoja na MSc yangu laikini wapo jamaa zangu wengi tu niliowaacha darasa la saba wameniacha mbali tu lakini sikati tamaa naendelea kukomaa.
Mbaya zaidi Msc imeongeza CV tu
 
Run your own race, alafu kila kitu ni malengo ukiishi kwa kujiringanisha na kila mtu utashindwa kutimiza yakwako
 
Mkuu ukitaka pia ujione fara na maandazi nenda stend yoyote ya daladala Dar jamaa huwa wana chukua 200 kila gari akipakia sasa jiulize kwa siku ana toka na shilingi ngapi?
Siku hizi gari ikijaa mia tano mkuu wanapeana zamu kuchukua kila mtu anasiku yake
 
Acha Uongo. Ma Barmaid asilimia 90 hulipwa chini ya laki 2.

Wengine hujilipa wenyewe.
 
Pole mkuu njoo nikupe connection kuna bar mpya imefunguliwa inaitwa sansiro ina wateja wengi sana unaweza ukawin maisha fasta san@!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…