Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

Naunga mkono hoja, Mama asisikilize mboyoyo wa kulalamika, ateue yoyote almuradi ana sifa na vigezo, JPM aliset the tone. Na mama nae ateuwe anaowataka.
By the way , huu uenyekiti wa CCM anakabidhiwa lini?
 

Haaaaaahaaaaa...Ili muunde Jamuhuri ya kiislamu Tanzania? Kuna agenda zinafeli kabla hazijaanza. Ni mtu mpumbavu peke yake atakayejaribu kufanya hayo unayomshauri.
Usije kusahau, mlinzi wa Tanzania hajawahi kulala wa kusinzia. Hebu muupeleke upuuzi huu wa udini mbali kabisa na nchi yetu. Kama mnaona mnaonewa, mbona kuna nchi za dini moja nyingi tu. si muende huko!!!
 
Mama hana shida, wewe ndo umejiweka kimbele mbele kumshauri, Mama tayari anawashauri wake, huo ushauri wako hata hahitaji.

Kama mama Hana shida,basi aachwe afanye kazi.

Kwann akiteua watu ambao anataka kufanya nao kazi na mkiona ni waislam mnampigia kelele kuwa ni mdini na akiteua wengine ambao ni christians mnakaa kimya?

Muache kulalamika,huu ukweli mchungu kwenu lakin tutazid kuusimamia
 
Mkuu kwani sisi Wakristo tumesemaje??.Mbona mmeanza kujihami mapema hivi?,Unafikiri sisi tupo km ninyi wazee wa kulalamika?.Mkiamua hata kuteuana wenyewe ngazi zote fresh tu.
 
Daaaaa THE BIG SHOW umerudi baada ya mwenda zake kwenda??

Maalim Gesi inatoka haitoki???
 
Sasa hiyo ni wewe mkuu kuna watu wengine ufuatilia Mambo ya dini
 
Naunga mkono hoja
Rais Samia asiache kutenda haki kwa watu wote bila kuwa na hofu ya kuitwa mdini
Kuna watu nchi hii wanaona tabu kweli waislamu wakipata nafasi ya kuteuliwa kuhudumu serikalini, maana wamezoea kuona kuwa teuzi zinakwenda kwa wingi zaidi kwa watu wa imani yao, sasa wakiona na watu wengine wanapata fursa wanaona kuwa ni kitu cha ajabu.

Nimenotice pia kuwa teuzi nyingi za Samia zinakwenda kwa Wazanzibari au Wairisto wa Bara.
Waislamu wa Bara naona kama hana time nao sana!. Hii haiko sawasawa!
 
NDIYO MAANA ZILE NCHI ZETU ZENYE WAISLAM PEKEE ZINA FUJO NA HAZITAWALIKI. Hivi dini ndizo zinatuletea mkate nyumbani? Na mtu akiwa na dini yako anamaliza matatizo yako? I wish nafasi za uteuzi zingekuwa ni za ku apply kwanza na watu wangeweka numbers badala ya majina kama kwenye mitihani. Mwishoni ndiyo inafanyika vetting kabla ya uteuzi.
 

Really??

Uislam chimbuko kabisa ni hapo Meccah,kama ni dini inayosimamia hayo unayonena,hizo fujo hapo si ndipo pangekuwa kitovu??

Vip kuhusu huko united arab emirates mnakoenda daily,indonesia,malaysia,just to mention but few,hebu kuwa open minded,

Jitahid upate exposure na kusoma,usiwe mjinga.
 

Nimekusoma Mkuu,
 
Jibu hoja mkuu , je Madai yake the big show Yana ukweli au sio ?

Mkuu The hitman,

Nakushukuru Sana,unajua hawa ndugu zetu KWA miaka Mingi Sana wamekuwa na kasumba hii ya kulalamika na kujenga taharuki,wanashindwa kuelewa kuwa zama zinabadirika na maisha pia,

Katika zama kama hizi hauwez tena kufanya mambo kisha yakawa siri yasijulikane,hawataki kukubali ukweli shida yao
 
Daaaaa THE BIG SHOW umerudi baada ya mwenda zake kwenda??

Maalim Gesi inatoka haitoki???

Upo sahihi, mwendazake sisi hatukutaka kabisa ugomvi nae,

Hujawahi hata siku moja ukituskia kumlamikia KWA teuzi za udini pamoja na mambo ambayo alikuwa anafanya,ila tunashangaa mama huyu hata miez miwili hajamaliza,kafanya teuzi moja tuh na kuweka waislam kama wanne,kelele KWA kwenda mbele,eti udini, that's why tunawauliza hawana aibu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…