PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pongezi kwa chama tawala kumbe gerezani Kuna uhuru mpaka mtu kuandika barua? Hakika democracy inadhihirka kwa vitendo, anyway tuendelee kuwa na moyo huo tupeane taarifa sahihi namna hiyo, kwa hofu yangu na moyo wa kizalendo Nina Imani hili pia linapita!
 
Kula ni lazima, hivyo hiyo ni haki namba moja ya binadamu. Unajua sheria za kimataifa mtu akigoma kula akiwa gerezani zinataka nini?
Sheria zinazotumika ni za Tanzania hizo za kimataifa ziache hukohuko
 
Eti mwandiko kwenye ka karatasi kameliwa liwa na panya๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ