Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kula ni lazima Mkuu. Hata waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa wanalazimishwa kula.Hivi gerezani mtu kula ni lazima? Au hiari?
Kula ni lazima Mkuu. Hata waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa wanalazimishwa kula.Hivi gerezani mtu kula ni lazima? Au hiari?
OohKule hamna lazima wala hiari ila kuka utakula ukikataa utaulizwa kwa nini na utabembelezwa
Kweli mei mosi pamoja na kuongeza shekeli lakini wapiNchi ipo kwenye wimbi la utekaji, furaha ya watu kufuatilia mei mosi itatoka wapi.
Hivi gerezani mtu kula ni lazima? Au hi
Hakuna AI apo kiongozi iyo ni human written kabisaa...Huo muandiko sio legit.... Computerized or AI-zed.
Sipingani na Context though!
Jibu sahihi ni "Formating", siyo 'Editing".Ukiangalia unaona haina Editing? labda unielewe maneno hayana Edit yoyote na Editing kwenye Barua za public ni lazima, jibu ni mepata Nani kafanya Hio kazi.....
uko sahihi Bless up ila kama unajua maana ya edit na utofauti wa edit unaeza je tena ukawa huoni edit kwenye hio Picha achana na maneno hio picha Ya Hio barua Haina Edit thats what Im asking?? naunajua je kama naeza fanya editing nzur kuliko hio? im just asking for my own purpose Man Not politicallyJibu sahihi ni "Formating", siyo 'Editing".
Nilielewa toka mwanzo ulichokuwa unalenga. Kuweka picha kuambatana na barua siyo editing.
Na sijasema kuwa barua haziwi 'edited'; na hata sijui wewe msomaji utajuwaje kuwa barua imekuwa 'edited' ikisha rekebishwa.
You are right i was interested with whoever printed that Letter ndio amefanya formating na Editing sio political view its a picture of a letter thats what Im talking about not the LetterJibu sahihi ni "Formating", siyo 'Editing".
Nilielewa toka mwanzo ulichokuwa unalenga. Kuweka picha kuambatana na barua siyo editing.
Na sijasema kuwa barua haziwi 'edited'; na hata sijui wewe msomaji utajuwaje kuwa barua imekuwa 'edited' ikisha rekebishwa.
Semantics, nothing more!uko sahihi Bless up ila kama unajua maana ya edit na utofauti wa edit unaeza je tena ukawa huoni edit kwenye hio Picha achana na maneno hio picha Ya Hio barua Haina Edit thats what Im asking?? naunajua je kama naeza fanya editing nzur kuliko hio? im just asking for my own purpose Man Not politically