Usipende kunitajataja kama huna jambo la maana!
Kwani na wewe una umaarufu wa watu hawa?
Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!
Tuko busy Mbeya huku:
Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude
Mnatuchelewesha!