Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Hana lolote...Ndio utajua hii kama ni lazima ama laa, seat back and relax Tundu ana mbinu 1001 na ndio kwaaanza ana vuta turufu ya kwanza
Hana lolote...Ndio utajua hii kama ni lazima ama laa, seat back and relax Tundu ana mbinu 1001 na ndio kwaaanza ana vuta turufu ya kwanza
MKUU UNA LEVEL GANI YA ELIMU?KWAMBA WEWE MPAKA SASA HUELEWI CHOCHOTE KUHUSU SCANNING YA HAND WRITTING KWA PDF AU WORD>?Huo muandiko sio legit.... Computerized or AI-zed.
Sipingani na Context though!
Unataka umbambikie kesi na yeye?!mke wa lissu yupo wapi?
....ngugddschoYa madhayo
Nn maana ya kula kula hovyo?Hunger strike.
Kumbe Mwanaume hapasi kuendekeza kula kula hovyo.
Katika vitu vinavyoshusha uwezo wa akili kufanya kazi ni kupenda kula kula.Hunger strike.
Kumbe Mwanaume hapasi kuendekeza kula kula hovyo.
Was this necessary broda?Huo muandiko sio legit.... Computerized or AI-zed.
Sipingani na Context though!
UWT muda wote mnawaza ngono na pombe, pumbavu kabisaMke wake chakla ya mbbr....
Kajuaje Mudude kakamatwa? Maana hakuna aliyeenda kumuonaWaliochapisha.
😀😀😀UWT muda wote mnawaza ngono na pombe, pumbavu kabisa
Hayo ni maneno ya Lisu hata Kibatala kasemaKatika vitu vinavyoshusha uwezo wa akili kufanya kazi ni kupenda kula kula.
Kuhusu Mwandiko sio wa Lissu.
Lakini kwa Mimi ninayesoma sana maandiko yake na hotuba zake za kitaifa na kimataifa hizo Lugha ni za Lissu 100%
Unataka uwe mke mdogo?mke wa lissu yupo wapi?
Wifi yake ww lazima ujue kila kituWalishaachana siku nyingi yuko ubelgiji
Sina shaka nayo kabisa hata kidogo.Hayo ni maneno ya Lisu hata Kibatala kasema
kwahiyo asipokula chakula itasamsaidia nani sasa kwa mfano ndugu zanguLeo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga.
Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo,
Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa chini 👇🏾 tafsiri isiyo rasmi
Nalaani vikali shambulio dhidi ya Padre Dk. Charles Kitima na kushambuliwa kwa kipigo kikali na kutekwa kwa Mdude Nyagali. Rais Samia na Serikali yake wanahusika na vitendo hivi viovu vya kigaidi. Natoa wito kwa Rais Samia na serikali yake kuhakikisha kuwa Mdude Nyagali anaachiwa mara moja na anapata huduma ya dharura ya matibabu anayohitaji.
Kwa Padre Kitima, namtakia ahueni ya haraka na kumsihi yeye na Maaskofu wa Tanzania kudumisha misimamo yao thabiti na yenye misingi mikuu katika mapambano ya kudai Tanzania ya haki, usawa na demokrasia.
Kwa viongozi wa CHADEMA, wanachama, wapenzi, na wananchi wa Tanzania kwa ujumla, nawaomba kutokata tamaa wala kukatishwa tamaa katika kupigania demokrasia ya nchi yetu. Ninataka wajue kwamba nipo thabiti kabisa na siyumbishwi, na hakuna kuta za gereza zitavunja roho yangu. Ninawapenda wote, na nitarudi.
P.S. Nisipopelekwa kortini Jumanne kama inavyostahili, nitaanza mgomo wa kula."
Tundu Antiphas Mughwai Lissu.
(Gereza la Ukonga).

Aliyeandikwa, atakuwa alirekodi maongezi yake.Katika vitu vinavyoshusha uwezo wa akili kufanya kazi ni kupenda kula kula.
Kuhusu Mwandiko sio wa Lissu.
Lakini kwa Mimi ninayesoma sana maandiko yake na hotuba zake za kitaifa na kimataifa hizo Lugha ni za Lissu 100%
Mamako angekuzaa bila kulishwa juu na chini?Hivi gerezani mtu kula ni lazima? Au hiari?
Possibly maana Kesi yake nasikia imefanywa kuwa ngumu hata Wakili akienda hawaonani ana kwa ana. Wanapewa simu waongeeAliyeandikwa, atakuwa alirekodi maongezi yake.
Kinachoendelea ni uonevu na ukatili kwa Lisu hata mimi naunga mkono agome kulaSina shaka nayo kabisa hata kidogo.
Ila huyu wakili
Atashindwa kumkaza mamako!kwahiyo asipokula chakula itasamsaidia nani sasa kwa mfano ndugu zangu![]()