- Thread starter
- #81
Inawezekana, ngoja tuone.Inavyoelekea Yakutia na uchaguzi October 2025
Inawezekana, ngoja tuone.Inavyoelekea Yakutia na uchaguzi October 2025
🤣 🤣 🤣Ndio utajua hii kama ni lazima ama laa, seat back and relax Tundu ana mbinu 1001 na ndio kwaaanza ana vuta turufu ya kwanza
Matusi ndiyo hayo mamako anamgea Lissuwe kijana usisumbue wadau wa JF kwa kuporomasha matusi ikiwa huna hoja![]()
Wafungwa wote duniani hata kwa madikiteta Putin na Jom Kim huwa wanapata haki zao wakigoma kuraInawezekana, ngoja tuone.
Huyo mjinga dawa yake nikumignore tu. Niliisha acha kabisa kuona ujinga wake.Matusi ndiyo hayo mamako anamgea Lissu
Umoja wa wanawake Tanzania mke wake ni memba.....UWT muda wote mnawaza ngono na pombe, pumbavu kkabisu
usisumbue wadau wa JF kwa matusi bas gentlemanMatusi ndiyo hayo mamako anamgea Lissu

P.S. Nisipopelekwa kortini Jumanne kama inavyostahili, nitaanza mgomo wa kula."Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga.
Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo,
Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa chini 👇🏾 tafsiri isiyo rasmi
Nalaani vikali shambulio dhidi ya Padre Dk. Charles Kitima na kushambuliwa kwa kipigo kikali na kutekwa kwa Mdude Nyagali. Rais Samia na Serikali yake wanahusika na vitendo hivi viovu vya kigaidi. Natoa wito kwa Rais Samia na serikali yake kuhakikisha kuwa Mdude Nyagali anaachiwa mara moja na anapata huduma ya dharura ya matibabu anayohitaji.
Kwa Padre Kitima, namtakia ahueni ya haraka na kumsihi yeye na Maaskofu wa Tanzania kudumisha misimamo yao thabiti na yenye misingi mikuu katika mapambano ya kudai Tanzania ya haki, usawa na demokrasia.
Kwa viongozi wa CHADEMA, wanachama, wapenzi, na wananchi wa Tanzania kwa ujumla, nawaomba kutokata tamaa wala kukatishwa tamaa katika kupigania demokrasia ya nchi yetu. Ninataka wajue kwamba nipo thabiti kabisa na siyumbishwi, na hakuna kuta za gereza zitavunja roho yangu. Ninawapenda wote, na nitarudi.
P.S. Nisipopelekwa kortini Jumanne kama inavyostahili, nitaanza mgomo wa kula."
Tundu Antiphas Mughwai Lissu.
(Gereza la Ukonga).
Free Him Now.Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga.

Kyela mkuu wanguMkunazi Njiwa habari za Zanzibar
Muulize baba yako hapo kalibu,inaonekana wewe ni kula kulalaHivi gerezani mtu kula ni lazima? Au hiari?
Lissu mhuni mn000.... ale sasa...Ni mambo ya kihuni haswa
UhaynnnFree Him Now.
....akae tu.. si embe..Inavyoelekea Yakutia na uchaguzi October 2025
Heshimu serikali wewe...😆 acha mapambano yaendelee, lazima watumie mbinu nyingi, hizi serikali zetu za afrika ni hawasikii wala kuona.
Unataka umteke kama kawaida yenu makada wa mbogamboga?mke wa lissu yupo wapi?
Analywa na mabbr huko...Unataka umteke kama kawaida yenu makada wa mbogamboga?