Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #61
Hata kama jamaa alikubali usaliti lakini sio kumfanyia hivi, bora angefanya hivyo punde tu baada ya jamaa kukubali kutoka na Ke mwingine tungeelewa ni hasira na chuki dhidi ya usaliti. Hii ya sasa lengo ni mgawanyo wa maliSure mkuu ji mali as a wife si walijubaliana kusimama kwa shida na raha
Angemtafutia lawyer mumewe amtoe huko, angetumia pia huu muda kuwaprove wrong watu ila kuleta mambo ya talaka kunamuongezea jamaa kutoaminiwa na watu, i. Feel sorry for him 😃😃
Hawashindwi kitu wakiamua kufanya mambo yao na kwa ishu kama hizi ni kugusa tu unakua tayari ushapata kesi.Na Kuna siku utasikia mwanamke wake ndio ameinjinia mchongo mzima
Under 18 huyo, utafunguliwa mashtaka ukionekana naeHuyu mwanadada anaetangaza mzuri kinoma
Mbaya zaidi anatuhimiwa tu, Yale Yale ya GreenwoodKwanini asingoje kesi iishe ndio waachane? Lengo lake ni lipi hasa
Greenwood yake si imeisha na Ke wake ni mjamzito. Yake ilikua rahisi kuchomoka kwa sababu yule mwanamke alikua bado anampenda.Mbaya zaidi anatuhimiwa tu, Yale Yale ya Greenwood
Kwa mfano ishu ya mendy wa man city mwisho wa siku jamaa hana hatia. Ila inamgharimu performance yakeMbaya zaidi anatuhimiwa tu, Yale Yale ya Greenwood
Mimi ningemtafuta kibatala tuone tunaweka vipi hili suala 😄Wengi ni raha tu shida ni za mwanaume 😂
Ndio hivyo ila vyombo vya habar, makampuni yaliyomdhamini pamoja na wachezaji wa timu yake walimtenga na kumuhukumu ili hali alikuwa anatuhumiwa.Greenwood yake si imeisha na Ke wake ni mjamzito. Yake ilikua rahisi kuchomoka kwa sababu yule mwanamke alikua bado anampenda.
Kwa kibatala hiyo gharama yake si mtajikuta mmeuza mali zote ili kuendesha kesi 🤣Mimi ningemtafuta kibatala tuone tunaweka vipi hili suala 😄
Ndio jamii ilivyo dhidi ya wanaume kwasasa. Huruma na attention ipo kwa wenzetu zaidiNdio hivyo ila vyombo vya habar, makampuni yaliyomdhamini pamoja wachezaji wa timu yake walimtenga na kumuhukumu ili hali alikuwa anatuhumiwa.
Ref-Wahenga:Aah cover la kitabu husadifu yaliyomo ndani
Nakumbuka back in the day Mike Tyson alishapigwa kabaku style hiyo na Desiree Washington na ikala kwake, some bitches are two headed serpents.Sina uzoefu na mambo ya kisheria ila nadhan mpaka uchunguzi ukamilike
Wanakusetia mchongo tu jamaa anadai kuwa alifanya mapenzi lakini hakubaka walikubaliana.
Ni kuishi nao kwa akili tu ila hawa viumbe ni hatariNakumbuka back in the day Mike Tyson alishapigwa kabaku style hiyo na Desiree Washington na ikala kwake, some bitches are two headed serpents.
Inshallah ZitafikaPole zangu zimfikie huko aliko.
Ngoja tuone itakuaje ila jamaa yupo kwenye wakati mgumu sana.Alves anasema hakubaka, walikubaliana, kwahiyo hiyo ni cheating. Sasa mnaomlaumu huyu mkewe hapa siwaelewi, kwasababu kuna watu wengine, mimi nikiwa ni mmoja wao, hawakubali kushare wapenzi. Mimi nikigundua demu wangu kalala na mtu mwingine huo ndio mwisho wetu. Sina muda wa kazinguana
Hakika kwa niliyoexperience hadi sasa nnaamini uyasemayo.Ukiwa unayo Hela ya kutoshaaa na una enjoy life lako ..
MWANAMKEE C MTU WAKUMSOGELEAA NA KUMFANYA RAFKII..muda wwt anakusalitii...na maumivu yake Huwa yanadumu mpk kifo km utakubLiana na matokeoo.,.