Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Kwa hili bunge la Korea kaskazin hata warushe live watakuwa wanajisumbua tu , Leo nilikuwa naliangalia kwa mara ya mwisho nimemsikiliza KIM JUNG UN hakuna kipya
Korea ya Kusini unayoitaja iko mbali kabisa kimaendeleo kuliko nchi yoyote ya Afrika.
 
Da ningekuwemo. haya ma CCM haya kiboko Yao inakuja ICC.
Mwanzoni matumaini yote yalikuwa kwa Lissu, sasa tena ICC. Wenzako sasa wanazungumzia maelewano na CCM ili wapate ulaji, wewe unazungumzia ICC! Munahangikia watafutaji tu.
 
Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu. Hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda Bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume. Mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.

Sidhani kama kiongozi yeyote tu wa chama anaweza kupeleka majina NEC. Ingekuwa hivyo, NEC wangepokea lists nyingi tofauti kutoka kila chama!
 
Aende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja
Unateseka sana. Na bado tafuta bile kabisa uwe unakunywa kutwa mara 3. Chadema bado ipo ipo sana. Na ruzuku tunachukua.
 
Sidhani kama kiongozi yeyote tu wa chama anaweza kupeleka majina NEC. Ingekuwa hivyo, NEC wangepokea lists nyingi tofauti kutoka kila chama!
Nimeongea na halima bcoz yy ndio alipewa jukumu la kuandika majina but sasa wabunge waliokosa ubunge wanaleta mambo ya wivu wa kike
 
Mfyuuu Sina mda wa kupoteza na mwanaume jogoo wake asiyepanda mtungu, ngoja nikuweke ignore list. Baki na stress zako mfyuuu
Loser....streas unazo wewe. Hadi ukavua chupi ukajua jogoo hapandi mtungi means you are a whore.
 
W
Mbona barabarani hawaendi?
Mbona Hao wanainchi hawajapinga matokeo ya uchaguzi kuwa amechaguliwa mtu ambae wao hawakumpigia kura?

Au ww unazungumzia wanainchi wa dunia gani
Wapi pa kupeleka malalamiko,au kwenye mbeleko zile.
 
Back
Top Bottom