Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Hujatoka hiyo misa ya pili, au unaendesha sunday school?
 
Kwanini wewe usivae sketi kwanza na sidiria tutambue jitihada zako kwa kuwatetea wakina mama? Si watu huandamana kwa namna hizo?
 
Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama
Mimi nilifikiri unataka waende bungeni wakatetee wanawake wenzao na wananchi kwa ujumla.

Kama unafikiria kazi ya mbunge ni kwenda bungeni kutetea chama basi pole sana! Na mfikishie pole zangu za dhati aliyekuwa anakulipia karo ya shule.
 
Nadhani Wakuu hapa jambo la kuangalia sio kupeleka majina tu huko Bungeni, bali kuangalia CHEDEMA wakipeleka majina Bungeni maana yake ni nini? CHADEMA wakipeleka majina kwa ajili ya viti maalum ni sawa na kahalalisha udhalimu wote uliofanywa wakati wa uchaguzi mkuu uliopita. Halima Mdee ni mwathirika wa kila pande na anajua fika kwamba akipeleka majina ni sawa na kukubali aliyofanyiwa jimboni kwake KAWE.

Kinachonishangaza mimi ni kwa nini Bunge, CCM na Serikali ya JPM inahaha kuhusu majina ya viti maalum vya CHADEMA? Wao waliyataka haya mbona sasa wanagwaya tena? Bunge liachwe libaki la CCM . Hakuna kitu hapo. Kila kitu pamoja na madudu ya ajabu yatapita. Hakuna wa kuhoji lolote. Inaelekea ndivyo JPM alivyotaka.
 

Sheria imebainisha vigezo vya chama kustahili kupata wabunge wa viti maalumu. Kama performance ya kila chama cha upinzani kwenye uchaguzi ingekuwa kama ya kile chama cha Mzee Rungwe, hakuna chama cha upinzani ambacho kingekuwa kimekidhi matakwa ya kisheria ya kuwa na wabunge wa viti maalumu na hii debate wala isingekuwepo hapa!
 

Kuna wakati mwingine nimewahi kusema hapa kwamba all blind followers wa Lissu na chama chake wanaitikia rhumba beats za Bob Amsterdam bila wao kujua!

Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu the real logic ya involvement ya huyo foreign political mercenary kwenye uchaguzi wa ndani ya taifa letu wenyewe? Unadhani kuvuruga uchaguzi kwa kutengeneza mazingira ya kuhoji legitimacy ya ushindi wa wagombea wa CCM, ikibidi, haikuwa moja ya objectives zake?
 
Nadhani Wakuu hapa jambo la kuangalia sio kupeleka majina tu huko Bungeni, bali kuangalia CHEDEMA wakipeleka majina Bungeni maana yake ni nini?
Na ni nini athari za hatua hiyo kwa muda mfupi na muda mrefu. Nini image yao katika society!
Nini impact ya hatua hiyo kwa Bawacha waliopigania chama huko vitonojini na ambao hawatakuwa katika 19 wa Mjengoni! Hizi ni baadhi ya hoja wabazotakiwa kuziangalia halafu wafanye maamuzi bila kushawishiwa
Katika vyama vyote wanawake wa Chadema walikuwa na nafasi nzuri sana ya kushinda, wameshindwa wengine kura zikihesabiwa wapo mahabusu. Sasa watafakari hatua watakazochukua kama zinaoana na mazingira waliyopitia. Hili ni shauri wanalopaswa kulijadili si kwa ushawishi wa CCM, Spika au NEC. Ni wao wenyewe
Kinachonishangaza mimi ni kwa nini Bunge, CCM na Serikali ya JPM inahaha kuhusu majina ya viti maalum vya CHADEMA?
Kwakweli si wewe tu wapo wengi. Kuna mahali nimejiuliza '' ukiona Simba na Chui wamebeba mashada ya kwenda kumpongeza Swala katika Birthday'' lazima utafakari sana. Si jambo rahisi wala jepesi! Chui na Simba!!
Wao waliyataka haya mbona sasa wanagwaya tena? Bunge liachwe libaki la CCM . Hakuna kitu hapo. Kila kitu pamoja na madudu ya ajabu yatapita. Hakuna wa kuhoji lolote. Inaelekea ndivyo JPM alivyotaka.
Bunge la sasa ni la CCM wote na hiyo ni nafasi nzuri sana ya kuwaletea maendeleo wananchi.
Sioni kwanini kuna jitihada, Bawacha waachwe na Chadema waamue mustakabali wao.
 
Kwanini mnaoumia chadema kutopeleka majina ya wabunge wa viti maalum ni vijana wa mataga na uvccm?
 
Umesoma communication skills kweli?

Hii ni aina gani ya barua?
 

Hoja yako ni nini hapa? Maana ushenzi wote uliofanyika kwenye uchaguzi huu ili watangazwe washindi tumeuona kwa macho yetu.
 
Kwanini mnaoumia chadema kutopeleka majina ya wabunge wa viti maalum ni vijana wa mataga na uvccm?
Kila mtu ambae yuko against mawazo yako basi ni ccm
 
Unasema wapeleke majina ili wapate wabunge wakakitetee chama! Kwa hivyo wabunge wa Chadema huenda bungeni kutetea chama na si wanachi! Huenda ndiyo sababu wengi wao hawajachaguliwa.
 
Unasema wapeleke majina ili wapate wabunge wakakitetee chama! Kwa hivyo wabunge wa Chadema huenda bungeni kutetea chama na si wanachi! Huenda ndiyo sababu wengi wao hawajachaguliwa.
Una umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…