Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Mwaka gani chadema mlisema uchaguzi ulikuwa huru na haki?

Basi mngekuwa mnagoma miaka yote hiyo shubameeet

Mie si mwanachama wa chama chechote kile, I am a political critic, ukiangalia post zangu zote hapa utagundua kuwa sichagui kumkosoa yeyote yule kiongozi au wanaoleta mada hapa bila kujali chama wanachofuata. Ikiwa sikubaliani nao au wamekosea na wanachosema nakuja hapa na kuwakosoa. Ni ijuu yao kunisikiliza au kutonisikiliza.
 
Si alitaka kwenda kuwasemea Wana kawe? Aende fursa ndo hiyo, huko kwingine ni kujazana upepo tu hakuna lolote!
You have missed the point. Bunge ni sehemu ya serikali, sasa ukishasema kuwa serikali fulani si ya halali halafu unatoka kwenda kuitumikia, huku ni kunya na kujipaka mavi. Aidha unaikubali serikali iliyo madarakani na kuitumikia au kuikataa serikali iliyo madarakani na kuwaachia wale wanayoikubali kuitumikia kisawa.
 
Lumumba jazz band.
 

Majina yanapelekwa na chama sio bavicha. katibu wa cdm ndio anatakiwa apeleke majina. Ubinafsi unawasumbua maana hata katibu mkuu kama mwenyekii wamepigwa chini ubunge. Kinachotakiwa ni kupeleka majina kisha viongozi waitishe mkutano mkuu wahukumiwe kwa uongozi mbaya wa chama.
 

Hawaendi fullstop.
 

KM nadhani alisoma mapema upepo; hakugombea!
 
Salaam wakuu

Niliwahi kuandika barua ya wazi kwa mheshimiwa halima Mdee kuhusu swala la kupeleka majina ya viti maalum.

Nashukuru mungu barua yangu amefanyia kazi na Sasa swala la viti maalum limeisha coz majina yameshakwenda.

Hatuwezi kujenga CHADEMA kwa kugoma na kususa tu kila wakati, najua uwepo wenu bungeni utaleta changamoto flan hata kwa % ndogo

Mungu akubariki sana
 
Siyo ramli chonganishi hii?
 
Hayo majina yamepelekwa na Katibu Mkuu Mnyika au nani mwingine?

Kisheria anatakiwa ayapeleke Mnyika, kama mmewahonga hao wanawake wakayapeleka hilo halitatambulika kisheria.

CCM mtahangaika sana.
 
Mnyika na Faru John na Lissu Amsterdam wamekubali?
 
Hayo majina yamepelekwa na Katibu Mkuu Mnyika au nani mwingine?

Kisheria anatakiwa ayapeleke Mnyika, kama mmewahonga hao wanawake wakayapeleka hilo halitatambulika kisheria.
Pole mkuu! Wamedharau ushauri wako wakususia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…