Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hoja yako ni nini hapa? Maana ushenzi wote uliofanyika kwenye uchaguzi huu ili watangazwe washindi tumeuona kwa macho yetu.
Hujajibu maswali yangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ni nini hapa? Maana ushenzi wote uliofanyika kwenye uchaguzi huu ili watangazwe washindi tumeuona kwa macho yetu.
Mwaka gani chadema mlisema uchaguzi ulikuwa huru na haki?
Basi mngekuwa mnagoma miaka yote hiyo shubameeet
You have missed the point. Bunge ni sehemu ya serikali, sasa ukishasema kuwa serikali fulani si ya halali halafu unatoka kwenda kuitumikia, huku ni kunya na kujipaka mavi. Aidha unaikubali serikali iliyo madarakani na kuitumikia au kuikataa serikali iliyo madarakani na kuwaachia wale wanayoikubali kuitumikia kisawa.Si alitaka kwenda kuwasemea Wana kawe? Aende fursa ndo hiyo, huko kwingine ni kujazana upepo tu hakuna lolote!
Lumumba jazz band.Dada halima najua uko poa kabisa
Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao
Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum
Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu. Hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time
Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama
Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda Bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa
Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume. Mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.
Dada halima najua uko poa kabisa
Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao
Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum
Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu. Hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time
Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama
Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda Bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa
Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume. Mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aendsjina
Majina yanapelekwa na chama sio bavicha. katibu wa cdm ndio anatakiwa apeleke majina. Ubinafsi unawasumbua maana hata katibu mkuu kama mwenyekii wamepigwa chini ubunge. Kinachotakiwa ni kupeleka majina kisha viongozi waitishe mkutano mkuu wahukumiwe kwa uongozi mbaya wa chama.N hivi hawaendi, badilisheni kanuni waende hao wanaume maana wao ndio hawaachagi kwenda. But as how it stands, hakuna atakayekwenda kushiriki bunge la wamwaga damu na wezi wa kura. Na ikitokea wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kwenda, wajue ndio mwisho wetu kujitokeza kupiga tena kura.
Ni kipi wataenda kuongea huko bungeni wakati hotuba zao zote zinahaririwa au kuzuia kusomwa? Huyo Halima Mdee si ndio kila akiwa bungeni akitoa mawazo yake msiyopenda amekuwa akitolewa bungeni, ama mnadhani tumesahau ni mara ngapi mmemfukuza bungeni? Kama mnataka kuwatumia hao wabunge kupata mtakacho, kajipangeni upya.
Hujajibu maswali yangu!
Majina yanapelekwa na chama sio bavicha. katibu wa cdm ndio anatakiwa apeleke majina. Ubinafsi unawasumbua maana hata katibu mkuu kama mwenyekii wamepigwa chini ubunge. Kinachotakiwa ni kupeleka majina kisha viongozi waitishe mkutano mkuu wahukumiwe kwa uongozi mbaya wa chama.

Unasema?!Bungu akubariki sana
Siyo ramli chonganishi hii?Salaam wakuu
Niliwahi kuandika barua ya wazi kwa mheshimiwa halima Mdee kuhusu swala la kupeleka majina ya vitu maalum
Nashukuru mungu barua yangu amefanyia kazi na Sasa swala la viti maalum limeisha coz majina yameshakwenda.
Hatuwezi kujenga chadema kwa kugoma na kususa tu kila wakati, najua uwepo wenu bungeni utaleta changamoto flan hata kwa % ndogo
Bungu akubariki sana
Mnyika na Faru John na Lissu Amsterdam wamekubali?Salaam wakuu
Niliwahi kuandika barua ya wazi kwa mheshimiwa halima Mdee kuhusu swala la kupeleka majina ya vitu maalum
Nashukuru mungu barua yangu amefanyia kazi na Sasa swala la viti maalum limeisha coz majina yameshakwenda.
Hatuwezi kujenga chadema kwa kugoma na kususa tu kila wakati, najua uwepo wenu bungeni utaleta changamoto flan hata kwa % ndogo
Bungu akubariki sana
Then nini wangepata baada ya kususa..??Bora wangesusa.
Pole mkuu! Wamedharau ushauri wako wakususia!Hayo majina yamepelekwa na Katibu Mkuu Mnyika au nani mwingine?
Kisheria anatakiwa ayapeleke Mnyika, kama mmewahonga hao wanawake wakayapeleka hilo halitatambulika kisheria.