Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Usiwe na shaka Halima na wenzie wataingia tu bungeni,mchakato umeshaiva.
Ili kelele ziishe ni lazima viti maalum wawemo bungeni.
 
Mbona ushauri wako umekaa kishakunaku vile?
 

This is a public platform, since is a public platform is not a right place to discus anything serious concerning cdm, ccm and so and so forth. If you have anything constructive, you better take it in the office of that particular party for more discussion if meets their requirements.
 
Hoja hii ni nzuri sana, Halima aligombea Ubunge kawe Kwa ajili ya kutumikia wananchi wa kawe, kwenye Sandusky la Kura alishindwa, nafasi hiyo amepewa anataka nini tena? Apache ushamba wake nenda kawasemee watu wa kawe
 

Hivi jamani nyie wengine mnapoandika huwa mnakisoma mlichokiandika kabla ya kurusha hapa? Utumbo mtupu! Kuingia bungeni ni kukubali kuwa uchaguzi ulikuwa halali. Kama suali la kutetea wanawake, kwani wanawake wa chadema wanatetewa na chadema na wa CCM wanatetewa na ccm? CCM si ishawapitisha wanawake 94 waache hao wawatete wanawake wenzao wote!
 
Hoja hii ni nzuri sana, Halima aligombea Ubunge kawe Kwa ajili ya kutumikia wananchi wa kawe, kwenye Sandusky la Kura alishindwa, nafasi hiyo amepewa anataka nini tena? Apache ushamba wake nenda kawasemee watu wa kawe

Wacha ujinga wewe, nini maana ya kumuita mtu mshamba hasa? Kwa nini aende kushirikiana na wizi bungeni? Mdee mwenyewe alitowa kauli kuwa alikuta kwa macho yako kura feki jimboni kwake, sasa leo mnataka ayakubali matokeo? Huko si kuonyesha kuwa yeye ni muongo hakukuwa na wizi jimboni kwake? Hivi mtu anaemhutumu kukuibia kuku wako akikualika kula ugali na kuku hivi kweli utakwenda ilhali ukijua kuku alipikwa ni wako?
 
Si alitaka kwenda kuwasemea Wana kawe? Aende fursa ndo hiyo, huko kwingine ni kujazana upepo tu hakuna lolote!
 
Tumia akili kabla ya kuandika. Mdee ameshinda Kawe, kwa nini kumnyang'anya ushindi ili kumpa viti vya hisani?
Mbona alianzaga na viti maalumu mwanzo acheni ubinafsi wanaume kukataa uwakilishi wa wanawake very shame
 
Aende akafuate nini, hiyo Halima si ndio mbunge aliyeongoza kwa kufukuzwa huko kwenye hilo bunge kibogoyo kwa uonevu? Ni mara ngapi hotuba zake zimezuiwa kusomwa huko bungeni? Ni hivi, haendi fullstop.
Aende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja
 
You penned that you have one vote, but very influential within CDM, What did you mean?
 

Mwaka gani chadema mlisema uchaguzi ulikuwa huru na haki?

Basi mngekuwa mnagoma miaka yote hiyo shubameeet
 
Aende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja
Ruzuku wanapokea kutoka kwenye serikali ambayo hawakubaliani nayo Sasa si ujinga huo
 
Kama serikali imeingia kwa wizi then hata ruzuku msichukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…