Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Usiwe na shaka Halima na wenzie wataingia tu bungeni,mchakato umeshaiva.
Ili kelele ziishe ni lazima viti maalum wawemo bungeni.
 
Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu... hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi... peleka majina ya wakina mama wenzako ili mkatetee Chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume.... mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.
Mbona ushauri wako umekaa kishakunaku vile?
 
When you have a problem which needs solution, you should never rush to get the solution, sometimes give your mind a chance to pause in order to have a recollection of events to get positive review.

Can you propose a solution and explain how you have arrived at it? This is a conversation for members on matters that touches our party. You need to think on the matter such that the results shall have long term effect and in future we shall refer to it.

You who have made a serious review of the matter and consequences as you seems to suggest tell us so that you influence us to follow your line of thinking and decisions making processes.

Tupe ushawishi, lakini kumbuka hicho sio chama cha wanachama, ni chama cha umma.
We make decisions in our party for the public and not for our party.

This is a public platform, since is a public platform is not a right place to discus anything serious concerning cdm, ccm and so and so forth. If you have anything constructive, you better take it in the office of that particular party for more discussion if meets their requirements.
 
Hoja hii ni nzuri sana, Halima aligombea Ubunge kawe Kwa ajili ya kutumikia wananchi wa kawe, kwenye Sandusky la Kura alishindwa, nafasi hiyo amepewa anataka nini tena? Apache ushamba wake nenda kawasemee watu wa kawe
 
Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu... hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi... peleka majina ya wakina mama wenzako ili mkatetee Chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume.... mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.

Hivi jamani nyie wengine mnapoandika huwa mnakisoma mlichokiandika kabla ya kurusha hapa? Utumbo mtupu! Kuingia bungeni ni kukubali kuwa uchaguzi ulikuwa halali. Kama suali la kutetea wanawake, kwani wanawake wa chadema wanatetewa na chadema na wa CCM wanatetewa na ccm? CCM si ishawapitisha wanawake 94 waache hao wawatete wanawake wenzao wote!
 
Hoja hii ni nzuri sana, Halima aligombea Ubunge kawe Kwa ajili ya kutumikia wananchi wa kawe, kwenye Sandusky la Kura alishindwa, nafasi hiyo amepewa anataka nini tena? Apache ushamba wake nenda kawasemee watu wa kawe

Wacha ujinga wewe, nini maana ya kumuita mtu mshamba hasa? Kwa nini aende kushirikiana na wizi bungeni? Mdee mwenyewe alitowa kauli kuwa alikuta kwa macho yako kura feki jimboni kwake, sasa leo mnataka ayakubali matokeo? Huko si kuonyesha kuwa yeye ni muongo hakukuwa na wizi jimboni kwake? Hivi mtu anaemhutumu kukuibia kuku wako akikualika kula ugali na kuku hivi kweli utakwenda ilhali ukijua kuku alipikwa ni wako?
 
Wacha ujinga wewe, nini maana ya kumuita mtu mshamba hasa? Kwa nini aende kushirikiana na wizi bungeni? Mdee mwenyewe alitowa kauli kuwa alikuta kwa macho yako kura feki jimboni kwake, sasa leo mnataka ayakubali matokeo? Huko si kuonyesha kuwa yeye ni muongo na wizi jimboni kwake? Hivi mtu anaemhutumu kukuibia kuku wako akikualika kula ugali na kuku hivi kweli utakwenda ilhali ukijua kuku alipikwa ni wako?
Si alitaka kwenda kuwasemea Wana kawe? Aende fursa ndo hiyo, huko kwingine ni kujazana upepo tu hakuna lolote!
 
Tumia akili kabla ya kuandika. Mdee ameshinda Kawe, kwa nini kumnyang'anya ushindi ili kumpa viti vya hisani?
Mbona alianzaga na viti maalumu mwanzo acheni ubinafsi wanaume kukataa uwakilishi wa wanawake very shame
 
Aende akafuate nini, hiyo Halima si ndio mbunge aliyeongoza kwa kufukuzwa huko kwenye hilo bunge kibogoyo kwa uonevu? Ni mara ngapi hotuba zake zimezuiwa kusomwa huko bungeni? Ni hivi, haendi fullstop.
Aende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja
 
This is a public platform, since is a public platform is not a right place to discus anything serious concerning cdm, ccm and so and so forth. If you have anything constructive, you better take it in the office of that particular party for more discussion if meets their requirements.
You penned that you have one vote, but very influential within CDM, What did you mean?
 
Hivi jamani nyie wengine mnapoandika huwa mnakisoma mlichokiandika kabla ya kurusha hapa? Utumbo mtupu! Kuingia bungeni ni kukubali kuwa uchaguzi ulikuwa halali. Kama suali la kutetea wanawake, kwani wanawake wa chadema wanatetewa na chadema na wa CCM wanatetewa na ccm? CCM si ishawapitisha wanawake 94 waache hao wawatete wanawake wenzao wote!

Mwaka gani chadema mlisema uchaguzi ulikuwa huru na haki?

Basi mngekuwa mnagoma miaka yote hiyo shubameeet
 
Aende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja
Ruzuku wanapokea kutoka kwenye serikali ambayo hawakubaliani nayo Sasa si ujinga huo
 
Wacha ujinga wewe, nini maana ya kumuita mtu mshamba hasa? Kwa nini aende kushirikiana na wizi bungeni? Mdee mwenyewe alitowa kauli kuwa alikuta kwa macho yako kura feki jimboni kwake, sasa leo mnataka ayakubali matokeo? Huko si kuonyesha kuwa yeye ni muongo hakukuwa na wizi jimboni kwake? Hivi mtu anaemhutumu kukuibia kuku wako akikualika kula ugali na kuku hivi kweli utakwenda ilhali ukijua kuku alipikwa ni wako?
Kama serikali imeingia kwa wizi then hata ruzuku msichukue
 
Back
Top Bottom