Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Tetesi zilizopo ni kua Josephine Mshumbusi mke wa Dr slaa ana pepesa macho sana kwenye document za Chadema!

Tumeshapewa taarifa kuwa yeye ndiye aliyemshinikiza Dr. Slaa kumtetea kaka yake Lwakatare. Undugu kwenye kazi za umma unaondoa ufanisi.

Ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi.
 
Kwenye ukweli mazingaombwe ukaa kando,,Hapa duniani sisi ni wapita njia yote tunayoyafanya au kufanyiana kimaovu uturudia wenyewe ikiwa kama sio leo kesho
Watu safi watabaki kuwa safi hata wakinyeshewa namvua ya matope
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
 
Mods wanafanya vizuri kwa sababu taarabu yako melody imechuja wana JF angkupa Ban kabisa,

Usisahau 2015
uchaguzi matokeo ni kama hivi
CCM 52%
CUF 26%
CDM 14%0
The rest watagawana wapinzani, najua mods wameikata na kuifadhi.
Aibu kwenu Cdm.
 

Haha ha haaa

Bokilo Jr umesoma Lyamungo Secondary nini.
 
Last edited by a moderator:

mnafiki tu wewe huna lolote, unapenda sana kutajataja majina ya watu humu...haya unayafanya kwa maslahi yako kama kibaraka wa mtu wako wala sio kwa maslahi ya chadema..usifikiri haujulikani....
 

Unachokisema kinasikika vizuri. Lakini unfortunately dunia haiko hivyo. Mtu anaweza kufanya makosa makubwa na yakaachwa na historia ikaandikwa kuwa mtu huyo ni shujaa. Angalia mfano makosa aliyofanya Bush ya kuvamia Iraq, makosa yale yangefanywa na kiongozi wa nchi nyingine angekuwa kwenye wakati mgumu sana sasa hivi.

Kwahiyo kuamini kuwa ukweli utajileta tu bila kutafutwa sio sahihi.

Dr. Slaa ni muovu. Hatunzi nyaraka za siri za ofisi kama inavyotakiwa.

Ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi.
 
Hii kama authentic safi sana. Chadema shikamaneni kana super glue. Nchi hii bila chama makini mbadala tumekwisha.
 
Kazi ya kuvuruga cdm imebaki inafanywa na mjinga mmoja kwa jina la Ben Saa 8

Ni lini umekua na uchungu na Chadema wewe?Post zako za nyuma zinakuonyesha kuwa adui wa CHADEMA.Ni lini ulianza kukipenda?Najua unaudhika sana ninavyowaharibia mipango miovu dhidi ya Chadema.Na bado ...
 
Ben Saanane
Today 17:33 #346
JF Senior Expert Member


Array
Join Date : 18th January 2007
Posts : 6,097
Rep Power : 15809
Likes Received
4051
Likes Given
5998


By Bokilo Jr
Mkuu kusema kweli Zitto sio mtu wa kumwamini inawezekana yeye mwenyewe ndio anajiwekea nakala za barua zake humu pia nina wasiwasi mkubwa yeye ndio Bukoba Boy iweje aje haraka hapa na kusema mtu yule yule aliyeweka ile movie kwa youtube ndio huyo huyo aliyeweka barua yake,Hapa mie huyu jamaa namshuku niko na kisa cha ukweli sitakisahau maishani mwangu wakati niko High School ya Boys ambayo ilikuwa bording,tulikuwa tukifunga shule kila mtu anapeleka godoro lake kwa bweni moja hivi na kusaini kwamba kaweka pale tarahe hiyoo nk,sasa basi wakati tunafungua shule kuna jamaa kaingia kachukua godoro lake bila kusaini then later on kaenda ripoti kuwa kaibiwa godoro kaulizwa ulisaini wakati unachukua kasema hapana ila nimecheki kupitia dirishani na kuona halipo pale nilipoweka kaambiwa utawezaje kutambua godoro lako wakati karibu yanafanana na jina liko upande mwingi wa godoro lako.then kambiwa asubiria ili wote wakichukua magodoro yao litakalo baki ni lake lakini watu tukachukua na hakuna lililobaki baada ya uchunguzi kumbe alijiibia mwenyewe so huyu jamaa namfananisha na Mh Zito simwamini hata kidogo japokuwa nilimwambia akaa na wenzake.
Haha ha haaa

mnafiki hajifichi hata kama ajifunike blanketi jeusi.
 
Tetesi zilizopo ni kua Josephine Mshumbusi mke wa Dr slaa ana pepesa macho sana kwenye document za Chadema!
waambiye watoto watu wazima hatudanganyiki, tatizo shilingi 200 anazowatumia mwigulu kwa M-Pesa zimewatia kichaa hamjui hata ya kuandika
 
Haha ha haaa

Bokilo Jr umesoma Lyamungo Secondary nini.

Hapana Kamanda nimesoma Mikoani ila si hapo..namba tu nisiitaje hiyo shule huenda jamaa yuko humu so atajisikia vibaya na week end hii.Pamoja sana Kamanda Ben Wa Saanane we dont need takataka kwa Chama chetu kama mtu kachoka au kaahidiwa kugombea Urais huko NCCR aende tu,We dont care about the Number we care about the Quality of the Number.
 
Ni lini umekua na uchungu na Chadema wewe?Post zako za nyuma zinakuonyesha kuwa adui wa CHADEMA.Ni lini ulianza kukipenda?Najua unaidhika sana ninavyowaharibia mipango miovu dhidi ya Chadema.Na bado ...

mwisho wako umekaribia na utaharibikiwa wewe.
 
Haha ha haaa

Bokilo Jr umesoma Lyamungo Secondary nini.


kicheko chako ben kina tafsiri mbili
  1. Unamcheka ZITTO baada ya mmoja wa wachangiaji kusema kuwa zito ndiye aliyelikisha hiyo barua mitandaoni na yeye ndiye Bukoba Boy.
  2. Unamcheka mchangiaji kwa kuchangia uongo ilhali wewe unaujua ukweli.
Tafsiri ipi ni sahihi?
 

hueleweki mbona unaunganisha visivyounganishika duh mnafiki wa wanafiki hujui hata kuspin
 
mwisho wako umekaribia na utaharibikiwa wewe.

na angejifunza kwa LUDOVICK. Pamoja na ukaribu wake kwa slaa na kumsaidia katika masuala mbalimbali ya siri na ya wazi leo amemkana na wameshindwa hata kumwekea wakili wa kumtetea
 
Mkuu,

Tafadhali yaache hayo. Yatatuharibia thread. Focus iwe kwenye kumshinikiza dr. Slaa ajiuzuru kwa kushindwa kutekeleza wajibuwake wa kutunza siri za ofisi.

Akijiuzulu ndo utajiunga nao hawa jamaa? Híi ni aibu kwa chama kinachoitwa cha demokrasia kuendeshwa kama familia ya mtu.
Inawezekanaje barua apewe slaa ghafla tujeikuta humu jf?.
Mapenzi kazini kitu kibaya sana, chama kimepoteza hadhi yake mbele ya watanzania kwa sababu ya watu wachache wenye uroho na madaraka.
 
Wewe ndio unaemuona muovu lakini wengine wanamuona mtu safi
Kuh Bush na makosa yake ikiwa binadamu wameshindwa kumuhukumu aliemuumba ipo siku atamuukumu

Lakini mimi naamini hukumu sio hapa duniani tuu bali hata mbinguni kuna hakimu wa mahakimu...
 

Ungekuwa mtu safi ungeshiriki kwenye harakati za kuhimiza kuwa ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi.

Bila kufanya hivyo unakuwa responsible kwa mchezo anaocheza.

This is digital politics, you either have one or zero. No portions...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…