Great Move Zitto! Thanks a lot for this important clarification. Kwa hakika kazi kubwa sasa iwe ni kumtafuta huyo kirusi aliye ndani ya CHADEMA. Najua ni wengi sana watakaohadaika kutokana na pesa za CCM ili kushiriki katika njama za kukimaliza chama. Walianza akina Shonza, Mtela, Ludovick na watafuata wengi sana.
Ni wakati mzuri sasa kuchukua tahadhari dhidi ya kila mmoja mnayekuwa naye ndani ya vikao vyenu vya chama. Ila uchunguzi ufanyike juu ya huyu anayetoa mambo ya chama kwenye mitandao tena kwa lugha ya kebehi dhidi ya chama.
Wengi hivi sasa wanajaribu kutumia jina lako katika harakati za kukivuruga chama kwa kuwa wanajua wewe una influence kubwa kwa chama. Lakini naamini kwamba msimamo wako kama huu unaouonyesha sasa, utakiokoa chama. Be strong
Zitto!