Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Zitto anadhihirisha kutapatapa kwa ccm baada ya kuona propaganda zao za lumumba zinaback fire.
Aliyeweka you tube ya lwakatare ndiye aliyeweka barua fake ya Zitto
Huu ni muda wa chadema kuwa makini na hawa ccm kwenye utunzu wao wa migogoro ya kukigawa chadema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Umenena mkuu cha muhimu ni kuwa macho na makini!
 
Kwani lengo ni kuendeleza makosa yanayofanywa na CCM?

Dr. Slaa anapaswa kuwajibika kwa kujiuzuru. Kushindwa kutunza siri za ofisi ni kosa kubwa sana.

Sasa hivi haijulikani ni siri gani nyingine atavujisha...

Toka lini wewe na timu nzima ya Lumumba mkawa na mema na CDM? Kama nyinyi mnavurugana kwa kusalitiana kwa ajili Chadema, sasa wanawaanika[ sisi wengine tumechoshwa na nyeti zenu kuanikwa hivi
 
Wewe Zitto ni jembe. Kunyamaza ni hekima. Nashukuru umejitokeza mara 2 ndani ya wiki moja ukikanusha uzushi wa chama cha wadini-ccm.

Waandike maumivu, kupitia kwako wamedunda. Walianza na Dr. Slaa wamekwaa kisiki, wakapanga wapitie kwako. Kumbe wewe ni kisiki cha mpingo. CCM - mafisadi wako kama 'jusi' wameonja joto ya jiwe, wakimbie tu. hawakuwezi.

Wakati wa kuwa rais ukifika, utakuwa rais. Chini ya jua kila jambo lina wakati wake.
 
Ukitumia akili nyepesi tu, utaona kuwa aliyelikisha ni Zitto au mtu wa karibu yake kwa ujanja wa kitoto akalikisha content tofauti.

Kama ingekuwa ni mtu aliyeleiona original barua na nia ilikuwa kulikisha basi anagileta nzima nzima hapa, kama ilivyo maana kwa siku hizi huitaji scanner/ photocopy mashine, simu tunazotumia zina kamera nzuri na kali sana kiasi ukipiga picha document itatoka kama copy/scanned.

Na kwanini hakukukanusha tokea jana?
Kwanini atafutwe kuja kukanusha hili? Ina maana asingetafutwa asingekuja? $nataka kusema hakuliona ili bandiko humu? Je wapambe wake hawakumuambia kuwa kimenuka huko jf na anatafutwa tokeo ilipowekwa?

Huyu dogo naona anamatatizo na anachokitafuta atakipata.

Si mumfukuze kila siku mnamlalamikia mnataka nani awasaidie kumfukuza.. Kinana...? Acheni kulia lia jitofautisheni na mnaowakosoa kwa kuchukua maamuzi magumu, Kwenye suala la maamuzi magumu nyie na CCM mnafanana kama Mayai, mnataka sie wachangiaji ndo tumfukuze Zitto. Suala la kumtimua zitto kama mnaamini ndo anawachelewesha hamuwezi kusaidiwa na mtu ni lenu chukueni hatua ila kama mnalifanya kwa Agenda zenu za Siri nawahakikishia Lita wacost sana tena sana hasa ukizingatia jamaa hatowania Ubunge kule Kigoma so m uwe wawazi na muache kuwatumia watu wasioaminika kwenye suala hili Ben Saanane tayari ameonesha ana chuki binafsi na Zitto hawezi kufaa kabisa
 
Barua ya Zitto kwa Katibu Mkuu wa CDM iliwakopi watu wengine ikiwemo ofisi ya Lwakatare. Naona wale waliotumwa kufanya fujo CDM wamekomalia suala la katibu mkuu wa chama. Napata kuamini kabisa kuwa miongoni mwa timu ya akina Shonza ni Lwakatare. Hili naluamini kabisa.
 
Toka lini wewe na timu nzima ya Lumumba mkawa na mema na CDM? Kama nyinyi mnavurugana kwa kusalitiana kwa ajili Chadema, sasa wanawaanika[ sisi wengine tumechoshwa na nyeti zenu kuanikwa hivi


Kama hutaki Dr. Slaa awajibike kwa kuvujisha siri za ofisi basi wewe ni ADUI wa dhana ya uwajibikaji...
 
Kwa nini barua binafsi, au hamuongei lugha moja, hii ni sirias issue, je kwa nini msingekutana na Dr.Slaa ukampa msaada ya mawazo yako?naamini hii issue haijaja JF bahati mbaya

Mzee usisahau tarehe tajwa kwenye barua Zitto alikuwa JKT, na ndio maana aliandika "....nilipokuwa uraiani nilifanikiwa kuina video......."
 
sijasoma thread yako ila najua hakuna kirusi chochote cdm hizi ni sarakasi za Zitto

Honestly ninaomba msamaha kwa yeyote atakayeumia na hilli . ILa mimi ninaomba Zito pia aangaliwe kwa ukaribu. Inawezekana jamaa anatengeneza scenarios za kujipa umaarufu lakini pia akawa anatumikia ccm kwa kujua ama kutojua.
 
2015 anarudi kwenye kijiwe cha mtukuru pale karibu na magereza
 
Ungekuwa mtu safi ungeshiriki kwenye harakati za kuhimiza kuwa ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi.

Bila kufanya hivyo unakuwa responsible kwa mchezo anaocheza.

This is digital politics, you either have one or zero. No portions...
Kauli yako ni moja ya matokeo ya propaganda chafu za ccm dhidi ya chadema.
Tupo katika kipindi kigumu kupambana na kirusi wa aina yako kupambana kupinga ujinga wa propaganda chafu kama hizi zenye nia ya kukigawa chama.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu ushauri wako umesha fanyiwa kazi kabla hata hujautoa hapa JF; twende sawa;
Zitto -Singida
Lissu- Loliondo
Msigwa - Loliondo
Kamanda wa anga - Mbeya
Mdee- Bunju

Hiyo ni mifano michache inayo wafanya maCCM wazidi kuchanganyikiwa kwani wanashindwa wazuie wapi.
"CHADEMA tuna twanga kote kote" ; Hiyo ndo habari ya mjini njomba
 
Kama hutaki Dr. Slaa awajibike kwa kuvujisha siri za ofisi basi wewe ni ADUI wa dhana ya uwajibikaji...

Kwa nini dhana ya uwajibikaji iwahusu Chadema sasa na si serikali na chama tawala? Usijidhalilishe wewe ni ntu mkubwa Lumumba
 
Kuna kila sababu ya kumtaka Dr. Slaa ajiuzuru kuonyesha mfano wa uwajibikaji. La sivyo ataendelea kushusha credibility ya chadema kama chama. Next time chadema ikishinikiza kiongozi kama Kawambwa awajibike wataulizwa kwanini Dr. Slaa bado yupo madarakani?
Bila shaka mnatambua ukweli kwamba Dr. Slaa ndiye nguzo ya CHADEMA kwa sasa. So mnataka ajiuzuru ili mpate namna nzuri ya kukimaliza? Si mnajua kwamba nusu ya usalama wenu wa taifa wanareport kwake? Chochote mtakachokipanga huko kinamfikia Dr. Slaa on the spot. Kwahiyo mnadhani akijiuzuri ndiyo itakuwa salama yenu. Kazaneni kutekeleza sera za chama chenu ili watu wawakubali kutokana na sera zenu na si kushinikiza Dr. Slaa ajiuzuru.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom