Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Inaonekana watu wanaamini kwa haraka sana.Au pengine mimi ni mgumu sana kuamini labda!Haiwezekani mtu ashindwe kung'amua kilichopo hapa unless humfuatilii Zitto au basi tu una maslahi na hizi spinning za kitoto zinazoendelea hapa.

Ni hivi!

Zitto aliandika kweli hiyo barua akiwa kambini machi 15 mwaka huu.Zitto ni mmoja ya watu wanaotaka Lwakatare atoswe.Wanaweza wawe sawa hasa kama wana maslahi binafsi (sio ya chama) na kutoswa huko!

Kwenye kikao cha kamati kuu Zitto alitaka pendekezo lake liwe msimamo wa chama.Ameshindwa na sasa ameona njia ya kujitofautisha na msimamo wa chama ambao haupendi(kama ambavyo mara nyingi imekuwa ikitokea) ni kuiweka barua hii wazi tu kwa kushirikisha kikosi kazi chake mitandaoni.Hiyo kutoweka sahihi ni makusudi tu il spinning yake itimie,kama ambavyo inaonekana imefanikiwa hapa JF!

Kama chama kingeamua kukubaliana na Zitto kimsimamo kwenye suala hili basi hii barua isingewekwa mtandaoni.Ni kulekule kupenda kuonekana smart kuliko wengine,kupenda sifa binafsi na double agency sindrome!

Kesi hii itaisha huku ikiiacha CHADEMA na Lwakatare wameloose some points just because mainjinia wa picha nzima wanalindwa na mkono wa dola featuring TISS.

Ni mawazo tu,yanaweza yasiwe sahihi vilevile.
 
Mkuu siyo kwamba mimi nahisi kuwa ni wewe na Dr Slaa,ila nadhani wapinzani wenu wa kisiasa watasema hivyo.Kuna mtu alisema ulialikwa kwenye kikao na barua imeleak mara baada ya kikao,na ni barua ambayo Zitto kasema kuwa aliiandika directly kwa Dr Slaa na kwamba ilikuwa ni ya siri.

Sasa hapo mkuu unategemea masalia waseme ni kina nani?

Tatizo ni kwamba haina signature. Inawezekana mtu ameinakiri na kuifyatua bila signature? Kama ilikuwa ni siri basi huyo anaweza kuwa mtu aliyetumiwa hiyo barua ya siri ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama. kwa hiyo aliyeitoa hiyo barua ni kitrusi ndani ya CHADEMA na madhara ya kirusi yanajulikana wazi!
 
Baada ya hapa bado mnatafuta kirusi? Ni yeye aliyemleta mfanyakazi wa usalama wa taifa Ludo, ni yeye anayemfuga jasusi saa tisa lakini bado mnatafuta kirusi. Kweli chama cha wapuuuzi.
Haha, hili nalo neno Nduka. Kati ya hao usalama wa taifa waliomo ndani ya CHADEMA wapo wanaotugeuka na kuzirusha habari kwa CCM. Si ajabu wengine wanajifanya wana mapenzi na CHADEMA kumbe ndiyo wanafanya kazi ya Ikulu, ya kukiua CHADEMA. Katika hili nakuunga mkono Nduka.
 
Bila shaka hivi ni vile virusi alivyovitamka Lissu na Slaa mwenyewe vinavyopokea mpesa toka kwa nanihii..!Chadema msiwapuuzie watu wenu wadogo wadogo kama vile walinzi,wahudumu,wasaidizi wa ofisini,pc technicians na vijana wenu wa ulinzi na usalama.pia members wa Bavicha.pia angalieni sana system mnayotumia kuwasiliana.high tech stuffs huwa ni vulnerable sana.na muwe na vikao vya mara kwa mara,kama kuna msaliti mtamgundua tu.wanasema "keep your friend close,and your enemy more closer!i think these are blessings in disguise.ni heri yawasumbue sasa ili huko mbele kwenye wakati muhimu muwe na maturity ya kutosha kwa kila kitu,hasa kwa haya ya kutikisa.ni somo muhimu sana.
 
Ni

Yule ambaye Kwenye movement Na shamrashamra hizi Za kichama, hatajitokeza kuwa mstari wa Mbele mjue direct ndio KIRUSI mwenyewe Na ahukumiwe Kwa matendo yake ..
Adios..

Mkuu, hiyo Kauli hapo Juu ni nzito sanaaaa, ni watu wachache sana tutakuwa tumekusoma hapa
 
Bila shaka mnatambua ukweli kwamba Dr. Slaa ndiye nguzo ya CHADEMA kwa sasa. So mnataka ajiuzuru ili mpate namna nzuri ya kukimaliza? Si mnajua kwamba nusu ya usalama wenu wa taifa wanareport kwake? Chochote mtakachokipanga huko kinamfikia Dr. Slaa on the spot. Kwahiyo mnadhani akijiuzuri ndiyo itakuwa salama yenu. Kazaneni kutekeleza sera za chama chenu ili watu wawakubali kutokana na sera zenu na si kushinikiza Dr. Slaa ajiuzuru.
Ndugu yangu huyo aliwekwa wazi hapa na Regia Mtema kwa kumtaja jina lake ,ni mwanachadema mwenye jina na cheo kikubwa anayeyafanya haya kwa nia ya kuvuruga chama kama alivyopewa fedha za kuharibu chama na anashirikiana na wana CCM kwa karibu mno na wana CCM hata hapa jamvini wanamsitiri mno
 
Nadhani hukumwelewa Zitto.
Alichokisema ni kwamba ID iliyoweka video ya Lwakatare mtandaoni ndiyo ID iliyoweka barua aliyoiandika yeye. Sasa huyo mtu kama hayupo kwenye kundi la waandamizi ndani ya chama au karibu na viongozi waandamizi ndani ya chama alipataje taarifa?

Mkuu ZZK ameenda mbali zaidi na kusema Kirusi huenda kina nafasi andamizi ndani ya CHADEMA!
 
Hakika nimefurahishwa na jinsi ulivyoweza kudadavua undani wa suala hili!! Binafsi nimekuwa nikishindwa kuwaelewa baadhi ya watoa hoja (Au wakosoaji wa Zitto) kumwita kuwa ni mtu hatari na asiyekitakia mema chama kutokana na kuwa na misimamo ya kukosoa au kutoa maelezo ambayo wakati mwingine yanapingana na mawazo ya wengine.
Sote tunatakiwa kujua kuwa sisi tunajenga chama huru ambapo kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake bila kuvunja kanuni za chama. Tufike mahali tusiwe kama hawa ndugu zetu ambao ni akina NDIYOOOOOO MZEEEE hata kama hoja si ya msingi, na hali hiyo ndiyo imeifikisha hapo CCM.
Big up ZITTO.
 
Tatizo ni kwamba haina signature. Inawezekana mtu ameinakiri na kuifyatua bila signature? Kama ilikuwa ni siri basi huyo anaweza kuwa mtu aliyetumiwa hiyo barua ya siri ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama. kwa hiyo aliyeitoa hiyo barua ni kitrusi ndani ya CHADEMA na madhara ya kirusi yanajulikana wazi!
Kwa mjibu wa hoja kuu ya Zitto, ni kwamba hiyo barua imenakiliwa, au ni barua mfano wa ile aliyoandika Zitto, so ni kama vile kuna mtu ameiandika upya ikiwa na ujumbe sawa na ule wa Zitto. Lakini mimi nafikiri mahali peee ambapo itakuwa imevuja ni kwenye kikao jana. Maana ni dhahiri kwamba ilisomwa kwa wajumbe ili ijadiliwe kama ambavyo Zitto anasema. Sasa baada ya kusoma, inawezekana huyo kirusi alinakili maneno ya hiyo barua na baadaye kuiandika upya ya kwake na kuileta mtandaoni.
 
Nasukumwa kuamini kuwa Zitto hayuko nyuma ya hili ila kuna mtu anayebebwa kwa nia ya kuiweks CCM madaraksni. Si mwingine bali Lwakatare.
Naomba namba ya Slaa na ikiwexekana nimpate Lisu. nina kitu cha kuzungumza nao, km namba zao ni siri naomba nitumiwe hata kwa pm[/QUiOTE]

Mimi hata Rwakatale simwamini hadi hapo nitakaporidhika kwamba siku alilpotembelewa na LUdovick walikuwa wanazungumzia nini ambacho kikatoa fursa ya Video tata kutengenezwa? Ni kweli kasema picha ni yake na maneno mengine ni yake na mengine siyo yake.

Naisubiri fursa ya kujua yake maneno ni yake na yapi si yake. Lakini pia nitahitaji kuelewa kama alifahamu ama hakufahamu wanarecord video.

Na kama alifahamu nini yalikuwa maudhui ya video hiyo ambayo sasa baadaye anaona iko doctored na kupotosha theme sahihi.

Kama hakufahamu, obvious atakuwa alikuwa na watu wengi sana nyumbani kwake. Hili linawezekana lpia yamkini alikuwa na personal businesses.

Kushirikiana na wanachama wa cDM ama CCM katika masuala ya biashara binafsi na mambo ya kifamilia si tatizo. Yawezekana alikuwa na maongezi nao kwa masuala yake binafsi.


LAKINI MASWALI HAYA HAYAMAANISHI NAKITILIA SHAKA CHADEMA. LA HASHA. NI CHAMA MAKINI na kama taasisi yoyote, haiwezi kuingilia undani wa maisha binafsi ya watu wake. SI HAKI WALA SAHIHI HATA CHEMBE KUKIHUSISHA CHADEMA KAMA CHAMA KWA LOLOTE LINALOTOKEA KWA WANACHAMA AMA WATU WAKE.

BUT CHADEMA IS MORE THAN A FAMILY. WANAMJALI KILA MTU NA NDIYO MAANA WANAJALI HAKI YA KILA MTU.
 
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KITU KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.

NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.

Hata mi napata mashaka, mana kama barua ilitumwa kwa katibu Dr Slaa, na muda mfup baada ya kikao barua ya kutungwa ikawekwa mtandaon, bas KIRUS KIPO KARIBU NA Dr SLAA {nyumban ama ofisin}

Uchunguz wa haraka unahitajika kabla hakijaua mtu hapo, kifo cha gafla.
 
Ndugu yangu huyo aliwekwa wazi hapa na Regia Mtema kwa kumtaja jina lake ,ni mwanachadema mwenye jina na cheo kikubwa anayeyafanya haya kwa nia ya kuvuruga chama kama alivyopewa fedha za kuharibu chama na anashirikiana na wana CCM kwa karibu mno na wana CCM hata hapa jamvini wanamsitiri mno
Please get to the end.... mbona unaishia njiani? Huna haja ya kuficha mkuu Froida. By the way Mtema tayari ni marehemu, na wewe unatumia id fake siyo jina lako halisi. Unamwogopa nani kuweka jina la huyo aliyetajwa na Mtema. Tutajie tafadhari.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndio Zitto ninayemtegemea siku zote. Safi kamanda.
 
Nimefuatilia Kwa makini kimbunga Cha Siasa Zetu Na Kama kawaida napenda kukusanya mlolongo wote wa matukio Na kutengeneza tafsiri Moja..

Tokea mchezo huu Wa kuwadhuru binaadam sisi watanzania wenzao, Na kuunganisha unyama huu Na mambo ya kisiasa uanze, kuna kila dalili ya fukuto hili kuzidi kutiwa chumvi Na kuvuma pasipo Sababu yoyote ya msingi ndani ya CDM.

Barua iliyomwagwa mtandaoni isiyosainiwa Kwamba Mhe Zitto alimwandikia Katibu Mkuu wa CDM juu ya clarification kadhaa zinazopaswa kuchukuliwa juu ya suala la ...Rwakatale Na Chadema Kwa Ujumla, wimbi la Baadhi ya wanachama wa CDM kuhongwa Na MIMTU ILIYOLAANIWA NA KULAANIKA, Kwamba watoe ushahidi wa dhulma juu ya Kesi ya Rwakatale, Clarification Za. mhe Zitto Juu ya Barua ile hapa mtandaoni na kuonyesha hofu yake Kwamba Ndani kabisa ya CDM kuna "nyokas" au VIRUSI wanaovujisha taarifa ni mwendelezo wa fukuto ambalo Lazima tushauri kama raia WA Nchi yetu tunaopenda mageuzi ya HAKI..

HAKUNA haja ya kumsaka "KIRUSI AU VIRUSI AKA NYOKAS" Ndani au NJE ya CDM, kuwekeza nguvu kuwasaka nyoka Wala hamtawamaliza, wapo, walikuwepo Na watakuwepo, vichaa huwezi kuwaondoa mjini ukawamaliza wote. Shambani tunajifunza mengi, unapolima Na kupanda mbegu zako Na magugu yanatend kuota sambamba Na mmea kusudio, ukipambana Na magugu Kwenye hali ya uchanga unahatarisha maZao mema, wacha mmea ukue, time will tell, gugu utaliadentify easily Na kuliondoa..

Chama chote kujikita kuongelea Rwakatale all days ni matumizi makubwa ya nguvu Za watu makini zisizo Na Sababu, JUKUMU Hilo analo Mhe jembe la Ukweli Tundu Lissu, aachiwe Yeye, Uwezo wa Tundu unatosha kabisa kuwakabili TISS, Polisi, Mahakama, Na CCM yote wakijumlisha Uwezo wao wanafit kidole tu Cha hili Jembe..

Ni Muda Muafaka sasa wa VIONGOZI kuiamsha serikali si mnajua serikali ya sasa inasubiri CHADEMA aseme jambo ndio watende?, sasa endeleeni kutema vitu, ni Muda Muafaka sasa wa kulichukua JIMBO LA IGUNGA, si mnajua serikali imeagiza zaidi ya kampuni moja wafanye Kazi usiku Na mchana kuhakikisha daraja la Mbutu linakamilika ndipo watangaze tarehe ya uchaguzi huo?.. Daraja wanakamilisha Na jimbo linaenda CDM.. Hivi nani ulimwengu we Leo ataichagua CCM honestly tell me..

Kuna kampeni zimeshaanza huku mitaani Za uongozi Wa serikali Za mitaa, 2014 imekaribia sana,, kuna move inayoendelea ya kusimika uongozi Wa kikanda, kuna M 4 C nk.

Yule ambaye Kwenye movement Na shamrashamra hizi Za kichama, hatajitokeza kuwa mstari wa Mbele mjue direct ndio KIRUSI mwenyewe Na ahukumiwe Kwa matendo yake ..
Adios..

we acha kujilisha upepo utakufa na stroke nenda Igunga kama Kuna chadema tena ita uchaguzi kesho kama chadema watapata kura elfu kumi,,ongelea mengine gwanda Igunga hata padri na kasulumbai walipokosa watu ziba waliulizana Kuna nini igunga mbona tumedrop sana,,vijana wamefunguka wamebaki wavuta bange,, ukweli ni kuwa serilali imeweka watu makini idara site chadema wameufyata
 
Mkuu ZZK ameenda mbali zaidi na kusema Kirusi huenda kina nafasi andamizi ndani ya CHADEMA!

Ni kweli kiongozi........................ lakini hata ingekuwa wewe vile vile ungethubutu kusema hivyo kutokana na taarifa ya ndani ya chama kuwa public tena kwa haraka.
Kwa vyovyote lazima kuna kirusi ambacho kwa mujibu wa Zitto lazima kichunguzwe mpaka kipatikane
 
Last edited by a moderator:
we acha kujilisha upepo utakufa na stroke nenda Igunga kama Kuna chadema tens,,,ita uchaguzi kesho kama chadema wataoata ours elfu kumi,,ongelea mengine gwanda Igunga hata padri na kasulumbai walipokosa watu ziba waliulizana Kuna nini igunga mbona tumedrop sana,,vijana wamefunguka wamebaki wavuta bange,, ukweli ni kuwa serilali imeweka watu makini idara site chadema wameufyata

Mapovu yanakutoka kweli....umeporwa mke na hao chadema....hivi na akili zako unasema nchi hii ina serikali.....
 
Inaonekana watu wanaamini kwa haraka sana.Au pengine mimi ni mgumu sana kuamini labda!Haiwezekani mtu ashindwe kung'amua kilichopo hapa unless humfuatilii Zitto au basi tu una maslahi na hizi spinning za kitoto zinazoendelea hapa.

Ni hivi!

Zitto aliandika kweli hiyo barua akiwa kambini machi 15 mwaka huu.Zitto ni mmoja ya watu wanaotaka Lwakatare atoswe.Wanaweza wawe sawa hasa kama wana maslahi binafsi (sio ya chama) na kutoswa huko!

Kwenye kikao cha kamati kuu Zitto alitaka pendekezo lake liwe msimamo wa chama.Ameshindwa na sasa ameona njia ya kujitofautisha na msimamo wa chama ambao haupendi(kama ambavyo mara nyingi imekuwa ikitokea) ni kuiweka barua hii wazi tu kwa kushirikisha kikosi kazi chake mitandaoni.Hiyo kutoweka sahihi ni makusudi tu il spinning yake itimie,kama ambavyo inaonekana imefanikiwa hapa JF!

Kama chama kingeamua kukubaliana na Zitto kimsimamo kwenye suala hili basi hii barua isingewekwa mtandaoni.Ni kulekule kupenda kuonekana smart kuliko wengine,kupenda sifa binafsi na double agency sindrome!

Kesi hii itaisha huku ikiiacha chadema na Lwakatare wameloose some points just because mainjinia wa picha nzima wanalindwa na mkono wa dola featuring TISS.

Ni mawazo tu,yanaweza yasiwe sahihi vilevile.
I can see some truth in it! Nafikiri haya mambo yanahitaji tafakari pana sana. I am almost confused. nafikiri ni vizuri sana kubaki neutral sometimes. Otherwise unaweza ukashabikia usichokijua. Lakini hata hivyo nina maswali machache kwako!
Je wewe ulikuwa kwenye kikao cha CDM jana na ukaona kwamba pendekezo la Zitto kupitia barua hii limekataliwa? Je Zitto alikuwa katika hali gani baada ya kukataliwa kwa hoja yake? Kulikuwa na mikwaruzano au walikubaliana kwa amani? Ninahamu sana ya kufahamu zaidi kuhusu jambo hili. maana linaonekana kuleta mfulugano.
 
Kama hadi muda huu bado haijathibitika kuwa yule ni Rwakatare na ameshiriki katika kurekodi mkanda huo, haitakaa ithibitike tena

unatakiwa kutumia maarifa kidogo sana kulijua hili,kuona sura yake si tatzo je aliokuwa akiwapatia mikakati walikuwa wapi wasionekane?na kwanini uwe na taarifa za mipango ya kigaidi kwa miezi mitatu bila kuwataarifu wanausalama kwa mda mwafaka?usfanye ushabiki wa kisiasa kwenye uhai wa binadamu.
 
Nadhani hukumwelewa Zitto.
Alichokisema ni kwamba ID iliyoweka video ya Lwakatare mtandaoni ndiyo ID iliyoweka barua aliyoiandika yeye. Sasa huyo mtu kama hayupo kwenye kundi la waandamizi ndani ya chama au karibu na viongozi waandamizi ndani ya chama alipataje taarifa?
Mkuu binfsi naona kuna matatizo makubwa ndani ya CHADEMA, wanatakiwa kujipanda upya, haya matukio sio ishara njema kwa chama hata kidogo.

MWISHO

KWA DR SLAA
CHADEMA wajipande jinsi wanavyoendesha ofisi zao, lakini pia sasa ni wakati wa JOSEPHINE kutoshirikishwa mambo ya chama, naona toka Dr Slaa amejiushisha na huyu mama kumekuwa na majaabu mengi sana hapo kwenye chama, lakini pia nashindwa kuelewa kama JOSEPHINE alimsaliti mume wake wa kwanza tu Dr Slaa sioni kama naweza shindwa fanya hivyo zidi ya BILLS za ccm,
Dr Slaa anatakiwa ku REVIEW security protocol yake nazani ana compromise, regardless hiyo barua ya zitto inasema nini lakini siri za OFISI YA KATIBU MKUU kuwa mitandaoni sio mwanzo mzuri hata kidogo, tusiangalie upande mmoja tu wa nini kimeandikwa lakini pia tuangalie imepatikana je.


kwa zitto
: Majibu yako kuhusu kirusi yaweza kukuhusu pia, utetezi wako ni dhaifu kwenye hiyo area, yawezekana ukasababisha huo UVUJAJI wa barua, nakushawishi team up na viongozi wengine wa chama, nimesoma maelezo yako yamejaa nafsi ya tatu au wao, hakuna uliposema SISI VIONGOZI WAANDAMIZI WA CHAMA yawezekana tuna kirusi, uwezi sema kirusi kwa mpokeaji tu wakati hata mtumaji anaweza kuwa na KIRUSI. Na kushawishi uchunguze mambo yako pia, yawezekana unatobo sehemu usilolijua au unalolijua,
Huu uvujaji wa barua ya viongozi wa chadema nyie wote mnawajibuka, chadema kama chama makini basi wekeni mfumo bora wa mawasiliano,
Mwisho kuwa makini na tetezi zako zinaongeza kasoro, kwa mimi nimeona huna uhusiano mzuri na Dr Slaa, maana kama ni barua inasemekana ilikwenda kwa zaidi ya kiongozi mmoja, sasa kwa nini unataja ofisi ya KATIBU MKUU peke yake
 
Honestly ninaomba msamaha kwa yeyote atakayeumia na hilli . ILa mimi ninaomba Zito pia aangaliwe kwa ukaribu. Inawezekana jamaa anatengeneza scenarios za kujipa umaarufu lakini pia akawa anatumikia ccm kwa kujua ama kutojua.
Hapana haja ya kuwekeana miwani mkuu, ni kuchapa Kazi, Kama Mtu ni kikohozi shambani yote yatajulikana, chapa Kazi Kwa kwenda Mbele, Asiyeshiriki mambo ya kichama Kwa karibu huyo NDIYEEE..! Kama akiwa snake Na kukazana kukitumikia anachokiasi Basi ni faida kwa Chama.. Viva CDM..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom