Pia tulijua1: Daud Balali yupo hai na aliyemuona walimuua Prof2: Mtoto wa Mkuu aka mzee wa sheli za mafuta kukamatwa na madawa ya kulevya kwa wazee wakutegeneza vifaa feki3. Wazee wa kutengeneza vifaa feki kusain mikataba ya kifeki na Mr. Magogo baada ya kipengele no.24. Wanaouza madawa yakulevya ni vigogo wa selikali5. Aliyejega gorofa kalibu na ikulu ni Mkuu!!!!!!6. .......Ukweli huwa haufichikiNilisha sema jana kwenye mjadala wa ile barua na leo narudia kusema tena. "Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa,hata hivyo, huwa hauachi kufika. Unahitaji busara na hekima ya kiu-vumilivu kuusubiri".Walio taka kuupata ukweli jana ileile muda uleule watakuwa wanajiona wamechelewa kuupata ukweli, lakini kwa kuwa tabia ya ukweli ni kufika bila kujalisha kuwa utachelewa, huwa tulizo na liwazo kwa mwenye subira na hekima kuusubiri ukweli husika.Hili linapita baada ya mhusika kuuweka ukweli, naamini yatakuja mengi na yatapita ukweli ukidhihiri, tulijua ya Mwangosi, sembuse ya Epa! Tukajua ya Buzwagi sembuse ya Uswis?, umejua ya kuiba wali jeshini sembuse ya kukaliwa Itikafu?, hata ya Ludovick na nduguye Lwekatare pia ukweli utajulikana."Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa lakini hauachi kufika..." CC Ritz, Zemarcopolo, Chama, Tumaini Makene.
Last edited by a moderator: