msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,244
- 745
Mh. Zitto,
Ningelipenda nikupe ushauri kuwa hebu jaribuni kuwa mikutano ya kimikakati iwe inafanyika katika venue tofauti tofauti, namaanisha huenda ofisi imekuwa buged, bado mkiona habari zinavuja jaribuni kuacha electronic media mbali na mikutano yenu.
Kwa technology ya kisasa ni lahisi sana kuwa buged na mkabaki kulaumiana. Toka mwanzo picha inaonyesha ni TISS wako kazini na huenda wanaingilia mawasiliaono yenu, kwani teyari umeshagusa anga zao ya kulinda CCM isitolewe madarakani.
Kabla ya kumlaumu mtu kwanza anzeni na kutafuta hiyo bug. Bug huwekwa kwenye nduo, kama kifungo, kiatu kwenye kisigino, miwani, au secrete conference ya line ya simu ya mtu muhimu kama Dr. Slaa, Mbowe n.k.
Ushauri tuu mkuu.