BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
....Lolote lile linawezekana banaaa....Kumbuka kikulacho kinguoni mwako...Shibuda anaweza kutaka kujionyesha mbele ya jamii ya Watanzania kwamba hayuko karibu na kiongozi yeyote yule wa CHADEMA lakini si ajabu ndiye mratibu mkubwa wa mikakati ndani ya CHADEMA ili kukisambaratisha. Juhudi za Shibuda zinaeleweka kwa miaka mingi sasa.


Shibuda yuko karibu na kiongozi yupi mwandamizi? Zitto ametaja mtu kuwa na multiple ID, we kwa akili yako unadhani Shibuda anaweza hata kutumia Kompyuta? Shirikisha ubongo mkuu..