Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Moja ya maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA juzi ni KULIONGEZEA NGUVU JESHI LA MITANDAONI! Naoni kazi imeanza
 
Mods mnaweza weka ile barua ya mtandaoni kwenye hii thread????? mana ilio kwa katibu mkuu ina signature. hii ya hapa haina. kwa nini nisiamini kabisa ile ya katibu mkuu haijavuja ila yake ndo imevuja? then alimtumia kwa njia gani? fax, attachment? mkono? alimpa rafiki?
 
Leta ushahidi ni wapi nilikompinga publicly!
..Ben...kama ambavyo nimemsihi Zitto akutafte mumalize tofauti zenu kwa maslahi ya CHADEMA....pia nakushauri wewe umtafute Zitto..kwa uzuri tu...muyamalize yale mnayotofautiana. Hamna asiyejua kuwa wewe na Mh.Zitto hamna mahusiano mazuri...hili liko wazi..na ndio maana watu humu wanakuhusisha na hujuma dhidi ya Zitto...haswa pale wanaporejea issue ya masalia..

..Ningekua na uwezo ningemwomba mzee Mtei achukue muda wake (siku hizi simwoni humu JF)awakutanishe nyie vijana (haswa wewe na Zitto)ili awapatanishe....kwa manufaa ya chama chenu....maana uhusiano wenu ni muhimu kwa kujenga chama..

Mimi najiuliza sana..hivi nyie vijana CHADEMA haiwaumi kuona mnahusishwa na kukihujumu chama chenu (hata kama mnatumiwa)!!!...mbona hamjifunzi nidhamu kwa chama chenu (na viongozi wenu)...kama wanavyofanya vijana wa CCM mfano kina January..au Nape ..Malisa hata Mwigulu....n.k..lini umeona hawa vijana wanatoka kwenye mitandao ya kijamii wanawatuhumu (tena kwa majina)viongozi wao chamani????..pamoja na kwamba chama chao ccm kimejaa uchafu (mfano mifisadi)...hawafanyi hivi kwa vile wanajua kuna taratibu za chama walizorithi za ku deal na issues (japo hazifuatwi)....wewe...na masalia (waliotemwa)mnakuja humu JF mnatoa lawama kwa viongozi wenu (tena za fitna) kama vile hamna taratibu za chama!!...alafu mnataka kesho tuwakabidhi nchi muikomboe!!kweli!....ona yale makina Shonza na Mwampamba.....yamekua kama condom sasa...yanatumika kama taka...kwa kuwa hayajitambui.....tena hata huko CCM wanadharaulika sana (kama wangejua!)....

....Labda nikupe angalizo kuhusu kiongozi wako Zitto....kwa kukusaidia (ili umuheshimu)...Zitto amefanya vitu tangible nchi hii..na anaheshimika kwa hilo..na wala si ukaribu wake kwa Dr.Slaa au Mh.Mbowe....hili lazima ulijue...rejea mifano chini...na ndio sababu anakubalika hata ccm...

mh.Zitto...akishirikiana na Dr.Slaa na mh.Halima Mdee...walipambana single handedly bungeni kipindi kile...kwa ajili ya kutetea maslahi ya taifa hili....na taifa zima liliwajua.....Hizi kashfa za kagoda...deep green...meremeta...hata EPA na dowans..zisingejulikana kwa wananchi kama si juhudi za wapambanaji hawa..Kama hiyo haitoshi....Zitto aliwahi hata ku compromise ubunge wake pale alipofukuzwa bungeni..kwa ajili ya issue ya Buzwagi....kama hilo halitoshi...Zitto ameweza pia kuwatumikia watu wake jimboni mwake kama mbunge....haya yote yanatosha kumpa heshima ya kipekee....Ebu jiulize wewe umelifanyia nini taifa hili hadi sasa kama kijana???.....pamoja na kwamba unaweza kuwa na umri mkubwa kumzidi Zitto....umelifanyia nini taifa lako na jimbo lako???..mimi binafsi nakuona huku JF...sijakusikia popote.....

...Labda ushauri wa mwisho kwako kama kijana....labda una mambo yanayokufanya ufanye unayofanya...labda madaraka!!sijui.....nikushauri basi ugombee nafasi za uongozi chamani ili upata nafasi ya kuwatumikia watu wako...kama Zitto....na kama hutopata uongozi...basi nenda jimboni mwako kagombee ubunge ili upate nafasi ya kuwatumikia watanzania...kama anavyofanya Zitto.....Usipofanya hivyo lakini ukapata nafasi ya kuja humu JF kutoa shutuma kwa kiongozi wako....watu hawatakuelewa...sana sana utafanya watu wazidi kukuhusisha na hujuma dhidi kiongozi wako......kama wanavyofanya sasa.....nisome unielewe.....Mtafute Zitto personally....recoincile each other....
 
Ndugu kibaya ni kwamba uzi wako umetawaliwa na emotions na sio facts,kwa uzi wa ZZK kuhusu barua ukiulinganisha na huu wa kwako,wewe ndo unaonekana kirusi b'coz hauna fact hata moja ni mihemko yako tupu ndo imetawala na sisi humu wote ni watu wazima kwa hyo unapojaribu kuandka kitu kitafakari sana!hata kama tunamchukia ZZK hapa hakuna ulichoandika,kajipange upya!
 
ZZK anataka kutuaminisha kwamba kuna mtu kutoka uongozi wa juu wa chadema ndio amevujisha ile barua aliyoiandika kwa katibu mkuu kuhusu sakata la Rwekatare.

Tukumbuke Zitto haaminiki, yes sio mtu wa kumwamini hata ukifuatilia post zake hapa JF utagundua hilo.
Wana JF tujiulize hivi, kama ZZK aliweza kushirikiana na PM7 aka Masalia (ikumbukwe kuwa hawa ndio vijana ambao walikuwa wakishinda mitandaoni hata kabla hawajafukuzwa CDM wakisambaza ujumbe kwamba Zitto anataka kuuwawa).

Atashindwaje yeye mwenyewe kutumia vijana hawa au hata yeye mwenyewe kwa akaunti nyingine atashindwaje kuiupload ile barua hapa ili aweze pata nguvu ya kuja kuielezea na kutuaminisha kuwa kuna kirus na kumfight huyo anayemuita "virus"? (yeye ndio kirus namba 1)
Kumbukeni siasa ni mchezo mchafu.
Bahati nzuri Zitto amekiri kwamba mlengwa sio msacky... (bali ni yeye).
Hivyo basi, lilianza la Sumu kupitia kwa Ben Saanane ambalo lilipewa promo mwishoni ZZK akaja hapa na kulikana kwamba ni uzushi.

Kama mnakumbuka siku aliyokanusha lile suala la Sumu baada ya kuandikwa na gazeti la Mtanzania ZZK alisema kitu ambacho wengi hamjakitafakari sana, alisema:



Akimaanisha matendo ya Rwekatare ya ugaidi yasifanyiwe propaganda kwamba ni malengo ya CHADEMA.

What I see ni kwamba ZZK anajitafutia puplic sympathy kupitia story za yeye kutaka kuuwawa. Alianza kuwatuma akina Mchange washinde mitandaoni watuambie kwamba Slaa anataka kumuua na sasa anatuaminisha kwamba Rwekatare alipanga
kumdhuru yeye na si Msacky.
Tuwe makini na hizi dirty pilitics wana JF.

Kirusi chochote ndani ya CHADEMA ni kile kinachofanya kazi kwa ajili ya CCM na sio vinginevyo..

Hivyo kama tunahitaji kweli kujua kirusi ni nani ni lazima tujue kinafanya kazi kwa niaba ya nani.
Virusi viwili vilisharudi kwa aliyevituma... Bado vipo vingine.

Mkuu Top Thinker!!....Yes....,.kuna ukweli ndani ya jambo hilo! Loading.........
 
Bila kung'ata maneno ama kupepesa macho Zitto akiwa naibu katibu mkuu hakutumia njia sahihi kuwasiliana na katibu mkuu wake.
Kadri nilivyosoma majibu yake ya ufafanuzi juu ya barua yake na comments za wadau ninapata shaka na sababu za yeye kuandika barua, kuvuja mtandaoni kwa content za barua yake pamoja na hisia za barua yake kuvujishwa ofisini kwa katibu mkuu (makao makuu).

Kwa mtazamo wangu barua inaweza kuvujia kwa Zitto ama makao makuu. Lakini kwa jinsi anavyosisitiza kuwepo kirusi andamizi ndani ya Chadema makao makuu ni dhahiri anamlenga mtu fulani aliye karibu na uongozi wa makao makuu.
Mjadala umeonyesha Ben Saanane kuwa mtuhumiwa mkuu. Nadhani Zitto na wapambe wake wanatakiwa kuandika barua ya malalamiko kwa katibu mkuu juu ya Ben kama wana ushahidi, kuliko hivi wanavyofanya kumtuhumu bila kuweka ushahidi wa yeye kuhusika na barua yake.
Nyahende Thomas,

Hao wanaonitaja taja wanajua kinachoendelea.Baadhi yao ni wale watu ambao walikua wakishirikiana na gazeti la HOJA na AFRIKA LEO kuvujisha baadhi ya mambo kidogo tu na kuongeza uongo wa kutisha kwa maslahi yao binafsi.

Wengi niliwakataza kwa tabia hii akiwemo TUNTEMEKE taasisi(Habibu Mchange,Mtela Mwampamba,Juliana Shonza na ....)


WanaJF,

Ni wangapi mnakumbuka hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-moto-2015-dk-slaa-mbowe-zitto-hapatoshi.html

Habari hii ya gazeti la Afrika leo ilitungwa na watu hao hapo juu na wengine ambao sijawataja kwa maslahi yao.Wakaipeleka habari kwenye gazeti la Afrika Leo

Ililetwa humu tarehe 21 november,2012 saa 3:47 usiku.

Ililetwa kama soft copy huku ikijulikana kwamba gazeti la Afrika Leo halipo mtandaoni na hata kwenye blog ya gazeti lenyewe ilikua updated kwa mara ya mwisho mwezi February,2012.Wamesahau kwamba huu mchezo wa kuvujisha barua ninaujua.Huu mchezo wa kucheza na magazeti yenye mrengo fulani ninanujua.

Sasa kuna watu hapa wanajua mchezo huu naujua ila wanaendeleza mbinu zile zile na watu ni wale wale.Target hapa ni moja tu kumchafua Ben Saanane.Nitashinda!

Watu na malengo yao,tuwaachie.......! Hizi nguvu kubwa zinazotumika kunitafuta zitayeyuka. Nakumbuka nikiwa kidato cha sita wakati tunafanya mtihani wa chemistry Paper 3(practical) mwanafunzi mmoja alitumia nguvu nyingi na kuishia kuivuta chloroform yeye na kulala maabara hadi mtihani ukaisha.Ndiko watakakoishia watu hawa.....

Unafiki ni kitu kibaya sana sana.Hebu nisije niishie hapa
 
Zitto ......Well said mkuu nakuamin kila sikuwewe huwa wa kwanza kuwaonyesha njia na ukomavu wa kisiasa naamini kiongoz makin hutoka ndani ya wa2 makini waliotayari kwa changamoto zilizo mbele yao...kaka zito .wewe ni picha nzuri yenye ujumbe mkini kwa vijana wa ktanzani . Nakutakia mema na mungu akusimamie kwa kija jitihada zako.....vijana na makamanda wa cdm wajifunze kutoka kwako...siasa njaa hazma faida kwao..
 
Last edited by a moderator:
....Labda nikupe angalizo kuhusu kiongozi wako Zitto....kwa kukusaidia (ili umuheshimu)...Zitto amefanya vitu tangible nchi hii..na anaheshimika kwa hilo..na wala si ukaribu wake kwa Dr.Slaa au Mh.Mbowe....hili lazima ulijue...rejea mifano chini...na ndio sababu anakubalika hata ccm...

mh.Zitto...akishirikiana na Dr.Slaa na mh.Halima Mdee...walipambana single handedly bungeni kipindi kile...kwa ajili ya kutetea maslahi ya taifa hili....na taifa zima liliwajua.....Hizi kashfa za kagoda...deep green...meremeta...hata EPA na dowans..zisingejulikana kwa wananchi kama si juhudi za wapambanaji hawa..Kama hiyo haitoshi....Zitto aliwahi hata ku compromise ubunge wake pale alipofukuzwa bungeni..kwa ajili ya issue ya Buzwagi....kama hilo halitoshi...Zitto ameweza pia kuwatumikia watu wake jimboni mwake kama mbunge....haya yote yanatosha kumpa heshima ya kipekee....Ebu jiulize wewe umelifanyia nini taifa hili hadi sasa kama kijana???.........wewe umelifanyia nini taifa lako na jimbo lako???..mimi binafsi nakuona huku JF...sijakusikia popote......

...Kumlinganisha Zitto na Ben kisiasa ni kama kuulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu, haviwezi kushindana, na haviwezi kuwa na mashindano, nachofanya Ben ni kudra ya kuku tu kwa mwewe, ni sawa tu na kusema eti Dr Slaa angepatanishwa na Mwampamba, visisimizi. Ebu tuwaache hawa watoto (Ben, Mwampambana, Shonza, Mchange) wacheze kwenye ligi yao ya mchangani, "wakikua wataacha" lakini umefanya vyema kumpa angalizo, kwa kuwa bado hajafika kwenye "point of no return" kama wenzake, basi aufanyie kazi ushauri wako ili apone...

....Hawa vijana wangezijua level zao "kisiasa" wasingeingia ulingoni kwenye mapambano wasiyoweza kuyamudu, Rashid Matumla, alipokuwa kwenye form ya juu hasingeweza kupigana na Mike Tyson, ni kujitafutia kifo cha mapema tu, lakini tufanye nini kama hakuna utambuzi? anachofanya Ben ni kupigana na ukuta na mwishowe atakayeumia ni yeye mwenyewe...

...Ata akidanganywa na akina Josephine kwa kumtia moyo, anapaswa atumie akili kufahamu kuwa mawimbi yatakapozidi, ni rahisi sana kwa Dr Slaa au yeyote anayemtumikia kumtosa Ben kuliko kumtosa Zitto, Nyerere alipata kusema "kuwa na akili ni pamoja na kujua jambo unaloliweza na lile usiloliweza", kwa mwelekeo huu wa Ben, kama hatabadilika mapema, haihitaji kuwa mnajimu kukiona kifo cha mapema cha kisiasa cha "Ben" ata kabla hajaianza siasa yenyewe...
 
....Ningekua na uwezo ningemwomba mzee Mtei achukue muda wake (siku hizi simwoni humu JF)awakutanishe nyie vijana (haswa wewe na Zitto)ili awapatanishe....kwa manufaa ya chama chenu....maana uhusiano wenu ni muhimu kwa kujenga chama......



nderingosha,

Nashukuru sana kwa ushauri wako.

Mosi, Umeniweka katika kundi la vijana wanaotuhumu viongozi wao mitandaoni.Naomba uniletee uthibitisho wa hili jambo ambapo mimi nimemtuhumu kiongozi yeyote mtandaoni.Tafadhali naomba kama kuna mwenye ushahidi alete hapa.Wakati huo huo viongozi wa vyama vyote wajue kuna mipaka.heshima ni two traffic way....sijawahi kumuona kiongozi makini akimtuhumu kiongozi mwenzake au mwanachama kwenye media nje ya vikao vya chama katika mazingira yoyote yale.Hata wakati wa crisis busara zimekua zikitumika.Respect and honour is two-way traffic.I respect you, you respect me.Viongozi wote wa vyama vyote ndivyo wanavyotakiwa kufanya kwa wanachama na viongozi wao hata katika jamii tunazoishi.Nimelelewa hivyo


Pili,Mimi nawaheshimu viongozi wote wa chama changu.Kuanzia viongozi wa msingi,matawi hadi taifa.Ni kwa kuwa naelewa bila viongozi wa msingi na matawi basi kiongozi yeyote wa taifa hawezi kufanya jambo lolote

Tatu,Sina ugomvi binafsi na kiongozi yeyote ndani ya chama changu.Sijawahi kuwa na uhusiano binafsi

Nne, Mimi siyo mroho wa madaraka


Tano,Kiongozi yeyote aliyefanya jambo tangible kwa taifa namuheshimu sana bila kujali itikadi.Si kiongoizi tu hata wanataaluma,wasanii n.k. Wapo akina Hayati Shaaban Robert,Mzee Moris Nyanyussa, na hata Mzee Matonya waliombeza kuwa ni ombamba asiyestahili kuishi jijini(ni shujaa kwangu kwani kitendo chake kili-adress the social stupor we are in as a nation.Yeye alikua ombaomba ambaye ni Local,tunao ambao ni international.Tofauti ni kwamba wanavaa suti tu kwenda kuomba nje ya nchi)


Sita, Kama kijana nimeendelea kuitumia taaluma yangu ambayo inanifundisha kuwa straight forward na facts.Taifa limekumbwa na ugonjwa wa unafiki na woga.Huwezi kutaja ufisadi au rushwa bila kujadili unafiki na woga.Haya ndiyo yaliyolifikisha taifa hapa.Kuna baadhi ya vijana wameamka.Tuwaunganishe tusimame pamoja bila kujali itikadi zetu

I can see that many Tanzanian youths are now waking up to reality, the reality that the older generations want to continue with lavish lifestyle funded by corruption. We stand no chance to save our beloved country if we do not do anything, we stand no chance to succeed if we do not stand up for what is right.

They have left fashion designing and music to us; let the youth entertain us while we rob the nation. There is no hope for the Tanzanian Youth, please let's see it. We must say enough is enough of this corruption and for once let the older generation and Tanzania as a whole feel the impact of the youth. We can collaborate with all Tanzanian Universities (including the private ones) and students.

Massive shutdown and movement to the street. Tanzania is not the only African plagued with corruption, even South Africa is, but the Tanzania Youth can be the first to change things. Please Tanzanian Youth wake up for your slumber or die in poverty and corruption.Vijana haya ndiyo tunayotakiwa kujadili.tujadili sera na itikadi na pia tuwe na uwezo wa kusimama against dictatorship (both individual and institutional).Mapambano binafsi kwa sababu ya grudges hayatatusaidia kama taifa
 
Ben ukifukuzwa CDM usifikiri CCM watakupokea, na maisha yalivyo magumu hapa mjini sijui utakula wapi. Ushauri wa bure. bora umuangukie Zitto akusamehe.
 
Wewe kijana kwa hakika una matatizo ya akili. Upo uchi, unakimbia kichakani na kuficha uso tu... unasahau kwamba sehemu nyingine zote tunaziona
Blah blah...Leteni ushahidi.
ulivyo na upeo mfinyu wa kuchanganua mambo unajidanganya labda watu ni wajinga na hawajui kinachoendelea...


jaribu kuwa na hata aibu ya kibinadamu mkuu, ukishagundulika uchafu wako, pata aibu...huku kujitutumua kujitetea jf haitakusaidia katu...wewe ni muuaji kwa sumu mchana kweupe, afadhali ya mchawi anayeloga usiku
Ushahdi...si umeshatoka CHADEMA wewe?
uandishi kama wa ben saanane .kumbe una id nyingi harafu ugonvi wako na zito unalengo gani hasa zitto kakuumdhi nn.kwann msikae mpatanishwe.mbona ni nyie tu kila uchao. hauni aibu kumfanyia hivyo kijana mwenzio.jiheshimu ben unaboa sasa too much!
Unadhani kila mtu ana ID nyingi kama za kwako.Leta ushahidi wa haya uliyoandika hapa

Ungekua unawapenda vijana wenzako usingewakwapulia simu
Ungewapenda vijana wenzako usingewadhulumu vijana wenzako mkopo wa FINCA
ungewapenda vijana wenzako usingekua mtoa rushwa kwenye uchaguzi wa vijana huku ukijua rushwa na ufisadi ndiyo unaowaumiza vijana wenzako ndani ya taifa hili.Acha unafiki
 
"PAMOJA SANA" watashindana lakini hawatashindaa,,,,,,,,,,Kila kheri CDM
 
...Kumlinganisha Zitto na Ben kisiasa ni kama kuulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu, haviwezi kushindana, na haviwezi kuwa na mashindano, nachofanya Ben ni kudra ya kuku tu kwa mwewe, ni sawa tu na kusema eti Dr Slaa angepatanishwa na Mwampamba, visisimizi. Ebu tuwaache hawa watoto (Ben, Mwampambana, Shonza, Mchange) wacheze kwenye ligi yao ya mchangani, "wakikua wataacha" lakini umefanya vyema kumpa angalizo, kwa kuwa bado hajafika kwenye "point of no return" kama wenzake, basi aufanyie kazi ushauri wako ili apone...

....Hawa vijana wangezijua level zao "kisiasa" wasingeingia ulingoni kwenye mapambano wasiyoweza kuyamudu, Rashid Matumla, alipokuwa kwenye form ya juu hasingeweza kupigana na Mike Tyson, ni kujitafutia kifo cha mapema tu, lakini tufanye nini kama hakuna utambuzi? anachofanya Ben ni kupigana na ukuta na mwishowe atakayeumia ni yeye mwenyewe...

...Ata akidanganywa na akina Josephine kwa kumtia moyo, anapaswa atumie akili kufahamu kuwa mawimbi yatakapozidi, ni rahisi sana kwa Dr Slaa au yeyote anayemtumikia kumtosa Ben kuliko kumtosa Zitto, Nyerere alipata kusema "kuwa na akili ni pamoja na kujua jambo unaloliweza na lile usiloliweza", kwa mwelekeo huu wa Ben, kama hatabadilika mapema, haihitaji kuwa mnajimu kukiona kifo cha mapema cha kisiasa cha "Ben" ata kabla hajaianza siasa yenyewe...

Haya uliyoandika yana uhusiano gani?

Ni bora nife kisiasa kuliko kuishi kinafiki katika siasa

Kwanza haya mashindano unayoleta hapa ni ya kijinga.Siasa sio mashindano ya BBA.Epuka ku-expose ignorance on public forum
 
hii kitu niliwahi kuisema nikaonekana mtu wa ajabu

kuna weakness ya handling ya kesi ya lwakatare upande wa chadema kama chama

i am just trying ti imagine leo kinana akiwa na kesi inayofanana na ccm ikasimama kidete kumtetea, je wananchi wataelewa??



imefika wakati chadema inatakiwa iangalie outside the box na isiwe inakurupuka kwa kutmuia ushabiki na moyo tu



Kwani content ya ile video ni nini?

Si wansema kuwa chadema na sio Lwakatare inahusika na ugaidi.? Au mimi sielewi.


Mwisho wa siku Lwakatare akihukumiwa watasema ni chadema chama cha kikaidi, sio Lwakatare as individual.
 
Leta ushahidi ni wapi nilikompinga publicly!

Wewe kiazi kweli,hivi unafikiri toka uanze kumpinga na kumzodoa Zitto humu JF unafikiri watu hatuoni eeh?unafikiri tuna akili za samaki kama za kwako za kusahau ulichokiandika?Huwa nakushangaa sana unamvyompinga kiongonzi wako mbele ya wapiga kura wenu,hujui kwa kufanya hivyo unaharibu credibility ya chama?kama kweli waipenda CHADEMA na unataka ishike hatamu,jifunze kufunga mdomo wako kwa kumpinga kiongozi wako mbele ya hadhira.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom