Mkuu twende polepole na kauli ya Zitto kuhusu kirusi, Ameandika hivi....
Hapa ni kwamba ana uhakika kuna kirusi ndani ya Chama...
Hapa ni kwamba hamjui huyo kirusi na ameandika kwa hisia maana kama angekuwa anamjua angeshajua kuwa ni kiongozi mwandamizi au sio kiongozi mwandamizi. So hapa panakinzana na hapo juu. Anahisi kuna kirusi lakini hana uhakika so inawezekana pia hicho kirusi kisiwepo kabisa. Pili, katika "HISIA" zake za hicho kirusi amesema kipo karibu na viongozi waandamizi kwahiyo kirusi hicho chaweza kikatokana na yeye mwenyewe, watu wake au hata yeye ni kirusi kwa kujijua ama kutojijua...
Bado hana ufahamu wa kutosha kuhusu hicho kirusi na mimi naamini anaweza kuwa ni yeye mwenyewe...
Hizi ni porojo za
Zitto za kutuzuga watanzania wachache wenye akili. Soma signature yangu, angalia hayo yaliyo kwenye hiyo signature yalitokana na nini, angalia ishu ya Rwakatare, angalia
Zitto alivyokana kutaka kuuwawa na
Dr.W.Slaa, angalia tamthilia ya Lwakatale, then uunganishe dots, Shibuda hayupo kabisa....ni mijitu mizima kuamua kwa makusudi au kwa kutokujua kucheza ngoma ya CCM.
cc:
Ben Saanane Pasco Zitto,
majebere Matola