Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
SPEAKER: INAONEKANA WEWE NI MAGAMBA YALE YALE HUNAJIPYA. UNGEKUWA NA EVIDENCE UNGELETA HAPA JAMVINI NASI TUJUE HUO UKWELI. ACHA UNAFIKI NA UTANI WA KIJINGA KATIKA MAMBO YA CDM MAANA NI UHAI WA TAIFA HILI.:yo:
 
Wakuu.

Nimekutana na huu Mchango wa wakili Nyaronyo Kicheere ambaye pia ni mwanasheria wa Wilfred Lwekatare nikaona si vibaya nikawashirikisha kuusoma. Umeanza hivi...

Bandugu,

kwanza nikiri kwamba
namheshimu sana bwana zito zuberi kabwe, lakini kwa bahati mbaya sana siyaamini maneno aliyoyaandika humu jamvini
kuwa ndio ufafanuzi wake
kuhusiana na barua yake
inayoitaka chadema
kumsimamisha uongozi na
kumchunguza mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, mhaya mkuu wa ibwera, kagera- Bukoba - wilfred lwakatare.

Bandugu,
katika maelezo yake, zzk
anadai eti kuna kirusi katika
ngazi za juu za uongozi wa
chadema kinacho kihujumu
chama hicho kikuu cha
upinzani nchini! eti, kwa
mujibu wa zzk, kirusi hicho
ndicho id yake ilitumika
kuapulodi video inayomwonyesha lwakatare
akipanga ugaidi na kwamba Id hiyo hiyo kwa mujibu wa
uchunguzi wa zito zuberi
kabwe ndiyo iliyotumika
kuapulodi barua yake zito
kwenye mtandao!!!!!!!!!!

Bandugu,
hapa sizungumzii umuhimu au kutokuwa muhimu kwa
msimamo na barua hiyo ya
Zito bali nasema kama maneno ya zito ni ya kweli basi kirusi hicho ni zito zuberi kabwe mwenyewe.

kwa nini nasema
hivi????

nasema hivi kwa sababu nimeambiwa na
wanoko waliopo chadema
kuwa barua ya zito ni hard
copy maana ya maneno haya ni kwamba barua hiyo
imeandikwa kwenye karatasi
na kutiwa sahihi na zito
mwenyewe lakini barua iliyo
kwenye mtandao ni soft copy yaani ilitumwa kwa mtandao na walioiona wanadai kuwa haina sahihi ya zzk.

Bandugu,
ajabu ilioje ya mwenyezi
mungu subhana wa taala
mwenye kutoa neema kubwa kubwa na neema ndogondogo kwamba kwenye barua ya sasa
iliyoapolodiwa na kirusi
kilichopo ndani ya chadema
haina sahihi ya zito kuonesha kuwa imeskaniwa na kirusi ndani ya chadema???? barua ya
mtandaoni ingekuwa na sahihi hiyo ikaonekana tungekubali na kuamini kuwa kweli kuna
kirusi katika ngazi za juu za
chadema kinachovujisha siri za chama na kuswekwa
mtandaoni.

Swali: hii barua
isiyo na sahihi imetoka wapi na nani mwenye kujua siri ya barua ya zito aliyeivujisha bila kwanza kuhakikisha ina sahihi na kufanana na ile iliyopelekwa chadema???????? na mwenye tabia ya kusweka mtandaoni na kuvujisha vijambozi vingi tu
vya chama ni nani zaidi ya
zito????????

Bandugu,
mimi nyaronyo mwita
kicheere nikizingatia kwa
makini taarifa hizi za kinoko
kutoka ndani kabisa chamani nadhani ninayo haki ya kudhani kwamba barua hii imeapolodiwa na zito na kwamba id hiyo ya siri iliyotumika kuweka video ya kigaidi na barua ya siri mtandaoni ni id ya zito
mwenyewe.

Someni vizuri maelezo yangu haya halafu
mniambie kama ninalo kosa
lolote kwa kudhani na kuamini kuwa zito ndiye kirusi mwenyewe kwa barua na video ya kigaidi.

Kicheere, tungi, kigamboni,
tanganyika territory.

» Nimeuchota mchango huu kwenye jukwaa la Mabadiliko.
 
Zitto is a controversial politician! Fuatilia michango inayomhusu huku jamvini; lakini pia hata nje ya JF.

Namkumbuka Ben Saanane wakati akitumia jina la Ben; na maneno yake "Little boy among men". Misimamo yake ni crystal clear.

thats the effect of mahaba kupita kiasi
 
Tatizo la watu humu ndani ni kuyumbishwa kama upepo. Mimi nasema hivi kirusi ndani ya Chadema ni Zitto. Wote tunaamini aliyetengeneza na baadae ku upload video ile alikuwa na nia mbaya na Chadema lakini yawezekana alikuwa na nia nzuri na Zitto. Aliye iweka barua mtandaoni kwa vyovyote vile alikuwa na nia mbaya na Chadema na pia alikuwa na nia ya kumtetea Zitto. Kama mtu huyu kwa mujibu wa Zitto ametumia ID ile ile basi mtu huyo lazima awe mtu wa karibu na Zitto au ni zitto mwenyewe. Iweje barua ambayo haina saini ivujishwe mtandaoni? Barua husika inaonekana kunakilishwa kwa watu kadhaa akiwemo Mwenyekiti, Wakurugenzi, nadhani wapo zaidi ya 10 pale Makao Makuu, kwa Makamu wenyeviti n.k iweje leo ahisi kwamba hiyo barua imeavujishwa na mtu mwenye nafasi ya uandamizi? Je huko kote alikopeleka barua kama nakala alikabidhi barua hiyo kama Confidential? Maswali kama haya watu akama kina Pasco hawataki kushughulika nayo ila wanakimbilia kwenye conclusion nyepesi nyepesi kwamba kirusi ni XYZ..Hili sakata la Lwakatare litamuumbua mtu nawahakikishieni na hatima ya huyo mtu ipo kwa Mwigulu Nchemba aliyesema ule mkanda alipewa na kiongozi wa CDM. Ole wake siku ambayo Mwigulu atabanwa na kutaja mtu aliyempa mkanda huo. Kuna watu watapotea kwenye sura ya siasa za Tanzania....Let's wait and see
 
Last edited by a moderator:
Tulianza na Mungu na nina uhakuka wa kumaliza nae......Ni kama Bahari ya Shamu na Mto Jordan Tutavuka tu CDM are forever
 
Wakuu.Nimekutana na huu Mchango wa wakili Nyaronyo Kicheere ambaye pia ni mwanasheria wa Wilfred Lwekatare nikaona si vibaya nikawashirikisha kuusoma. Umeanza hivi...Bandugu,kwanza nikiri kwambanamheshimu sana bwana zito zuberi kabwe, lakini kwa bahati mbaya sana siyaamini maneno aliyoyaandika humu jamvinikuwa ndio ufafanuzi wakekuhusiana na barua yakeinayoitaka chademakumsimamisha uongozi nakumchunguza mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, mhaya mkuu wa ibwera, kagera- Bukoba - wilfred lwakatare.Bandugu,katika maelezo yake, zzkanadai eti kuna kirusi katikangazi za juu za uongozi wachadema kinacho kihujumuchama hicho kikuu chaupinzani nchini! eti, kwamujibu wa zzk, kirusi hichondicho id yake ilitumikakuapulodi video inayomwonyesha lwakatareakipanga ugaidi na kwamba Id hiyo hiyo kwa mujibu wauchunguzi wa zito zuberikabwe ndiyo iliyotumikakuapulodi barua yake zitokwenye mtandao!!!!!!!!!!Bandugu,hapa sizungumzii umuhimu au kutokuwa muhimu kwamsimamo na barua hiyo yaZito bali nasema kama maneno ya zito ni ya kweli basi kirusi hicho ni zito zuberi kabwe mwenyewe. kwa nini nasemahivi???? nasema hivi kwa sababu nimeambiwa nawanoko waliopo chademakuwa barua ya zito ni hardcopy maana ya maneno haya ni kwamba barua hiyoimeandikwa kwenye karatasina kutiwa sahihi na zitomwenyewe lakini barua iliyokwenye mtandao ni soft copy yaani ilitumwa kwa mtandao na walioiona wanadai kuwa haina sahihi ya zzk.Bandugu,ajabu ilioje ya mwenyezimungu subhana wa taalamwenye kutoa neema kubwa kubwa na neema ndogondogo kwamba kwenye barua ya sasailiyoapolodiwa na kirusikilichopo ndani ya chademahaina sahihi ya zito kuonesha kuwa imeskaniwa na kirusi ndani ya chadema???? barua yamtandaoni ingekuwa na sahihi hiyo ikaonekana tungekubali na kuamini kuwa kweli kunakirusi katika ngazi za juu zachadema kinachovujisha siri za chama na kuswekwamtandaoni.Swali: hii baruaisiyo na sahihi imetoka wapi na nani mwenye kujua siri ya barua ya zito aliyeivujisha bila kwanza kuhakikisha ina sahihi na kufanana na ile iliyopelekwa chadema???????? na mwenye tabia ya kusweka mtandaoni na kuvujisha vijambozi vingi tuvya chama ni nani zaidi yazito????????Bandugu,mimi nyaronyo mwitakicheere nikizingatia kwamakini taarifa hizi za kinokokutoka ndani kabisa chamani nadhani ninayo haki ya kudhani kwamba barua hii imeapolodiwa na zito na kwamba id hiyo ya siri iliyotumika kuweka video ya kigaidi na barua ya siri mtandaoni ni id ya zitomwenyewe. Someni vizuri maelezo yangu haya halafumniambie kama ninalo kosalolote kwa kudhani na kuamini kuwa zito ndiye kirusi mwenyewe kwa barua na video ya kigaidi.Kicheere, tungi, kigamboni,tanganyika territory.» Nimeuchota mchango huu kwenye jukwaa la Mabadiliko.
Huyu poti nae ni mwanasheria lakini hayuko makini.Zitto hajasema hii barua ndio exactly ile aliyoandika bali amesema ina maudhui sawa na ya barua aliyoandika yeye.Halafu, sijui ameongea kama mwanasheria wa Lwakatare ama kama Kicheere, maana kama anaandika kumdefend mteja wake inawezekana objectivity ikapotea kwa sababu ya njaa ya pesa ya CDM.
 
..Ben...kama ambavyo nimemsihi Zitto akutafte mumalize tofauti zenu kwa maslahi ya CDM....pia nakushauri wewe umtafute Zitto..kwa uzuri tu...muyamalize yale mnayotofautiana. Hamna asiyejua kuwa wewe na Mh.Zitto hamna mahusiano mazuri...hili liko wazi..na ndio maana watu humu wanakuhusisha na hujuma dhidi ya Zitto...haswa pale wanaporejea issue ya masalia..

..Ningekua na uwezo ningemwomba mzee Mtei achukue muda wake (siku hizi simwoni humu JF)awakutanishe nyie vijana (haswa wewe na Zitto)ili awapatanishe....kwa manufaa ya chama chenu....maana uhusiano wenu ni muhimu kwa kujenga chama..

Vitu vingine vinashangaza........!
 
Wakuu.

Nimekutana na huu Mchango wa wakili Nyaronyo Kicheere ambaye pia ni mwanasheria wa Wilfred Lwekatare nikaona si vibaya nikawashirikisha kuusoma. Umeanza hivi...

Bandugu,

kwanza nikiri kwamba namheshimu sana bwana zito zuberi kabwe, lakini kwa bahati mbaya sana siyaamini maneno aliyoyaandika humu jamvini kuwa ndio ufafanuzi wake kuhusiana na barua yake inayoitaka chadema kumsimamisha uongozi na kumchunguza mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, mhaya mkuu wa ibwera, kagera- Bukoba - wilfred lwakatare.

Bandugu, katika maelezo yake, zzk anadai eti kuna kirusi katika ngazi za juu za uongozi wa chadema kinacho kihujumu chama hicho kikuu cha upinzani nchini! eti, kwa mujibu wa zzk, kirusi hicho ndicho id yake ilitumika kuapulodi video inayomwonyesha lwakatare akipanga ugaidi na kwamba Id hiyo hiyo kwa mujibu wa uchunguzi wa zito zuberi kabwe ndiyo iliyotumika kuapulodi barua yake zito kwenye mtandao!!!!!!!!!!

Bandugu, hapa sizungumzii umuhimu au kutokuwa muhimu kwa msimamo na barua hiyo ya Zito bali nasema kama maneno ya zito ni ya kweli basi kirusi hicho ni zito zuberi kabwe mwenyewe.

kwa nini nasema hivi????

nasema hivi kwa sababu nimeambiwa na wanoko waliopo chadema kuwa barua ya zito ni hard copy maana ya maneno haya ni kwamba barua hiyo imeandikwa kwenye karatasi na kutiwa sahihi na zito mwenyewe lakini barua iliyo kwenye mtandao ni soft copy yaani ilitumwa kwa mtandao na walioiona wanadai kuwa haina sahihi ya zzk.

Bandugu, ajabu ilioje ya mwenyezi mungu subhana wa taala mwenye kutoa neema kubwa kubwa na neema ndogondogo kwamba kwenye barua ya sasa iliyoapolodiwa na kirusi kilichopo ndani ya chadema haina sahihi ya zito kuonesha kuwa imeskaniwa na kirusi ndani ya chadema???? barua ya mtandaoni ingekuwa na sahihi hiyo ikaonekana tungekubali na kuamini kuwa kweli kuna
kirusi katika ngazi za juu za chadema kinachovujisha siri za chama na kuswekwa mtandaoni.

Swali: hii barua isiyo na sahihi imetoka wapi na nani mwenye kujua siri ya barua ya zito aliyeivujisha bila kwanza kuhakikisha ina sahihi na kufanana na ile iliyopelekwa chadema???????? na mwenye tabia ya kusweka mtandaoni na kuvujisha vijambozi vingi tu
vya chama ni nani zaidi ya zito????????

Bandugu, mimi nyaronyo mwita kicheere nikizingatia kwa makini taarifa hizi za kinoko kutoka ndani kabisa chamani nadhani ninayo haki ya kudhani kwamba barua hii imeapolodiwa na zito na kwamba id hiyo ya siri iliyotumika kuweka video ya kigaidi na barua ya siri mtandaoni ni id ya zito mwenyewe.

Someni vizuri maelezo yangu haya halafu mniambie kama ninalo kosa lolote kwa kudhani na kuamini kuwa zito ndiye kirusi mwenyewe kwa barua na video ya kigaidi.

Kicheere, tungi, kigamboni,
tanganyika territory.

» Nimeuchota mchango huu kwenye jukwaa la Mabadiliko.

Nakala ya barua husika iligawiwa kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ili ijadiliwe. Masaa mawili baadaye ikawa tayari imepandishwa hapa JF ikiwa kama rasimu (draft) bila sahihi wala mihuri ya kupokelewa. Mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
  • Masaa mawili ni muda tosha kabisa kwa typist hata yule mwenye speed ya kudonoa kuweza kuinakili upya katika soft copy na kuidurufu.
  • Hili sikusimuliwa bali ninalisimulia; ZZK alipopigiwa simu na Uongozi wa JF kuombwa atoe maelezo juu ya barua hii muda mchache tu baada ya Kikao cha Kamati Kuu alishtuka sana kusikia kuwa hiyo barua tayari iko nje ya mikono ya Wajumbe wa Kamati Kuu na imeishapandishwa mitandaoni. Mwanzo alikana kabisa uwepo wa barua hiyo mpaka alipothibitishiwa kwa kusomewa neno kwa neno
  • ZZK angeweza kuivujisha siku chache baada ya kuikabidhi kwa Katibu Mkuu (tarehe 15 Machi, 2013). Kwa nini asubiri mpaka baada ya Kamati Kuu?
Ushauri:
CHADEMA na washirika wake wanapaswa kuwekeza nguvu zao na moyo wa dhati katika kurejesha utulivu katika chama. Wakati mwingine waathirika hutafuta ukaribu na watesi wao wakidhani ndiyo hekima, busara na njia sahihi ya kuponya majeraha. Fursa kama hii ikitokea watesi waliorejewa na akili hukubali ujumbe wa maridhiano na kuanza zama mpya. Kuendelea kwenu na kupalilia mifarakano ya ndani kunawandalia umauti hapo Novemba, 2013 katika Uchaguzi Mkuu wa Ndani. Siombei hili litokee!

Jambo la kuweka maanani, 2015 siyo ya chama wala mtu. Ni mwaka wa tumaini la mabadiliko kwa Watanzania. Wasipoamini kuwa watayapata kupitia CHADEMA basi watayatafuta au kuyafuata kwingineko kule ilimradi azma yao itimie.
 
Najua mh zitto mambo mengi yatasemwa na kuonyesha wewe ndo mhusika wa ku upload barua ile.

Tambua unamaadui wengi ndani na nje ya chama chako mimi nakuusia usimamie misingi yake mwisho wabaya wako wataaibika tu.

Umeamua kuukana ukweli juu ya suala la wewe kuuliwa kwa sumu na Ben saa8 kwa maagizo ya dr Slaa,umelipinga hilo si kwakuwa haujui bali ni kwakuwa unakipenda chama na watanzania wenzako.

Umepinga ndani ya chama hakuna kutoelewana kati ya viongozi ila sisi twaiona wazi chuki ya viongozi wenzako kama Slaa na Mbowe na pia kitendo chako cha kuandika barua kwa slaa(katibu mkuu) kwa sababu wao hauko karibu nao.

Unaonekana haushiriki vilivyo katika harakati za m4c kwakuwa unajuwa wanakuwinda at anytime t unaweza kuuliwa.
Watanzania wapenda haki twayaona haya na hakuna wa kutubadili na kukuchukia wewe kwa propaganda dhaifu kama hizi wanazokuzushia.
Mungu akuongoze.
 
Jamaa ni mnafiki tu, anauma na kupuliza

ila tahadhari yake ina mantik viongozi wasiipuuze japo siwezi jua ukweli kamili ila na perceive kuwa kuna watu wa karibu sana na kiongozi target tena anayewaamini ndiyo watakao muuza kama Yuda alivyofanya kumbusu Yesu....nashukuru Mungu huyo amesha believe instinct zake na kuruka kihunzi wahusika wanashangaa amechomokaje? Basi nami namtahadharisha asidharau dhamira yake alichokihisi kina ukweli ndani yake.
 
WANACHONIKERA CHADEMA, iwe kwa viongozi wao wakuu, wa kati na hata wafuasi wa kawaida, ni hivi vilio vya kuhujumiwa ama kugawanywa na CCM!! Kwanini mkubali kugawanywa au kuhujumiwa?

Leo akija mtu kwangu, kisha akanifitinisha na ndugu yangu; nami nikazichukua fitina hizo....je, mpumbavu hapo ni nani? Yule mfitini au mimi niliyekubali kufitinishwa?! Kwani CHADEMA ni chama cha watoto wadogo wenye uwezo mdogo wa utambuzi?! Hivi tatizo ni CCM au ni nyinyi wenyewe ambao miongoni mwenu kuna waganga njaa?!

Mathalani, kama kweli Ludovick alipewa TZS 50,000/- ili atengeneze ile video, sasa wa kulaumiwa hapo ni Nchemba au nyinyi wenyewe!! Ikiwa "wanaorubuniwa na CCM" ni watu wazima tena wenye nyadhifa basi tatizo kuu ni chama chenu wenyewe na sio CCM....yaani, you're so cheap hadi mnakera!!

Wanaume wazima kila siku mnalia lia kwamba CCM wanawagawanya, mara CCM wanawahujumu; STUPID! Kwani nyinyi hamjui hao CCM wanapatikana wapi? Nanyi si muwagawanye tu, ala! Mtabaki kulia lia hivi hivi kila cku....

I'll always insist, No Any Political Ground Has Clean Players, NONE....wherever you go!! We call it politics of survival. The more cheap players u've in your team, the more the chance to be defeated!
 
Kuna kitu kimoja ndugu zangu cha kukumbuka. Moto uliowashwa na CDM upo hai na utazidi kuwaka hata kama viongozi waliopo watarubuniwa kukivuruga chama. Idea kuwa viongozi wakigombana itakiua CDM kama ilivyokuwa kwa NCR Mageuzi ni outdated
 
Mimi nikushukuru kujitokeza hadharani kukiri content ya barua yako uliyompelekea Katibu mkuu wa chadema.

Lakini mimi napata wasiwasi juu ya nia yako thabiti ama ya wazi au iliyojificha juu ya jambo ambalo wewe unalijua liko moyoni mwako isipokuwa hutaki kulianika mtandaoni. Pengine kwa hekima hiyo nakupongeza. Lakini nashindwa kuelewa hasa ni kwa nini haukuweza kuongea na katibu mkuu wako au mwenyekiti wako wa chama ama kwa simu au ana kwa ana na kuelezea nia yako ya kutaka uchunguzi ufanyike? Do you see eye to eye with your top leaders (je unayomahusiano mazuri kweli na viongozi wako wa juu awe katibu mkuu au mwenyekiti?). Unawaogopa nini hata usikabiliane nao uso kwa uso kuzungumzia kuundwa kwa timu ya uchunguzi? Unadhani uli think through critically and reflectively kabla ya kuandika barua?

Je uliiandika hii barua kwa nia njema au ukiwa na ajenda ya siri moyoni? Hukuiandika hii barua ukijua wazi kabisa kuwa ama wewe utai-leak-isha au ita-leak-ishwa na mtu mwingine ili kuuzodoa uongozi wa juu wa chama chako? au ili wewe upate credit kuwa unapenda justice? Kwa nini Zitto usionekane kwamba uliandika ukiwa na ajenda ama ya kuweka documentary evidence ili kuja kukigeuka/kukiumbua chama chako huko mbeleni iwapo hakitaridhia ombi lako la kuunda tume? au wewe kutaka uonekane umejitakasa kwa swala la lwakatare? Hivi unaiaminishaje jamii kwamba wewe zitto ambaye ni mbunge na naibu katibu mkuu wa chama umwandikie katibu mkuu wa chama km 'wewe binafsi'? Hivyo vyeo vyako tunavibanduaje ktk kiwiliwili cha Zitto ambaye tunamtambua ni kiongozi? Hivi niambie ni lini umefanya mambo ya umma ukatambuliwa km zitto asiye mbunge au kiongozi wa chadema?

Kwa kweli bado sioni logic ya wewe kuandika barua kwa uongozi wa chama ambamo na wewe ni pete na kidole! Hivi katika uzoefu wako wa uongozi bado hukuona kuwa barua yako ingeweza ku-leaked kwa njia yoyote hasa ukizingatia mazingira ya siasa katika chama chako na taifa kwa ujumla hasa kwa chama kikuu cha upinzani dhidi ya ccm? Hivi ulivyokuwa unamwandikia katibu mkuu wako ni kwamba wewe ulikuwa umejiondoa kwenye hierarchy ya uongozi chadema? Ulikuwa unamwandikia katibu mkuu kwa vile hamuongei? au kwa sababu utaratibu wa mawasiliano naye ni wa nyaraka tu? au ulikuwa unaogopa kunukuliwa vibaya naye? au katiba ya chama inasema katibu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kuunda tume ya uchunguzi? Hukujua km kikao cha kamati kuu ya chadema kilikuwa kimeitishwa? km ulijua au hukujua ulijadili na viongozi wenzio kuona km wangeitisha kikao cha dharura kinachokubalika ktk katiba ya chadema ili kuja kujadili kwa kina na kukubaliana juu ya hatua stahili ya kuchukuliwa? au ili na wewe upate nafasi ya kusikiliza 'facts' za swala hilo ambazo pengine hukuwa nazo na baada ya hapo sasa ndo utoe mapendekezo yako ktk kikao stahili?

Mimi nadhani Zitto hukufanya risk assessment ya barua yako kwa swala sensitive km hilo; au ulikuwa ill-advised na watu wako wa karibu make barua yako hiyo si kwamba inajenga reputation ya chama bali inakipasua/unakidhalilisha au kukianika kwa maadui wenu wa kisiasa. Na hili mimi naamini unalifanya ukijua kabisa athari zake isipokuwa unatumia udhaifu wa wengi wetu kuangalia vitu too literally na sio critically, na humo ndimo unapitia kuwa-mislead wafuasi wako, public au wanachama wa chama chako!

Huwezi ukaniambia leo jambo likitokea ccm - Mwigulu anaweza kumwandikia barua katibu mkuu kinana au mwenyekiti wake Kikwete badala ya ku-seek audience with both or either of them na kujadili maswala sensitive ana kwa ana ama kwa simu km ni very urgent! Kwa kweli katika hili mh Zitto ulipotoka - kaa reflect uone ulipokosea. Kumbuka hakuna sehemu isiyokuwa na conflicts lakini we learn how to manage them NOT to escalate them.

Mimi bado naamini unayo nafasi ya kuja kuwa kiongozi mkubwa tu ktk chama au nchi isipokuwa 'you need to trade politics carefully and be patient'. Remember 'Good things come to those who wait'.
 
slaa hana sifa za uongozi, tutafanya makosa akipewa nchi

Habari za machinjioni kwanza. Iwapo Kikwete ni raisi basi kila mtu anaweza kuwa Raisi, Lusinde, Komba, Shibuda, Prof Majimarefu, Marehemu Kanumba, , Joti, Bambo the list goes on and on......
 
slaa hana sifa za uongozi, tutafanya makosa akipewa nchi
JK anasifa Bwana!
Ona alivyosuluhisha issue ya Kuchinja kwa kuwaambia wakristu (akimaanisha yule mtoto mkristu aliyeshawishiwa na rafiki mtoto wa kiislam) wanakojolea kurani
 
slaa hana sifa za uongozi, tutafanya makosa akipewa nchi

uhakika upo wapi marcopolo kwamba siri hasa ya babrua hii imeleak toka ofisi ya katibu mkuu?je hakuna uwezekano kabla zzk hajasign alimpa mtu wa kwenda kuaplodi mtandaoni?au ndani ya ofisi secretary ametype harakaharaka akafoward kwa maadui wa cdm?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom