Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Wewe kiazi kweli,hivi unafikiri toka uanze kumpinga na kumzodoa Zitto humu JF unafikiri watu hatuoni eeh?unafikiri tuna akili za samaki kama za kwako za kusahau ulichokiandika?Huwa nakushangaa sana unamvyompinga kiongonzi wako mbele ya wapiga kura wenu,hujui kwa kufanya hivyo unaharibu credibility ya chama?kama kweli waipenda CHADEMA na unataka ishike hatamu,jifunze kufunga mdomo wako kwa kumpinga kiongozi wako mbele ya hadhira.
Amempinga wapi? Au kusema ukweli kuepuka upotoshaji nikupinga?Wewe kiazi kweli,hivi unafikiri toka uanze kumpinga na kumzodoa Zitto humu JF unafikiri watu hatuoni eeh?unafikiri tuna akili za samaki kama za kwako za kusahau ulichokiandika?Huwa nakushangaa sana unamvyompinga kiongonzi wako mbele ya wapiga kura wenu,hujui kwa kufanya hivyo unaharibu credibility ya chama?kama kweli waipenda CHADEMA na unataka ishike hatamu,jifunze kufunga mdomo wako kwa kumpinga kiongozi wako mbele ya hadhira.
Leta envidence.....Unabwabwaja tu.
Tangu lini wewe ukaanza kuwa mtetezi wa CHADEMA?Post zako zipo huku na mtazamo wako juu ya CHADEMA.Kaa mbali
hata kama ni ukweli si AMSEMEE HUKO KINONDONI?nini maana ya office?kuliko kusemea humu.Sisi tunataka watuambie watatufanyia nini tukiwapa nchi?sio kuja mara Zitto this that.Amempinga wapi? Au kusema ukweli kuepuka upotoshaji nikupinga?
Siyo kila mtu,hakuna mwingine...ni wewe tu.Labda uje na lile jina lako halisiwe kila mtu aliiba simu hiyo cd imechoka hapa ni sumu na unafiki
Huyu mtu anateitwa saa mbili ananitia kichefuchefu hata ninappomsoma kwenye vtombo vya habari namfananisha na yuda iskarioti
Najua mnanitafuta sana.Ukiweza kuthibitisha haya sitachukua hata sekunde moja,nitajiondoa CHADEMA kuliko kushiriki dhambi hii kubwa.
Ni kawaida kwa wachawi kuongoza kwa kulia kwa kwi kwi misibani ili kupotosha uhusika wao
Siyo kila mtu,hakuna mwingine...ni wewe tu.Labda uje na lile jina lako halisi
Sina mpango wa kuacha kukutia kichefuchefu.Kama unatarajia relief,haipo.Kichefuchefu hiki utaendelea kukipata kwa muda mrefu uja😵le wako!
Degree zikiwa za kununua basi serikali ya chama chako kipya kupitia ubalozi wa Tanzania itakua dalali katika manunuzi hayo maana ndiyo iliyonitafutia Shule huko.Mkiwa huko Moshi muulize katibu wako wa Itikadi na uenezi anajua maana yeye ndiye aliyekuja kimagumashi kule na nguvu ya ziada kutumika ili apate admission.....labda hiki ulichoandika unamtukana kisirisiri maana na wewe una historia ya kinafiki na kujisahauutafutwe we nani nchi hii? Mtafuta sifa kupitia majina ya watu? Mwanaume mbea? Mnafiki? Muuaji kwa sumu? Haya yote yanayokiyumbisha chama chanzo ni wewe...ungekuwa na subira hata upate mda wa kutafakari haya maneno.uwe na iabu unajidhalilisha sana na degree zako za kununua india
hadija kopa
Degree zikiwa za kununua basi serikali ya chama chako kipya kupitia ubalozi wa Tanzania itakua dalali katika manunuzi hayo maana ndiyo iliyonitafutia Shule huko.Mkiwa huko Moshi muulize katibu wako wa Itikadi na uenezi anajua maana yeye ndiye aliyekuja kimagumashi kule na nguvu ya ziada kutumika ili apate admission.....labda hiki ulichoandika unamtukana kisirisiri maana na wewe una historia ya kinafiki na kujisahau
Niliwaambia hii michezo ya kwenye mitandao na media muache kabisa.Msidhani mnajua kucheza na akili za watu.Mmesahau tuliyokua tukifanya pamoja? Hamtashinda vita hii,ni lazima muombe kikombe cha maji mkae chini.Namtanguliza Mungu mbele!
Haya uliyoandika yana uhusiano gani?
Ni bora nife kisiasa
Kwanza haya mashindano unayoleta hapa ni ya kijinga.Siasa sio mashindano ya BBA
...Leteni ushahidi.
Ushahdi...si umeshatoka CHADEMA wewe?
Unadhani kila mtu ana ID nyingi kama za kwako.Leta ushahidi wa haya uliyoandika hapa
Ungekua unawapenda vijana wenzako usingewakwapulia simu
Ungewapenda vijana wenzako usingewadhulumu vijana wenzako mkopo wa FINCA
ungewapenda vijana wenzako usingekua mtoa rushwa kwenye uchaguzi wa vijana huku ukijua rushwa na ufisadi ndiyo unaowaumiza vijana wenzako ndani ya taifa hili.Acha unafiki
Leta envidence.....Unabwabwaja tu.
.Kaa mbali
...kaaazi kwelikweli, hizi ndizo dalili za mtu aliyeyekaribu kufikia kwenye arobaini yake (elastic limit) ya ufitini wa uuzaji maneno, miti inaanza kuteleza, sasa hivi "lugha ya picha" ishakuwa unreachable, saizi kila mtu akichangia unaweweseka tu "aku sikusema","ah masalia", "oh Shonza", "oh Mchange","oh Mwampamba", tafadhari kabla haujafikia hali mbaya zaidi mtafute mwanasaikolojia itakusaidia sana...