Ama kweli, CCM ni waharamia ila Mungu Yuko nasi tutashinda na zaidi ya kushinda
Zitto is a controversial politician! Fuatilia michango inayomhusu huku jamvini; lakini pia hata nje ya JF.
Namkumbuka Ben Saanane wakati akitumia jina la Ben; na maneno yake "Little boy among men". Misimamo yake ni crystal clear.
Huyu poti nae ni mwanasheria lakini hayuko makini.Zitto hajasema hii barua ndio exactly ile aliyoandika bali amesema ina maudhui sawa na ya barua aliyoandika yeye.Halafu, sijui ameongea kama mwanasheria wa Lwakatare ama kama Kicheere, maana kama anaandika kumdefend mteja wake inawezekana objectivity ikapotea kwa sababu ya njaa ya pesa ya CDM.Wakuu.Nimekutana na huu Mchango wa wakili Nyaronyo Kicheere ambaye pia ni mwanasheria wa Wilfred Lwekatare nikaona si vibaya nikawashirikisha kuusoma. Umeanza hivi...Bandugu,kwanza nikiri kwambanamheshimu sana bwana zito zuberi kabwe, lakini kwa bahati mbaya sana siyaamini maneno aliyoyaandika humu jamvinikuwa ndio ufafanuzi wakekuhusiana na barua yakeinayoitaka chademakumsimamisha uongozi nakumchunguza mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, mhaya mkuu wa ibwera, kagera- Bukoba - wilfred lwakatare.Bandugu,katika maelezo yake, zzkanadai eti kuna kirusi katikangazi za juu za uongozi wachadema kinacho kihujumuchama hicho kikuu chaupinzani nchini! eti, kwamujibu wa zzk, kirusi hichondicho id yake ilitumikakuapulodi video inayomwonyesha lwakatareakipanga ugaidi na kwamba Id hiyo hiyo kwa mujibu wauchunguzi wa zito zuberikabwe ndiyo iliyotumikakuapulodi barua yake zitokwenye mtandao!!!!!!!!!!Bandugu,hapa sizungumzii umuhimu au kutokuwa muhimu kwamsimamo na barua hiyo yaZito bali nasema kama maneno ya zito ni ya kweli basi kirusi hicho ni zito zuberi kabwe mwenyewe. kwa nini nasemahivi???? nasema hivi kwa sababu nimeambiwa nawanoko waliopo chademakuwa barua ya zito ni hardcopy maana ya maneno haya ni kwamba barua hiyoimeandikwa kwenye karatasina kutiwa sahihi na zitomwenyewe lakini barua iliyokwenye mtandao ni soft copy yaani ilitumwa kwa mtandao na walioiona wanadai kuwa haina sahihi ya zzk.Bandugu,ajabu ilioje ya mwenyezimungu subhana wa taalamwenye kutoa neema kubwa kubwa na neema ndogondogo kwamba kwenye barua ya sasailiyoapolodiwa na kirusikilichopo ndani ya chademahaina sahihi ya zito kuonesha kuwa imeskaniwa na kirusi ndani ya chadema???? barua yamtandaoni ingekuwa na sahihi hiyo ikaonekana tungekubali na kuamini kuwa kweli kunakirusi katika ngazi za juu zachadema kinachovujisha siri za chama na kuswekwamtandaoni.Swali: hii baruaisiyo na sahihi imetoka wapi na nani mwenye kujua siri ya barua ya zito aliyeivujisha bila kwanza kuhakikisha ina sahihi na kufanana na ile iliyopelekwa chadema???????? na mwenye tabia ya kusweka mtandaoni na kuvujisha vijambozi vingi tuvya chama ni nani zaidi yazito????????Bandugu,mimi nyaronyo mwitakicheere nikizingatia kwamakini taarifa hizi za kinokokutoka ndani kabisa chamani nadhani ninayo haki ya kudhani kwamba barua hii imeapolodiwa na zito na kwamba id hiyo ya siri iliyotumika kuweka video ya kigaidi na barua ya siri mtandaoni ni id ya zitomwenyewe. Someni vizuri maelezo yangu haya halafumniambie kama ninalo kosalolote kwa kudhani na kuamini kuwa zito ndiye kirusi mwenyewe kwa barua na video ya kigaidi.Kicheere, tungi, kigamboni,tanganyika territory.» Nimeuchota mchango huu kwenye jukwaa la Mabadiliko.
..Ben...kama ambavyo nimemsihi Zitto akutafte mumalize tofauti zenu kwa maslahi ya CDM....pia nakushauri wewe umtafute Zitto..kwa uzuri tu...muyamalize yale mnayotofautiana. Hamna asiyejua kuwa wewe na Mh.Zitto hamna mahusiano mazuri...hili liko wazi..na ndio maana watu humu wanakuhusisha na hujuma dhidi ya Zitto...haswa pale wanaporejea issue ya masalia..
..Ningekua na uwezo ningemwomba mzee Mtei achukue muda wake (siku hizi simwoni humu JF)awakutanishe nyie vijana (haswa wewe na Zitto)ili awapatanishe....kwa manufaa ya chama chenu....maana uhusiano wenu ni muhimu kwa kujenga chama..
Wakuu.
Nimekutana na huu Mchango wa wakili Nyaronyo Kicheere ambaye pia ni mwanasheria wa Wilfred Lwekatare nikaona si vibaya nikawashirikisha kuusoma. Umeanza hivi...
Bandugu,
kwanza nikiri kwamba namheshimu sana bwana zito zuberi kabwe, lakini kwa bahati mbaya sana siyaamini maneno aliyoyaandika humu jamvini kuwa ndio ufafanuzi wake kuhusiana na barua yake inayoitaka chadema kumsimamisha uongozi na kumchunguza mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, mhaya mkuu wa ibwera, kagera- Bukoba - wilfred lwakatare.
Bandugu, katika maelezo yake, zzk anadai eti kuna kirusi katika ngazi za juu za uongozi wa chadema kinacho kihujumu chama hicho kikuu cha upinzani nchini! eti, kwa mujibu wa zzk, kirusi hicho ndicho id yake ilitumika kuapulodi video inayomwonyesha lwakatare akipanga ugaidi na kwamba Id hiyo hiyo kwa mujibu wa uchunguzi wa zito zuberi kabwe ndiyo iliyotumika kuapulodi barua yake zito kwenye mtandao!!!!!!!!!!
Bandugu, hapa sizungumzii umuhimu au kutokuwa muhimu kwa msimamo na barua hiyo ya Zito bali nasema kama maneno ya zito ni ya kweli basi kirusi hicho ni zito zuberi kabwe mwenyewe.
kwa nini nasema hivi????
nasema hivi kwa sababu nimeambiwa na wanoko waliopo chadema kuwa barua ya zito ni hard copy maana ya maneno haya ni kwamba barua hiyo imeandikwa kwenye karatasi na kutiwa sahihi na zito mwenyewe lakini barua iliyo kwenye mtandao ni soft copy yaani ilitumwa kwa mtandao na walioiona wanadai kuwa haina sahihi ya zzk.
Bandugu, ajabu ilioje ya mwenyezi mungu subhana wa taala mwenye kutoa neema kubwa kubwa na neema ndogondogo kwamba kwenye barua ya sasa iliyoapolodiwa na kirusi kilichopo ndani ya chadema haina sahihi ya zito kuonesha kuwa imeskaniwa na kirusi ndani ya chadema???? barua ya mtandaoni ingekuwa na sahihi hiyo ikaonekana tungekubali na kuamini kuwa kweli kuna
kirusi katika ngazi za juu za chadema kinachovujisha siri za chama na kuswekwa mtandaoni.
Swali: hii barua isiyo na sahihi imetoka wapi na nani mwenye kujua siri ya barua ya zito aliyeivujisha bila kwanza kuhakikisha ina sahihi na kufanana na ile iliyopelekwa chadema???????? na mwenye tabia ya kusweka mtandaoni na kuvujisha vijambozi vingi tu
vya chama ni nani zaidi ya zito????????
Bandugu, mimi nyaronyo mwita kicheere nikizingatia kwa makini taarifa hizi za kinoko kutoka ndani kabisa chamani nadhani ninayo haki ya kudhani kwamba barua hii imeapolodiwa na zito na kwamba id hiyo ya siri iliyotumika kuweka video ya kigaidi na barua ya siri mtandaoni ni id ya zito mwenyewe.
Someni vizuri maelezo yangu haya halafu mniambie kama ninalo kosa lolote kwa kudhani na kuamini kuwa zito ndiye kirusi mwenyewe kwa barua na video ya kigaidi.
Kicheere, tungi, kigamboni,
tanganyika territory.
» Nimeuchota mchango huu kwenye jukwaa la Mabadiliko.
Jamaa ni mnafiki tu, anauma na kupuliza
Ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi.
Cc Mohamedi Mtoi Nduka njiwa
slaa hana sifa za uongozi, tutafanya makosa akipewa nchi
JK anasifa Bwana!slaa hana sifa za uongozi, tutafanya makosa akipewa nchi
slaa hana sifa za uongozi, tutafanya makosa akipewa nchi