Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.

watu wenye verified ID muwe waangalifu sana na comment zenu

wapi imeandikwa kuwa huwezi kuandika barua kwenye uongozi wako?
 

is he serious? acheni jamani kutukana taalamu za watu<
 
Kirusi Chadema ni kiongozi mwandamizi na ana mizizi yake. Siku ambayo Hell ita break loose mtashangaa.
 
Nilishasema na ninarudia tena nitakuwa wa mwisho kumuamini Zitto, kama kweli amebadili tabia yake tutaona mbele ya safari. Angalia maelezo yake kuwa kirusi kilicho karibu na viongozi wa juu ndio wameweka hiyo barua mtandaoni, je yeye si kiongozi wa ngazi ya juu wa chadema na chanzo cha barua ni yeye? inamaana haiwezi kuwa imewekwa hata na wanafamilia yake? Tusichezewe akili Wanachadema waaminifu tuwe makini na watu hawa wenye tamma ya mali na madaraka. Zitto anataka kutuonyesha kuwa barua ambayo chanzo ni yeye imewekwa mtandaoni na watu walio karibu na viongozi wa juu na inaonekana yeye anajitenga chunguzeni kwa makini maelezo yake. Linganisha hiyo na ile issue ya akina Kafulila, masalia, mawasiliano yake na UWT na ile ya wenzake kutoka Bungeni wakati JK anataka kuhutubia yeye akasusa kutokana na urafiki wake na JK je sasa urafiki umeisha? Je sasa amamuasi mtu aliyempigia kampeni na anamuita si tu rafiki bali Baba? WanaJF na wana Chadema waaminifu chunguzeni na mchukue hatua.
 
y Mohamedi Mtoi
Wakuu.

Nimekutana na huu Mchango wa wakili Nyaronyo Kicheere ambaye pia ni mwanasheria wa Wilfred Lwekatare nikaona si vibaya nikawashirikisha kuusoma. Umeanza hivi...

Bandugu,

kwanza nikiri kwamba
namheshimu sana bwana zito zuberi kabwe, lakini kwa bahati mbaya sana siyaamini maneno aliyoyaandika humu jamvini
kuwa ndio ufafanuzi wake
kuhusiana na barua yake
inayoitaka chadema
kumsimamisha uongozi na
kumchunguza mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, mhaya mkuu wa ibwera, kagera- Bukoba - wilfred lwakatare.

Bandugu,
katika maelezo yake, zzk
anadai eti kuna kirusi katika
ngazi za juu za uongozi wa
chadema kinacho kihujumu
chama hicho kikuu cha
upinzani nchini! eti, kwa
mujibu wa zzk, kirusi hicho
ndicho id yake ilitumika
kuapulodi video inayomwonyesha lwakatare
akipanga ugaidi na kwamba Id hiyo hiyo kwa mujibu wa
uchunguzi wa zito zuberi
kabwe ndiyo iliyotumika
kuapulodi barua yake zito
kwenye mtandao!!!!!!!!!!

Bandugu,
hapa sizungumzii umuhimu au kutokuwa muhimu kwa
msimamo na barua hiyo ya
Zito bali nasema kama maneno ya zito ni ya kweli basi kirusi hicho ni zito zuberi kabwe mwenyewe.

kwa nini nasema
hivi????

nasema hivi kwa sababu nimeambiwa na
wanoko waliopo chadema
kuwa barua ya zito ni hard
copy maana ya maneno haya ni kwamba barua hiyo
imeandikwa kwenye karatasi
na kutiwa sahihi na zito
mwenyewe lakini barua iliyo
kwenye mtandao ni soft copy yaani ilitumwa kwa mtandao na walioiona wanadai kuwa haina sahihi ya zzk.

Bandugu,
ajabu ilioje ya mwenyezi
mungu subhana wa taala
mwenye kutoa neema kubwa kubwa na neema ndogondogo kwamba kwenye barua ya sasa
iliyoapolodiwa na kirusi
kilichopo ndani ya chadema
haina sahihi ya zito kuonesha kuwa imeskaniwa na kirusi ndani ya chadema???? barua ya
mtandaoni ingekuwa na sahihi hiyo ikaonekana tungekubali na kuamini kuwa kweli kuna
kirusi katika ngazi za juu za
chadema kinachovujisha siri za chama na kuswekwa
mtandaoni.

Swali: hii barua
isiyo na sahihi imetoka wapi na nani mwenye kujua siri ya barua ya zito aliyeivujisha bila kwanza kuhakikisha ina sahihi na kufanana na ile iliyopelekwa chadema???????? na mwenye tabia ya kusweka mtandaoni na kuvujisha vijambozi vingi tu
vya chama ni nani zaidi ya
zito????????

Bandugu,
mimi nyaronyo mwita
kicheere nikizingatia kwa
makini taarifa hizi za kinoko
kutoka ndani kabisa chamani nadhani ninayo haki ya kudhani kwamba barua hii imeapolodiwa na zito na kwamba id hiyo ya siri iliyotumika kuweka video ya kigaidi na barua ya siri mtandaoni ni id ya zito
mwenyewe.

Someni vizuri maelezo yangu haya halafu
mniambie kama ninalo kosa
lolote kwa kudhani na kuamini kuwa zito ndiye kirusi mwenyewe kwa barua na video ya kigaidi.

Kicheere, tungi, kigamboni,
tanganyika territory.

» Nimeuchota mchango huu kwenye jukwaa la Mabadiliko.
HAYA MAELEZO SI YA KUBEZA HATA KIDOGO, ZITTO HAAMINIKI, ANAWASILIANA NA AKINA nCHEMBA, MAKAMBA JR, TISS NA NDIO ALIYEKUWA ANAASISI KUBADILISHWA KWA UMRI WA KUGOMBEA URAIS NA WAZEE WASIGOMBEE NA MENGINE MENGI HUYU HAAMINIKI NA ANATUMIWA SANA NA CCM NA ANAPEWA PESA NYINGI SANA KWA KAZI HIYO. aLAANIWE KABISA KAMA ANATUMIWA KUZUIA UKOMBOZI WA NCHI YETU KUTOKA KWA MAKABURI WEUSI (CCM). wATANZANIA TUAMKE NA TUKATAE MBINU OVU ZA KUTA KUENDELEA KUTUKANDAMIZA.
 
ndg yangu zitto wewe huaminiki na maneno yako na mwenendo wako unazidi kutuonyesha jinsi ulivyo na jinsi 2015 inavyo karibia unazidi kujionyesha. Kama ccm wameahidi kujiunga na wewe ukianzisha chama na unajiamini si uondoke tuu bila kuwachafua wengine na kukihujumu chadema?
 
Zitto ni material muhimu katika cdm. Ushauri ni kuwa viongozi wakuu wachukue tahadhari na watu wanaowapelekea taarifa mbaya dhidi ya viongozi waandamizi wa CDM. huko ni kuchonganisha. mbinu nyingina wanayoweza kuitumia ni kutunga uongo kuhusu shutuma za viongozi wa upande mwingine ili viongozi wa cdm wategwe wazitamke haraka halafu baadae ionekane haikuwa hivyo lengo cdm waumbuke. cdm msipasue bomu lolote bila kujriidhisha pasipo shaka. mnaweza kuletewa bomu mlipue kumbe mnajilipua wenyewe. ikiwa cdm mtavuka haya majaribio mjue litakwa pigo kuu kwa maadui.
 
Wakuu tusitafune maneno hapa,kirusi katika sakata zima ni ZZK mwenyewe hakuna mwingine..barua kaandika yeye akasaini akaipeleka kwa katibu mkuu..then soft copy nyingine akatumia ID feki na kupost humu jf..Hii ina maana gani...kama alivyosema mwenyewe kuwa aliyepost barua ndiye aliyepost video then again with 100% confidence ZZK ndiye aliye post video na indeed ndiye aliyejiita bukoba boy..naona watu wengi amewarubuni kwa maelezo yake ambayo ni wenye ku think critically na kusoma between lines ukiunganisha dots kibao ndo unagundua ZZK is behind everything that is happening in CHADEMA..nia yake ni ileile katumwa na CCM at the end of the day alisambaratishe chama itakapofika kwenye mchakato wa kuteua wagombea urais kichama au hata kabla ya hapo kama uongozi wa CHADEMA hautakuwa makini.
 
is he serious? acheni jamani kutukana taalamu za watu<
Kaaaazi kweli kweli...wish mngelifahamu tuendako vijana na siasa zetu za mizengwe...!...jamii isiposalimika kwa kalamu ya msomi nafuu itapatikana wapi????...!!!
 

We jamaa umetokwa na povu kupita maelezo. Kumbuka Zitto si bora kiongozi na huyo Kirusi ni janga na tumeshamjua.
 

Hakuna mtu mjinga kama zito.Ni mnafiki sana acha kumtetea.Unganisha doti kuanzia mawasiliano yake na wakuu wa TISS wakati wa uchaguzi 2010 na mambo yote yanayotokea sasa ikiwa ni pamoja na barua ya kumsaliti Lwakatare ambayo hatimae kaiweka yeye mwenyewe mtandaoni na kujifanya hajui aloiweka.Huyu mtu ovyo kabisa katika historia ya mageuzi ya kidemokrasia
 
NYARAKA NZITO ZA CCM ZAVUJA Taarifa za ndani kabisa zilizopatikana kutoka kwa Waandishi wa habari,Vyombo vya usalama na ndani ya CCM kwenyewe zinaonyesha sakata la Kuteswa kwa Kibanda na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa usalama wa Chadema ndugu Alfred Lwakatare linachukua sura mpya na mapya yamefichuka kwa ushahidi. Dennis Msacky ambaye ni mhariri wa Mwananchi aliyehusishwa na kuwa mojawapo wa watu waliopangwa kutekwa,amekua akifanya mawasiliano na Ludovick Joseph Lwezaura kama ifuatavyo Tarehe 27/12/2012: Dennis Msacky kupitia simu ya mkononi namba 07643310** aliwasiliana kwa simu na Ludovick Joseph kupitia simu namba 07539271** akiwa Tamal hotel,Mwenge jijini dar-Es Salaam. Hii ilikua siku moja kabla ya mkanda wa video uliowekwa youtube kurekodiwa.mkanda ulionyesha kuwa ulirekodiwa kesho yake yaani tarehe 28/12/2013 Tarehe 30/12/2012 Dennis Msacky kupitia simu namba 07643310** aliwasiliana na Ludovick kupitia simu namba 07539271** mnamo saa tano na dakika 8 asubuhi akiwa Iringa. Hii ilikua siku moja baaada ya Mwigulu Nchemba kutangaza kupitia kituo cha televisheni cha Star TV kwamba anao mkanda unaoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.. Tarehe 31/12/2012 Dennis Msacky alimpigia simu ludovick kwa namba hizo hizo mnamo saa moja kamili usiku (19:00),wakati huo Ludovick akiwa Tegeta Huyu ni mtu aliyepangwa kutekwa,lakini alikua na mawasiliano na kijana Ludovick ambaye ni Mtuhumiwa. Pandikizi Ludovick alikua na mawasiliano na Mwigulu nchemba na pia zimepatikana envidence za kutumiana fedha na mwigulu Nchemba alikiri hilo. Duru mpya zimeendelea kuonyesha kuwa Dennis Msacky anatumika kwa kiwango cha kutisha katika kuihujumu CHADEMA akishirikiana na Rafiki yake ambaye ni waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi,Mwigulu Nchemba,Nape Nnauye,Zitto kabwe na Steven Wassira. Lengo la mipango hii ni kutaka: Mosi,Chadema kichukiwe na waandishi wa habari. Pili,Kutaka Chadema kionekane chama cha kigaidi ili kifutwe . Tatu,Zitto alipoandika barua kwa katibu mkuu wa chadema haikua bahati mbaya.na hata ilipovujishwa na yeye mwenyewe ilikua ni mkakati wa Zitto kujionyesha kwamba yeye ni rafiki zaidi wa waandishi wa habari na msimamo wake baada ya kuona unakwama akaamua kujitoa. Zitto anajua mkakati wote kuanzia mwanzo hadi mwisho.Barua yake aliiandika kwa makusudi na alijua ataivujisha baada ya kikao cha kamati kuu akishirikiana na Msafiri Mtemelwa siku ya ijumaa iliyopita tarehe 5/04/2013 na kisha kukaa kimya hadi siku iliyofuata siku ya jumamosi tarehe 06/04/2013 alipojitokeza na kutoa tamko la kuthibitisha barua hiyo imevuja na kujaribu kuihusisha ofisi ya katibu mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Chadema pamoja na kuongea mambo ambayo yeye sio msemaji wa vikao vya kamati kuu kinyume na kanuni,miongozo na taratibu za chama hicho .. Ikumbukwe kuwa Gazeti la Mwanahalisi lilichapisha mawasiliano ya Zitto na Dennis Msacky wakipanga kukihujumu Chadema miaka iliyopita.kitendo hicho kilichafua sifa ya Dennis Msacky na chombo anachofanyia kazi. Hadi muda huu duru za ndani kutoka mwananchi Communications ltd zinadai kuwa uongozi na hata wafanyakazi wa chombo hicho hawakufurahishwa na uhusika wa dennis Msacky katika kuhujumu vyama vya upinzani akishirikiana na vyombo vya dola huku wakihisi kuwa amehusika kwa namna moja ama nyingine na matukio mabaya ya kisiasa yaliyotokea likiwepo hili la Kibanda,la Dr.Ulimboka n.k
 
Muwe makini sasa na Zitto, kwasababu anataka kuwazunguka wenzake nakutaka kuaminisha uma kuwa hili suala la Lwakatare lina ukweli nadani yake na yeye hangependa kuunga mkono lakini viongozi wenzake wanaliunga mkono.

Kwa kawaida barua yakiofisi inapo pokelewa na ofisi nyingine yeyote lazima ipigwe stamp kuonyesha imepokelewa, kwa maneno mengine hupigwa muhuri wa "Received".

Sasa ukiangalia hii copy iliyo wekwa humu haina hiyo stamp, hii inamaanisha kwamba hiyo barua iliyoenda kwa Dr Slaa imepokelewa na wala haijaibiwa. Hii copy iliyo wekwa humu ni copy aliyo bakiwa nayo Zitto halafu akampa Shoza aje kuipost humu.

Kwahiyo Zitto asidanganye watu chadema kuna kirusi. Kirusi niyeye mwenyewe.

Nalazima mjiulize kwanini aandike barua na sisubiri kikao ayapeleke hayo mapendekezo yake???
 
Hivi karibuni, mara baada ya video ambayo Lwakatare, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA amehusishwa na mipango ya utekaji nyara wa mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Zito alikuwa mtu wa kwanza kumwandikia barua katibu Mkuu wa CHADEMA DR. SLAA, akimshauri kuwa Lwakatare anatakiwa kujiuzulu/kusimamishwa uongozi ili kuruhusu uchunguzi huru wa kuhusika kwake na upangaji wa mipango ya utekaji nyara watu.

Waingereza wanasema, 'walk the talk', kwa kiswahili rahisi ni sawa na kusema, 'tembea juu ya kile unachonena'. Katika tamko la CHADEMA, kupitia kwa mjumbe wake wa Baraza Kuu, Mabere marando, namba ya simu ya Zito imetokea katika orodha ya simu ambazo Marando na wanasheria wenzake wanaomsimamia Lwakatare, wanaihusisha na mipango ya utengenezaji wa video ambayo Lwakatare, anahusishwa na uandaaji wa mipango ya utekaji nyara watu.

Maadamu Mh. Zito, aliona na inaonekana ni mwumini mzuri wa demokrasia inayomtaka mtu kujiweka pembeni katika uongozi unapotuhumiwa kama alivyoeleza mwenyewe kwenye barua ya ushauri aliyomwandikia Katibu wake Mkuu, huu ndiyo muda sahihi wa Zito kutekeleza kwa vitendo nadharia inayoiamini. Zito ajiuzuru nafasi zote za uongozi ndani ya chama na ubunge ili kuruhusu uchunguzi unaoendelea unaomhusisha na ushiriki wa kuandaa video ya kuwatengenezea watu jinai. PLEASE ZITO WALK THE TALK.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…