Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.


Rejea para ya tatu ya uzi huu wa Zito, hasema kuwa barua n yake ila kasema hata yeye anashangaa kuona maudhui ya barua iliyorushwa humu jamvini yanafanana na barua yake aliyomuandikia katibu mkuu. jaribu kuwa makini kidogo unapotoa coment.
 

Hiyo yote unakwenda na assumption kuwa chama hakijui kilichokuwa kinaendelea

Labda wanamtetea kwa sababu walimtuma jee?
 

You are reading my mind. Nashangaa sana CDM kujihusisha moja kwa moja na kesi ya Lwakatare wakati mahakama (au hata investigation) hawajawahusisha moja kwa moja. Yawezekana sana jamaa alikua ana act binafsi au for some reasons completely external to chama. Sasa wakijifanya kuji-involve sana na baadae ikaja kuonekana kua he was planing for real sijui watasema nini maana if they can stand for a criminal (provided anaonekana he is guilty) itakua vigumu sana kuamini next time watasema one of them is innocent.
 
"Ukweli utaniweka huru!!"

Ki-ukweli mh. Zitto imani yangu kwako ilikuwa 0.05%!! Ila kadri siku zinavosonga napata tumaini jipya kwako!!

NB: Niwie radhi kwa kutokuamini hapo awali, ni kutokana kuna mda flani ulionekana kujichanganya na hata yalipokuwa yakitokea mambo sintofahamu, ulikuwa kimya kiasi cha kuwapa mwanya maadui!!

PIGA KAZI MKUU, BINAFSI NITAONGEZA MAOMBI JUU YAKO!!
 
Rejea para ya tatu ya uzi huu wa Zito, hasema kuwa barua n yake ila kasema hata yeye anashangaa kuona maudhui ya barua iliyorushwa humu jamvini yanafanana na barua yake aliyomuandikia katibu mkuu. jaribu kuwa makini kidogo unapotoa coment.
Haiondoi kua content ni yake. But I get your point. Asante
 
Onyesha sehemu Zitto anapo kiri kuwa ile barua niya kweli!? Nukuu uweke kwenye jibu.
labda anamaanisha hapa
 
Zigo la Lwakatare alibebe mwenyewe,,,,,ile video ni ya kwake na alirekodiwa akijua
 
Zitto nilianza kumwamini tangu alipofukuzwa bungeni kwa tuhuma za kusema uongo bungeni. Alizunguka na helicopter kutoa elimu ya uraia bila kuchoka.

Na kila aliemsikiliza kote alipohutubia, atakubaliana nami kuwa Zitto ni kiongozi shupavu mwenye msimamo usioyumbishwa na gamba lolote lile.

Hongera Zitto na uendelee na msimamo huo, wale wapenda mabadiliko Tz tupo nyuma yako. Mungu akubariki.
 
Mtatapatapa sana mwaka huu mwishowe "kusney!!!"chezea chama dola nyinyi?.
 

Unawashauri wawe woga wakate tamaa si ndio utakuwa mchezo wa kusingizia kila mtu, hatuna sababu ya sisi kuweka mahitimisho si kesi iko mahakamani unaonaje itakapojulika na TISS na CCM ndio walipanga deal lote wakati wao wanatanguliza kuchafua chadema wananchi si watapoteza imani na TISS na CCM mara alfu zaidi ya hapa
 
Muheshimiwa Zitto,

Hapa ndo huwa nakukubali, tunahitaji watu/viongozi wenye action kama ulivyo - react hapa. Nakushukuru sana mkuu kwa utaratibu wako huu wa kujitokeza na kujibu hoja hizi haraka iwezekanavyo hapa jamvini.

Nakubaliana na ushauri wako kwamba chama chetu kiko kwenye wakati mgumu sana kwa kipindi hiki kutokana na maadui wetu wanavyojipanga kutuharibia chama chetu.

Nami nashauri kuwa viongozi wetu mnapopata nafasi ya kuongea na wananchi iwe kwenye mikutano ya hadhara ama kwa namna yoyote, WAELEZENI WATANZANIA HUJUMA HIZI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI NA SERIKALI YAKE DHIDI YA CHADEMA.

PEOPLEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS.
 
Last edited by a moderator:
hii kitu niliwahi kuisema nikaonekana mtu wa ajabu

kuna weakness ya handling ya kesi ya lwakatare upande wa chadema kama chama

i am just trying ti imagine leo kinana akiwa na kesi inayofanana na ccm ikasimama kidete kumtetea, je wananchi wataelewa??


imefika wakati chadema inatakiwa iangalie outside the box na isiwe inakurupuka kwa kutmuia ushabiki na moyo tu
 
Ni katika hali kama hiyo watanzania huwa tunaoneka kuwa na wazalendo wa kweli,Hii CDM ina watu wachache sana wanaovujisha information kama ilivyo kwa Magamba,Ndiyo maana watu husema what goes arround always comes arround,so guys watch out kile kinachoonekana kuwapa CDM taarifa nyeti huenda ndo namna hiyo hiyo inatumiwa na Magamba,lakini naomba Kirusi kitafutiwe inactivation itakayo onyesha impact kwa wadau.thank ZK, Liverpool huwa na wimbo unaowaunganisha Anfield ukisema "you will never walk alone":rockon:.
 
MwanaFalsafa1

Labda tu uwoga wa hao wana chadema,kwani CCM imefanya maovu mangapi na iko madarakani?

CCM imehusishwa na Kolimba, KOMBE, ULIMBOKA, MWANGOSI, KADHIA ZA AJALI KUBWA ZA MELI NA TRENI, HALI NGUMU YA MAISHA NA UPUUZI MWINGI SANA WA RUSHWA NA KUTOROSHA NYARA ZA SERIKALI,TENA VIONGOZ WAKE WAANDAMIZI WANAHUSIKA, KUNA ANNABEN,KUNA DOWANS, RICHMOND SASA LEO CHADEMA WANAOGOPA SUALA DOGO KAMA HILI, SI UZUZU HUO?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…