BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

Jamaa Wa ovyo. Wamegeuza chanzo cha mapato.
 
Jamaa Wa ovyo. Wamegeuza chanzo cha mapato.
Hawatoi room ya kuwafanya wasanii na Sanaa yao kukua ila kuwarudisha nyuma 🙌

Nchi nyingine Serikali zinawapa support wasanii wao hadi kufikia kuwapa vitendea kazi hadi venue za kuigizia na shooting

Ila bongo ndiyo hakuna 🙌
 
Huu wimbo ushafikisha Views almost 900k YT. Cha kufanya Konde atauzuia kuonekana Tanzania, ukitaka kuuona tumia VPN.
View attachment 3677135
Hafu 900k kwa rpm ya $3 ni almost $2,700 tayari pesa ya BASATA ishapatikana.

Mbona picha haina shida, mavazi yameendana sawa kabisa na mazingira. Sasa hapo kwenye swimming pool walitaka avae vitenge? Hapo amevaa chupi japo mpaka ubenjue tako ndipo utaiona vizuri.
Tuonyesheni sasa vazi la huyo Nandi.
 
😂😂😂😂😂 Dah
 

Video haina tatizo kabisa, kama wanawalinda watazamaji wa Kitanzania basi waanze na video ambazo zina mambo ya kikubwa zaidi ya mara elfu moja ya hii video, dunia ni kijiji humu mitandaoni je wataweza kuzuia hizo video za nje?
 
Nilikua sijaiona hii video lakini baada ya kusikia imefungiwa ikabidi na mm niitafute niangalie yaliyomo kama yamo😆
Wameifanyia promo bila ya kujua, kwa muimbaji, director wa kideo na wahusika wengine haususan hilo shangingi it's a blessing in disguise.
Hata ambaye huwa siangalii hizi nyimbo za vijana imenibidi kuchungulia kunani humo kwenye kideo.
Nasubiri picha za huyo Nandi.
 
Taasisi haina weredi, nay wa mitego alisema wangekuwa watoto angeshawachapa, video ya harmonize ambayo ume vunja heshima ya mtazamaji si sawa ila nyimbo za wasanii wa America wanaokuwa uchi kabisa ni sawa kurushwa kwenye tv zetu.. wana force tuishi zama ujima na si vinginevyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…