Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
CCM hii nchini iliwashinda zamani, wanalazimisha kwa kuiba kura, matokeo yake ndio haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mkulima?Bashe ni wale wanajidai waomini wa soko huru wakati kitu halisi kipo kwa mazao nchini ni soko huria.
Ili soko kua huru kuna masharti lazima yatimie. Ukweli soko huru ni nadharia tu ndio maana nchi nyingi wanadhibiti masoko kufuatana kiwango cha udhibiti unayohitajika.
Masoko ya mazao hapa tz yanatawaliwa na walanguzi watupu halafu mtu unataka kusiwepo udhibiti eti soko liwe huru. Matokeo yake bei za vyakula zimepaa na wafaidika ni watu wa kati na wala sio wakulima.
Wewe uko dunia gani. Kwa nini unataka mkulima apangiwe bei ili uje uchukue kwa bei ya chee. Umeambiwa kilimo ni biashara kama biashara nyingine. Basi kama nia ni kukabiliana na upungufu wa chakula na bei kuwa juu, basi kila mmoja wetu achangie. Ukiwa mfanya kazi ukatwe pesa kuchangia kupanda bei ya chakula, kuanzishwe kodi ya kulinda bei ya chakula nk nk. Siyo mzigo wote atupiwe mkulima ambaye, anapohangaika kipindi cha msimu nyie wote mnapiga miluzi mijini kungojea vya nafuu.Naunga mkono Uzi huu. Ingawa Nampa pole mleta Uzi kwa kashfa anazoletewa humu na baadhi ya watu ambao nahisi wananufaika na mfumo wa Bei za vyakula kupanda. Maoni yangu; hakuna namna waziri mwenye dhamana anaweza kukwepa lawama katika hali hii! wananchi wanapata tabu sana kwa hali hii ya Sasa kwa kuwa hakuna utaratibu wa kuthibiti bei za mazao/ vyakula tangu awali, basi kama Kuna maghala ya vyakula ya serikali ambayo waziri wa kilimo alifanya jitihada hizo ili kuja kusaidia wananchi, huu ni muda muafaka sasa kuyafungua na kuuzia wananchi vyakula ili mabwanyenye wachache waliojipanga Sasa kuwahujumu na kuwaumiza wananchi washindwe. Ningekuwa Mimi waziri ningetoa bei elekezi ya mahindi ,Michele na maharage. Atakae uza zaidi ya hapo, akamatwe. Nchi hii inahitaji twende hivo maana wajaja wengi,wanaojingalia wao tu. Nawasilisha hoja.
Huyu ni waziri wa matamko tu.hana tofauti na mtu wa takwimu anasema mfumuko wa bei kwenye chakula ni himilivu halafu anafananisha maisha ya Tanzania na nchi jirani.kila nchi ina tamaduni na taratibu zake za kuishi wengine wanakula mlo mmoja kwa siku wanakuwa comfortable.Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Na haitashuka kwa sababu wanunuzi wa mazao kutoka nchi za Kenya, Uganda, Kongo, Malawi, Zambia, Rwanda na Burundi wako mashambani wananunua wenyewe mazao
Kwa hiyo kila mtu awe mkulima,wagonjwa watatibiwa na nani,Nenda ukalime na wewe ufaidike, acha kulia
Mimi nauza first clas rice,1500 kwa kilo,karibuni wateja nipo Mburahati.Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Inakuwaje wananunua na V8 ya milioni 500 wakati hali ya uchumi ni mbaya.Matatizo ya hili taifa ni mengi na makubwa kwa ku-pinpoint vichache unakuwa hauwatendei mema hawa watawala..., vitu vinategemeana kuanzia Nishati kutokuwa ya Uhakika..., uzembe wa kutokujiandaa kwa long term planning, bila kusahau kutumia pesa nyingi kwa propaganda na vitu vya kupita badala ya ku-stick with the basics...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Yaani walewale wanaohaidi wananchi maisha mazuri ndo wanaopinga mkulima kupata bei nzuri ya mazao yake. Yaani vitu vimepanda bei madukani, lakini watu wanataka mazao ya mkulima yasipande. Kilimo sasa ni dili, tikaende kulima najua tutafurahia.Mimi nampongeza sana Bashe bei ilikuwa chini kwasababu wananchi walizuiwa kufanya kilimo kuwa biashara na kulazimishwa na kupangiwa bei. Hili lilifanya wawekezaji wengi wasiwekeze kwenye kilimo. Bei ya sasa ndiyo bei ya ukweli na tunatakiwa kuongeza kilimo na kupunguza gharama za uzalishaji sio kuzuia wakulima kuuza chakula nje. Hivyo kama unataka bei ipungue basi unga mkono jitihada za uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuhimiza umwagiliaji na kujenga magala. Kulalama tu ni utamaduni ambao hausaidii yeyote. Huwezi kushinda vijiweni mapori yapo kila mahali na kulalamikia bei wakati hutaki kufanya kazi.
Exactly,Ila kwa mvua zinavyonyesha vizuri mpaka sasa na watu walivyojitokeza kulima kwa wingi tuombe Mungu mambo yakiendelea hivi mwakani bei ya mazao itashuka sana
Kupanda kwa bei ya mazao akumtegemei Waziri wa kilimo inategemeana na hali ya hewa na mavuno yanayopatika mwaka husika mwaka 2016 kilo moja ya sembe tulinunua tsh2500/= au umesahau?
Huo upumbavu wenu wa kufunga mipaka ulizikwa na Magufuli. Mipaka itaendelea kuwa wazi, wakulima wawauzie wateja popote ili wapate Bei nzuri.Naunga mkono Uzi huu. Ingawa Nampa pole mleta Uzi kwa kashfa anazoletewa humu na baadhi ya watu ambao nahisi wananufaika na mfumo wa Bei za vyakula kupanda. Maoni yangu; hakuna namna waziri mwenye dhamana anaweza kukwepa lawama katika hali hii! wananchi wanapata tabu sana kwa hali hii ya Sasa kwa kuwa hakuna utaratibu wa kuthibiti bei za mazao/ vyakula tangu awali, basi kama Kuna maghala ya vyakula ya serikali ambayo waziri wa kilimo alifanya jitihada hizo ili kuja kusaidia wananchi, huu ni muda muafaka sasa kuyafungua na kuuzia wananchi vyakula ili mabwanyenye wachache waliojipanga Sasa kuwahujumu na kuwaumiza wananchi washindwe. Ningekuwa Mimi waziri ningetoa bei elekezi ya mahindi ,Michele na maharage. Atakae uza zaidi ya hapo, akamatwe. Nchi hii inahitaji twende hivo maana wajaja wengi,wanaojingalia wao tu. Nawasilisha hoja.
Bashe anaakili mbovu sanaNa haitashuka kwa sababu wanunuzi wa mazao kutoka nchi za Kenya, Uganda, Kongo, Malawi, Zambia, Rwanda na Burundi wako mashambani wananunua wenyewe mazao
Halafu mtu anakuambia eti wakulima hawafaidiki bei hizi? Hivi kweli Mmalawi au Mzambia amefuata mazao shambani kwako utamuuziaje kwa Bei ya chini? Basi utakuwa TAAHIRANa haitashuka kwa sababu wanunuzi wa mazao kutoka nchi za Kenya, Uganda, Kongo, Malawi, Zambia, Rwanda na Burundi wako mashambani wananunua wenyewe mazao
Nchi hii ina upungufu wa wakulima,Kwa hiyo kila mtu awe mkulima,wagonjwa watatibiwa na nani,
Hiyo imeanza lini?.