Mtekeni huyo msomali sasa muanzishe movie nyingine. Wapumbavu wakubwa nyie. Nchi viongozi wana kazi nyingi ati wapoteze muda kujadili wavuta bangi? Wewe ndio zezeta sio WatzTusipoangalia hawa mapacha wawili wanaweza mteka hadi kadinali polycap Pengo. [emoji16][emoji16][emoji16]. Wamenogewa ati.
Nchi ya mazezeta hii,yaani unateka, unatesa halafu unajitangaza kuwa wewe mtekaji na mateka utawarudisha ukipenda. Mateka warudishwa na majeraha kibao basi kila kitu kitaishia hapo mpaka tukio lingine la kutekwa au kuuwawa, kupotea au kutolewa kucha. Nchi hii raha sana kuwa kiongozi,yaani ni rahisi mno kuongoza nchi hii kuliko kuishi na house girl wa kihehe maana hujui lini atajinyonga.
Nimeanza kurejea nyumbani mapema, nikikaribia nyumbani napiga simu nifunguliwe geti ili nisisimame kwa hofu japo sioni sababu ya kutekwa ni hofu tu
Hii ni style mpya ya cdm ya kusabotaji serikali....kipindi cha JK walikuja na style ya kuvamia vituo vya polisi na kuchukua silaa...
Huwa nachelewa sana kurudi home lkn sasa hivi 18:00hrs niko homeInatisha sana Mkuu nchi yetu si salama tena thanks to dikteta uchwara.
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie
"Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie. Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana".
Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.
Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.
Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'
Wasalaam
Usifikiri watu ni wavivu wa kufikiri ama ulivyo.Hii ni style mpya ya cdm ya kusabotaji serikali....kipindi cha JK walikuja na style ya kuvamia vituo vya polisi na kuchukua silaa...
Umejibu vizuri sana. Huyo akaoshe vyombo vya Rostam tuNani ampe Uwaziri huyo moron?
Wakiongozwa na watu wa kaskazini, wanasambaza hatred ili ionekane JPM hafai. Hawa watu wanatakiwa kuwa dealtHuyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?
Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.
Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.
Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Wale wakikuhitaji wanakudata hata asubuhi kwenye foleni ukielekea kibaruani kwako.Huwa nachelewa sana kurudi home lkn sasa hivi 18:00hrs niko home
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
...
Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'
Wasalaam