Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Kupotea kwa Roma Kulileta Hofu kubwa...
Nataka kuamini wamepitia mengi yaliyowaathiri kisaikolojia...
Tukumbuke kama walimteka kweli na wakamrudisha...watakuwepo karibu yake kulinda matashi yake,...

Cha Muhimu tusilaumu bali tushukuru karudi yu hai
 
Hapa Rwanda wapinzani wa dikteta Kagame huwa wanatekwa na kwenda kufanyiwa vitu vya ajabu kama ubakaji. Hakuna mwanaume anayeweza kukiri hadharani kufanyiwa hivyo. Na hutishiwa kwamba waliyoyapitia ndugu zao kama watoto au wazazi pia watapitia. Ndio maana wapinzani wa Rwanda wote wakubwa huwa wanahakikisha kwanza kuwa familia zao ziko nje ya Rwanda kabla hawajaanza harakati ndani ya Rwanda.
Huku Rwanda kuna watu wakitekwa wakiachiwa wanageuka wendawazimu, wengine wanacommit suicide, wengine wanakubali makosa ambayo kila mtu anajua hawana uwezo wa kuyafanya for the sake of usalama wa familia zao. Unakuta kijitu kama hamorapa kinatekwa, kinafichwa kwa wiki moja halafu kinaibuliwa polisi kikikiri kupanga njama za kumpindua kagame kwa kutumia silaha! Wale "waliohurumiwa" mateso kidogo huishia kujiunga na chama tawala na kuimba sifa za Kagame.
Tupige kelele kuwa wale waliomtolea nape bastola wakamatwe. Hakuna nchi ambayo tukio kama lile linaweza kutokea halafu polisi au usalama wa taifa wasijue wale ni kina nani. Tukiachilia hili la nape, basi tutakuwa njiani kuelekea Rwanda, nao walianza hivi hivi....
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Acha kupotosha wewe,majizi gani yamekomeshwa??we kwa mtazamao wako hafifu unaona anaiweza hii nchi??na utashangaa ukiambiwa uelezee matumizi ya pesa za walipa kodi zinavyotumika kuinua uchumi wa nchi na maisha ya watz utakuja na ngonjera za ndege na reli ya kati.watu kama nyie ambao mnatumika ndo reason ya taifa kutoendelea since badala ya kukuza taifa la watu wanaopenda mabadiliko na kuweka uzalendo na ukweli mbele tunaishia kujenga generation ya ma-puppet na wanaotumika kwa manufaa ya kipuuzi ya watawala!type ya watu kama wewe hata mkiambiwa uchumi wa nchi hauko stable utabisha na kusema ni wapiga dili ndo wanaolalamika!it's very shameful thing kwako wewe bunafsi na wanaotumika kama wewe.
 
Wale wakikuhitaji wanakudata hata asubuhi kwenye foleni ukielekea kibaruani kwako.
Duuh sitakubali kirahiri huwa nimejihami na kasilaha changu, wakija vibaya wanalo
 
Hofu ya mitandao. Sisi uraiani tupo shwari tu.

Haya mambo ya hofu yapo huko Somaliland tu.
Hahahaa dah hii ndio JF bwanaa

Yani Bashe eti kuna hofu....kumbe hofu ya FB hahahaa ya Mange Kimambiii....
 
Ukiendelea kubishana na mm ntakutaja and I will desclose your identity, wewe nakujua form four ulipata zero na Leo unadegree yako ya education, huna tofauti na BASHITE.
Si ujielekeze kuchambua na kujadili kilichoandikwa badala ya vitisho? Sasa vitisho vya nini? Ninawasikitikia waliokutuma uje kuwatetea humu JF. Unaruhusiwa kunitaja na usikishindwa kufanya hivyo basi ninapendekeza moderator akufungie kwa mwaka mmoja, had Aprili 9 2018!
 
Baada ya kauli kama hii dikteta uchwara ataendelea kukaa kimya!? Kwanini hataki kuzungumzia hii taharuki kubwa iliyotanda nchini!? Huyu kaambiwa na Mawaziri kwamba uhai wake upo kwenye hati hati. KULIKONI watu mbali mbali wenye uwezo wa kuzungumzia hii taharuki wameamua nao kuwa kimya!?
Taharuki unayoizungumzia iko ktk mitandao ya kijamii ila mtaani tuko vizuri hakuna hofu yoyote...

Nyie endeleeni kutiana hofu mitandaoni shauri yenu.

Mitandaoni mtu ana account 10 na analipwa kupandikiza chuki unafikiri utakosa hofu mitandaoni??? Bahati nzuri Rais aliishasema haongozwi kwa mitandao n.k
 
Ni wehu tu hawa mkuu, mbona mie huku niliko mji mzima hajatekwa hata mmoja. Ni wapuuzi tuwa kaskazini wanaleta porojo baada ya JPM kukata mirija yao TRA, Bandari na migodini sasa wanahaa kumchafua. They should pay the price
 
We kibstec. Unaleta ushabiki isio na goja wala maana yoyote. Mbunge anaposema ana taarifa za watekaji na anaomba bunge lijadili ili aongee. Wewe usie na taarifa unakuja kupinga bila taarifa ni ujuha wa hali ya juu. Huna neno la maana tullia.
 
Wewe kibstec acha mambo ya ukanda. Je waliogawiana Escrow walikuwa wa kaskazini. Mbona wote walitoka ziwa ila wale wa robota hatukujua walitoka msoga ama wapi.
 
Kinachotakiwa Bashe athibitishe maelezo yake pasi na Shaka.

Hakuna haja ya kuonea huruma mawaziri kama walichomwambia Bashe ni kweli.
Kama kuna watu nyuma ya Bashe wanainjinia mpango huu ili kuupaka matope utawala wa Magufuli, ajue imekula kwake.

Hili hatukubali lipite hivihivi kwa kuuingiza usalama wa taifa kwenye hii scandal ya utekaji na uuaji.
Ajipange kulithibitisha Hili tamko lake
Hichi kikundi asili yake ni zanzibar,wazanzibar wengi wameshapotezwa na hiki kikundi,sasa ni zamu ya watanganyika kupotezwa na kama hamjasimama kupinga uonevu huu basi imekula kwenu hiki kikundi kimezoea kula nyama za watu.
 
Hao Usalama kwa nnavyowajua wakiamua kumuondoa huyo kenge hata nywele zake hazitajua aache mbwembwe, mipango yao unafahamika sana na ni swala la muda tu wanakwenda kuumbuka
 
Hiki no chama cha mapinduzi,mapinduzi ambayo si ya kiuchumi au ya kimaendeleo bali ni mapinduzi ya umwagaji damu za raia.
 
Hiki nI chama cha mapinduzi,mapinduzi ambayo si ya kiuchumi au ya kimaendeleo bali ni mapinduzi ya umwagaji damu za raia.
 
Unajitangaza unataka kutekwa kwa kisa kipi! Acheni kutafuta sifa zisizo na maana! Mmeshindwa kuwa wabunifu kuyajenga majina yenu katika kutekeleza ilani ya uchaguzi na kumsaidia Mh Rais kufanya mambo ya maana kwa maendeleo ya wananchi wenu waliowachagua na nchi kwa ujumla ..... Mnahamishia mada zenu katika kutekwa.....Hii nchi ina vituko sana
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
I wish could be IGP
 
Hiki ni chama cha mapinduzi,mapinduzi ambayo si ya kifikra au uchumi bali ni mapinduzi ya umwagaji damu za raia wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom