Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Marhaba mjukuu wangu hujambo. Usilete ubaguzi mjukuu tukianza kuwatafuta mtuonyeshane makaburi ya babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu yako utachanganyikiwa. Mi makaburi yetu lipo la aliyezikwa mwaka 1356 lakini najua ndivyo dunia ilivyo, hii mipaka ni arbitrary tu tena wameweka wazungu juzi tu.
 
All
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Allah akubariki kwa kuwafumbua macho wafuata upepo.
 
Uthibitisho gani mwingine unaoutaka?

Imevamiwa Clouds TV na askari kwenye silaha za moto, aliyeunda Tume kuchunguza tukio hilo kafukuzwa kazi na aliyeenda na hao maaskari kuwatisha watangazaji wa Clouds anaendelea kupeta huku akikingiwa kifua na Mkulu!

Nape alitishiwa na bastola na mtu 'asiyejulikana' pale Protea Hotel, pamoja na agizo la Waziri wa mambo ya ndani kwa IGP Mangu, kuwa MTU huyo asakwe na kukamatwa na kufunguliwa mashitaka,hadi leo mtu huyo ameshindikana kukamatika!

Roma na wenziwe wametekwa na watu wasiojulikana, lakini baadaye tulimsikia 'ring leader'. wa 'Bashite Police Force' kuwa akina Roma watapatikana before Sunday.......

Na hakika ilipofika Saturday akina Roma walirudi uraiani!

Sasa ni kwa nini huyo 'ring leader' wa group hilo hatari ambaye keshafahamika anashindikana kukamatwa na vyombo vya dola na kufunguliwa mashitaka ya jinai ya utekaji nyara watu wasio na hatia!?
Mkuu usipate tabu. Raha ya utawala huu, kila mmoja ataonja machungu. Nani asiyejua umuhimu wa Nape huko ccm, unadhani Lizaboni au Barbarosa wana umuhimu kuliko Nape au Mwigulu? Zamu yao itafika tu, tunaoamini madhara ya uovu na kwamba hautakiwi kutetewa hata ukifanywa na baba yako mzazi tushayaona hayo. Just a matter of time.
 
Bashe anajitambua, ccm ingekuwa na wabunge 10 tu kama yeye bunge lingekuwa na mvuto zaidi, ukuchanganya na wa ukawa
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Miaka kumi! Come on bro
 
Utaahira uliotukuka wa kuwatia hofu watu dhidi ya huyo dikteta uchwara.
Hofu gani uliyokuwa nayo ikiwa una uwezo wa kutembea peke yako bila ya kulindwa ndio maana filamu haziishi!
 
Kwani ccm Hamna kikoc chakutesa watu kweli ? Mgimwa,mvungi,kolimba na wengine wengi,wameuwawaje ? Nawaliowaua wako mahakama gani ?kec zinaendelea? Mungu asante kwa maranyingine tena,kwa huyu aliyetujuza juu ya kikoc hiki.mlinde yy na Bashe,wacwaue.Nazidi kukuomba,Mungu,Baba yangu na Mfalme wangu.pacwe na cri ya ccm itakayofichika juu ya uso wa nchi.walio miongoni mwao km huyu aliyetoa hii cri,waendelee kutoa cri zote za uovu dhidi ya wananchi,ili kila mwananchi,ajue nchi haiko salama tena ndg,jamaa,jirani wa yyte anaweza kupotea saa yyte, ppte, na serikali icsadie lolote,kwakua yenyewe ndo mhucka mkuu.tumeshuhudia hili kwa nape na clauds.Mungu tulinde,tuponye,ponya nchi yetu,Amen
Rip chacha wangwe ben tumjue mtu wa mwisho aliekuwa nae!
 
Wauaji wa mvungi wako mahakamani kolimba na mgimwa waliugua
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Uko sawa ,hongera 100%
 
Mbona hatuckii hiy
o kec ya mvungi?na iko mahakama gani ?waliugua tu baada ya micmamo yao ? Elimu kweli mlitunyima,ila hatakuunganisha dots hatuwezi ? Co kwa kiac hicho !na kwakua uongo ,ubabe,jeuri,umimi, mmezidi sana,hakuna mtakalosema /fanya mkaaminika tena.mhamiaji haramu anauwawa na kutoswa ruvu ? Kauli hii anaitoa nani ? Kutekwa ni kawaida,kwann uhalifu uwekawaida na wahucka wenye kz yao wapo? Kauli hii anaitoa nani ? Ss kawaida imezaa kiburi hata ccm mwenzenu,mnamtolea bastola hadharani !.mkuu wa mkoa anavamia ofisi ya mtu na mabunduki kwakua tu yy ni ccm na ana cheo,na analindwa na raisi ! Jamani mctake tuseme sanaaaaa/maneno mengiiii,ilimtupeleke kisutu,au kututosa ruvu.ila mjue tu,mnatuumiza na kutuchosha sn.unaitaje watt waliopelekwa chuo na serikali yako vilaza? Na unawatupa barabarani wafe, wapone watajijua ! Jamaniiiii,ccm acheni,mwingine ni unyama unaorarua myoyo ya wazazi eti.hao wametoka kwe matumbo ya wanawake,ambao ni wananchi wa nchi hiyo.
Mungu maumivu tunayopatiwa na hii serikali,ni Ww,pekeyako uyajuaye.tuokoe ktk hili janga,tucfe kabla hatujajua watt watu wataishia wapi na huu utawala.kula kwa shida kulala kwa hofu,kutembea kwa wacwac,hujui risac itatoka wapi ikufikie !zombie anapelekwa Zanzibar kumpiga mtu ambaye hana hata kiwembe mkononi,kisa tu analilia haki yake,kumnyamzisha ni kipigo cha zombi,afe alemae atajijua ! Baaaaaaaba tunaita kwa uchungu,tuckie mfalme,ponya nchi yetu Amen.
 
Kwa akili yako finyu ukweli unaujua wewe tu punguani wengine wote hawaujui ukweli. Acha kudumaza akili yako kwa kukariri upunguani na kutetea wahuni na mafisadi na huyu dikteta uchwara.

Sio kila ndio ina ukweli ndani yake tatizo lako kubwa hutaki kufikiri mwenyewe zaidi ya kukariri
 
Haya ni mambo ya kweli kabisa, Bashite anadhani wote tulipata miswaki kama yeye. Hongera Kyembe kwa kujiunga na kundi chinjachinja
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......

Mnafiki
 
Back
Top Bottom