Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie

"Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie. Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana".

​


Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.

Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.

Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'

Wasalaam

Huu ni UONGO mkubwa. Kwani hao Mawaziri anaowazungumzia Mh Bashe kama ni KWELI kwani Wako PRIVY/HABARI za ndani za UWT?.
Kwani UWT umegawanyika?
Jamani UKWELI ukikithiri UONGO hujitenga.
Bado SIAMINI.
Unless atu convince otherwise.
Kwa sasa mimi kama raia naona hizi ni njama na UONGO mkubwa.
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Na hatufikishi popote zaidi ya maisha yetu kuwa ya mashaka na hisia za hatari inayotunyemelea kila kukicha!!!
 
Mijizi,wauza unga ndio kila siku wanapin
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Mijizi,wauza unga ,wapiga dili,wakwepa kodi ndio wanamsakama raisi wetu ni kikundi kidogo na si wananchi ,hao mirija yao imekatwa,ukichunguza orodha ni ileile kila siku inalalamika ,sasa kwa mwenye akili utamsikiliza Bashe,Malima(alikuwa waziri na hakufanya chochote zaidi ya kuibiwa na malaya Morogoro),Musukuma na sasa Vuvuzela nae kajiunga bada ya kunyang'anywa tonge ,kuna wengine hufuata tu mkumbo na kudhani hayo wanayoongea ni ya ukweli kumbe ni ya ''tukose wote''.kwa raisi hizi ni njama za kikundi fulani cha hawa waheshimiwa na usivunjike moyo ,upo myooni mwa umma wa Watanzania,hizo keleleza za akina Bashe na dada yao Kimange ni kelele za vyura,hazizui tembo kunywa maji.Watanyooka tu.
 
Huyo Msomali alikuwa boi Rostam Aziz mfadhili wa EL sasa hakuna cha ajabu hapo. Hayo anayotamka anaelekezwa na mabwana zake. Huridhiki na serikali ya chama chako toooka tu fankuuuuro. Wewe umezoweya kuosha vyombo vya wahindi sasa wakikutuma huwezi acha. Wanaoteka sio Usalama wa nchi ni hao mabwana zako unaowatumikia pengine na wewe na actually sio kuteka ila ni kuwaficha ili kuharibu image ya President na nchi. Unasema kuna mawaziri na maaskofu sasa wataje tu kama wewe mwanaume wa shoka vinginevyo ni umbeya wako tu uliotumwa na team yenu ya kununua urais ili muifisadi nchi.
 
Huyu ana akili kweli ,bunge lijadili upuuzi wake eti kwa kuwa kaambiwa kuna kundi la watekaji TISS yeye ni kiongozi na anajua wapi kwa kupeleka hizo tuhuma za uzushi,halafu bado anaendelea na uongo wake eti kaongea na Askofu mmoja wa katoliki na kaona dalili za kudorora kwa uhusiano ,huu si upumbavu kwa mbunge anayejifanya msomi na muelewa kwa hiyo uhusiano wa wa JPM na kanisa ukidolola ndio nchi itakufa,na hajui kwamba nchi haina dini huu ni jinga na uchonganishi na ni kutaka kupata huruma ya kanisa,sijui ni kwa lengo lipi,wengine wana kwao sisi hatuna kwetu zaidi ya hapa Tanzania,Bashe aache kutumika kwa ajenda zake za kipuuzi pamoja na kundi lake,kutwa ni kulalama tu kwa mambo ya kipuuzi sijui huko ndio kuwaletea maendeleo wana Nzega.Kama watu wamekutumia ujumbe upeleke mahala panapo husika na si bunge liache kujadili mambo ya maana na lianze kujadili habari za kutunga,waoneeni huruma walipa kodi,hamukwenda bungeni kutengeneza majungu.Unatia aibu Bashe.
wasomali ni watu hatari sana tusiwachekee
 
Ungeenda bungeni umuulize yeye mwenyewe personally, kutuulizia kuhusu anachowaza mwingine ni kutuonea mkuu.
 
Huyo Msomali alikuwa boi Rostam Aziz mfadhili wa EL sasa hakuna cha ajabu hapo. Hayo anayotamka anaelekezwa na mabwana zake. Huridhiki na serikali ya chama chako toooka tu fankuuuuro. Wewe umezoweya kuosha vyombo vya wahindi sasa wakikutuma huwezi acha. Wanaoteka sio Usalama wa nchi ni hao mabwana zako unaowatumikia pengine na wewe na actually sio kuteka ila ni kuwaficha ili kuharibu image ya President na nchi. Unasema kuna mawaziri na maaskofu sasa wataje tu kama wewe mwanaume wa shoka vinginevyo ni umbeya wako tu uliotumwa na team yenu ya kununua urais ili muifisadi nchi.
Watekaji tunawajua ni maharamia wa kisomali
 
Ndugu wana Jamvi , kwa hakika haya matukio ya kutwekwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu yametia hofu kubwa kwa kila Mtanzania. wote tunajiona hatuko salama kabisa.

Ukitizama sura za Wabunge, Mawaziri na Watanzania wote kwa ujumla wake zimejaa hofu na woga wa hali ya juu.

Je kulikoni ??? Tanzania iko salama kweli ?? Mbona vyombo vya usalama vimekaa kimya ?? Mimi nimepatwa na woga kwa kweli , nina hisi kama Watanzania wote "TUMETEKWA".

Je huyu mtekaji ni nani ? , mwenye nguvu kiasi hiki..............?

TUTAFAKARI .... !!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukishakubali kuwa Waziri wewe ni sehemu ya serikali na utakuwa umeapa kuitetea serikali na kuilinda katiba ya JMT hivyo ukiwa against na Magu moja kwa moja unasepeshwa
 
Hivi wakati unaandika haya ulikuwa unarejea matukio ya utekaji yaliyotokea nchini na hatua zilizochukuliwa na serikali? Wakati mwingine kuwa na kumbukumbu kiongozi
Hakuna aliyetekwa kipindi cha magu wametekwa kipindi chA kikwete
 
Wakuu bila shaka tunazishudia hoja mbalimbali zinazotolewa na mh bashe kuhusu vitu mbalimbali vinavyofanywa na serikali ya magu. Je mh bashe akipewa uwaziri sasa hiv ataendelea kuipinga serikali ya magu? Au atakuwa kama mwakiyembe aliyefunga mdomo wake ili kunganga njaa yake?


Nani ampe Uwaziri huyo moron?
 
Tusipoangalia hawa mapacha wawili wanaweza mteka hadi kadinali polycap Pengo. [emoji16][emoji16][emoji16]. Wamenogewa ati.
Nchi ya mazezeta hii,yaani unateka, unatesa halafu unajitangaza kuwa wewe mtekaji na mateka utawarudisha ukipenda. Mateka warudishwa na majeraha kibao basi kila kitu kitaishia hapo mpaka tukio lingine la kutekwa au kuuwawa, kupotea au kutolewa kucha. Nchi hii raha sana kuwa kiongozi,yaani ni rahisi mno kuongoza nchi hii kuliko kuishi na house girl wa kihehe maana hujui lini atajinyonga.
 
Mimi nipo hapa nyumbani nimerudi sasa hivi, nasikia geti linagongwa ila nimemwambia wife na watoto watulie, sijui ni nani muda huu, hii kadhia ya kutekwa sasa ishakua tabu, nitawa update kesho jamani.
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye mnasema nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
Jibu hoja nani anahusika kuteka wananchi. Naona unaongea ongea ki bashite bashite tu hapa.
 
Huyo Msomali hana jipya. Alikuwa boi wa Rostam na ile team ya kununua urais. Hakuna cha kushangaa hapo. Usalama wa Taifa si watekaji ila ni kundi lenu pengine na wewe ili kuharibu image ya Rais na nchi. Wewe ulikuwa boi wa yule mhindi aliyekuwa anamfadhili jamaa yenu. Hizo ni hasira za kushindwa. Umetumwa tu useme hivyo. Unawatumikia mashetani waliofilisi hii nchi. Tukiwaambia ukweli haraka inafutwa. Lakini ujumbe umefika. Watekaji sio Usalama wa Taifa ni kundi lenu na pengine wewe ni mmoja. Usinihami ati wanataka kukuua hamna hiyo kitu watakuua hao waliokutuma halafu waseme Tiss. Kafie mbele
 
Kwa hiyo unataka kusema usalama wa taifa wameshidwa kazi..!!, Sidhani, mimi nawaamini sana wanausalama hawaw
Huyo Msomali hana jipya. Alikuwa boi wa Rostam na ile team ya kununua urais. Hakuna cha kushangaa hapo. Usalama wa Taifa si watekaji ila ni kundi lenu pengine na wewe ili kuharibu image ya Rais na nchi. Wewe ulikuwa boi wa yule mhindi aliyekuwa anamfadhili jamaa yenu. Hizo ni hasira za kushindwa. Umetumwa tu useme hivyo. Unawatumikia mashetani waliofilisi hii nchi. Tukiwaambia ukweli haraka inafutwa. Lakini ujumbe umefika. Watekaji sio Usalama wa Taifa ni kundi lenu na pengine wewe ni mmoja. Usinihami ati wanataka kukuua hamna hiyo kitu watakuua hao jamaa zako halafu wasingizie Tiss
 
Back
Top Bottom