Bashe: Rais Samia ametoa Sh700 milioni ujenzi skimu ya Usense mkoani Katavi yenye urefu wa 7.5km

Jambo zuri. Tukikazana na mipango ya kilimo cha umwagiliaji tutapiga hatua fulani. Maji tunayo mengi sana.
 
kwani hata kama ni kodi zenu akiusema hizo naenda kutanulia dubai utamwambia nini akisema hizo napeleka shuleni utamwambia nini? kaidhinisha ziende huko kwahiyo usikatae kuwa ametoa kwani unafikiri yeye atatoa kwenye mshahara wake? acheni ulimbukeni
Miradi ya amendeleo ya serikali inatekelezwa kwa mujibu wa sheria. siyo kwa matamko. Bajeti ikishapitishwa rais anapelekewa mswada wa sheria ya bajeti ili ausaini. Akishasaini ndo utekelezaji unaanza. Hivyo, huo mradi upo katika mpango wa serikali kupitia bajeti ya mwaka huu. kinachoenda kufanyika ni utekelezaji wa sheria.
 
Moja ya sababu inayoonesha kuna mwerevu fulani anayeongoza kundi la wajinga...
 
Majuzi hukusikia Rais atatoa pesa ya kujenga madarasa 15,000 hili vipi?

๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ

 
Hela ya Una,inayotumika vizuri.Matokeo mazuri,tunayaona.Hapo kwenye mpunga,ajira za kumwaga hizo.Kama uko karibu na sehemu ya kilimo,wahi shamba,uanze kilimo.
I capitalize ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Duh safi sana.
Ni mshahara wake amezitoa hizi pesa au ameuza assets zake?
 
Just kwa ulewa tuu

SAMIA anafanya biashara gani atoe helaa
Nimewaza tuuu๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ด
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ