Bashe: Rais Samia ametoa Sh700 milioni ujenzi skimu ya Usense mkoani Katavi yenye urefu wa 7.5km

Soma hyo
 
kwani hata kama ni kodi zenu akiusema hizo naenda kutanulia dubai utamwambia nini akisema hizo napeleka shuleni utamwambia nini? kaidhinisha ziende huko kwahiyo usikatae kuwa ametoa kwani unafikiri yeye atatoa kwenye mshahara wake? acheni ulimbukeni
Soma hyoooooo
 
Fedha ya serikali au fedha ya Hangaya
 
Ni serikali ndiyo imetoa fedha hizo, na wala siyo Rais SSH. Toka awamu ya kwanza mpaka ile ya nne hatujawahi kusikia kila kitu kikifanywa na serikali kina kuwa "attributed" na mtu.

Ulimbukeni huu ulianzishwa kipindi cha awamu wa tano chini ya JPM. Sasa naona imeshakuwa ni kasumba tayari, kila kitu sasa ni Mama kafanya.

Wana CCM waache mara moja tabia hii mbaya na ya kijinga. Ebu watumie ofisi zetu za ubalozi zilizopo ughaibuni wapate kujifunza kitu.

Wachungu ili wapate kuona kama marais wa nchi za nje nao pia wanafanyiwa upuuzi kama huu pale endapo Rais anapokuwa akitimiza majukumu yake ya kila siku ya kikatiba [emoji51][emoji51][emoji51]
 
mmeshaanza mambo yenu yale....Sema serikali imetoa shilingi kadhaa kwa ajili ya 1,2,3...unaposema Rais fulanu ametoa mnatupa ukakasi kidogo.
Kwani wewe unaposikia neno Rais Samia unaelewa nini?
 
huyo mama amepata wapi hizo pesa wakati mshahara wake sio mkubwa kiasi hicho??
Hivi kwanini bavicha wengi ni mbumbumbu kiasi hiki?

Kwani wewe unaposikia neno "Rais Samia" unaelewa nini hasa?

"Rais Samia" ni taasisi hivyo usilinganishe na mtu binafsi kama unavyomtaja bibi yako au babu yako.
 
Nashangaa mtoa mada...Unamanisha Rais anamihela ameanza kugawa kama alivokua akifanya JPM?..kumbe hela za Umma viongozi wenu hujitwalia na kuzifany zao sio??
Rais ni tasisi,

Hebu kuweni na akili basi
 
Hivi kwanini bavicha wengi ni mbumbumbu kiasi hiki?

Kwani wewe unaposikia neno "Rais Samia" unaelewa nini hasa?

"Rais Samia" ni taasisi hivyo usilinganishe na mtu binafsi kama unavyomtaja bibi yako au babu yako.
Anatolea wapi pesa??
Nyoosha maelezo.
 
Sasa mbona huku kibamba tunakunywa maji ya miferejini mpaka leo while hili jimbo lilikua chini ya upinzani zaidi ya miaka 10
 

Sasa naanza kumwelewa former CAG Prof Assad,huu ujinga sijui utaisha lini.Hizi ni kodi zetu ambazo zitatakiwa kuidhinishwa na Bunge.

Mh Rais Samia Suluhu hizi fedha kazitoa wapi !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…