- Thread starter
- #21
Sijakuelewa,Hiyo sukari ya Brazil inayoitwa brown sugar ni sukari chafu na takataka za sukari ambazo ni very cheap, kama London wazungu hawali utumbo hivyo Wanigeria na Waafrika ni kujikusanyia tuu bure, the cost ni transport only!.
Sukari yote ya Zambia inapita Dar port!. Tuondoe tuu zuio la ku imports sukari, ya Uganda ipitie Mutukula, ya Zambia ipitie Tunduma, ya Malawi ipitie Kasumulu, ya Kenya ipitie Namanga na Holili, ya Rwanda ipitie Rusumo, Burundi kupitia Mayovu, Msumbiji kupitia Mkenda, it take just a day na sukari itakuwa imejaa Tanzania!.
P
Sukari niiongeleayo siyo ya importation, ni ya kuzalishwa ndani ya Zambia na Uganda.