Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatari sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sn
Ukienda Mbeya sukari inayotumika ni kutoka Malawi na Zambia toka kitambo,na naamini kwenye 'border' zingine Sukari toka nchi jirani itakuwa inapatikana kwa wingi na kwa haraka,nabaki najiuliza kwanini Sukari isubiriwe toka Brazil ambako ni mbali wakati nchi jirani sukari ipo ya kutosha?Hiyo sukari ya Brazil inayoitwa brown sugar ni sukari chafu na takataka za sukari ambazo ni very cheap, kama London wazungu hawali utumbo hivyo Wanigeria na Waafrika ni kujikusanyia tuu bure, the cost ni transport only!.
Sukari yote ya Zambia inapita Dar port!. Tuondoe tuu zuio la ku imports sukari, ya Uganda ipitie Mutukula, ya Zambia ipitie Tunduma, ya Malawi ipitie Kasumulu, ya Kenya ipitie Namanga na Holili, ya Rwanda ipitie Rusumo, Burundi kupitia Mayovu, Msumbiji kupitia Nakonde, it take just a day na sukari itakuwa imejaa Tanzania!.
P
Sukari ya Jirani zetu ni HALISI ni kama tu ya kirombero, ni Bora hivyo kwao hawatapata faida wakinunua.Ukienda Mbeya sukari inayotumika ni kutoka Malawi na Zambia toka kitambo,na naamini kwenye 'border' zingine Sukari toka nchi jirani itakuwa inapatikana kwa wingi na kwa haraka,nabaki najiuliza kwanini Sukari isubiriwe toka Brazil ambako ni mbali wakati nchi jirani sukari ipo ya kutosha?
Kwenda Zambia na Uganda hata watoto wanaotambaa wanaingia kila siku pale Tunduma kwa Zambia, hivyo haichukui wiki inachukua dakika tu.Salaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari Toka Zambia na Uganda?
Nchi Iko kwenye uhaba wa Sukari, kwanini wafanyabiashara wasiruhusiwe kuvuka mipaka na kununua sukari hapo Jirani Zambia au Uganda?
Sukari Toka Zambia au Uganda ni wiki tu imefika.
Brazil kunani? Hata ubora tu wa Sukari ya kilombero imethibitika kuwa Bora kuliko ya Brazil, ni muda mwafaka wa kununua sukari Kwa Jirani zetu kukidhi uhaba uliopo tukisubiri viwanda vyetu vya ndani vizalishe sukari ya kutosha.
Ombi: Tuchukue ndege yetu mpya ya mizigo ilopaki, ipakie shehena ya kutosha hapo Zambia na Uganda, ndani ya wiki shida ya sukari iwe historia.
Nawasilisha🙏
Namaanisha waruhusu hiyo ya Zambia na Malawi na Uganda ishindane bei na ya Brazil. Kama nchi hizo hazina ya kutosha kutuuzia itajulikana. Kwa nini wachague kuipa Brazil monopoly ya kutuuzia sukari?Hakuna nchi inayofanya hivyo. Hiyo ni dhana ya kufikirika.
kiuhalisia ningekuwa mimi ndiye anayeteua ningekuwa nishafuta uteuzi muda mrefu.mpaka sukari inaadimika ina maana waziri mwenye dhamana hakuwa anajua akiba ya sukari imebaki kiasi gani? hawawezi ku predict kwamba kwa akiba hii iliyobaki hatutoboi wakaandaa mazingira rafiki ya kuagiza sukari kabla haijapanda bei? eti waziri wa kilimo wakati hasaidii taifa kulima miwa ya kutosheleza .hahhaaaaaaa. mna bahati sana aisee.nchi nyengine umeshatemwa muda mrefuSalaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari Toka Zambia na Uganda?
Nchi Iko kwenye uhaba wa Sukari, kwanini wafanyabiashara wasiruhusiwe kuvuka mipaka na kununua sukari hapo Jirani Zambia au Uganda?
Sukari Toka Zambia au Uganda ni wiki tu imefika.
Brazil kunani? Hata ubora tu wa Sukari ya kilombero imethibitika kuwa Bora kuliko ya Brazil, sukari Toka Brazil haikozi kwenye chai hata uweke vijiko 5,ni muda mwafaka wa kununua sukari Kwa Jirani zetu kukidhi uhaba uliopo tukisubiri viwanda vyetu vya ndani vizalishe sukari ya kutosha.
Ombi: Tuchukue ndege yetu mpya ya mizigo ilopaki, ipakie shehena ya kutosha hapo Zambia na Uganda, ndani ya wiki shida ya sukari iwe historia.
Nawasilisha🙏
Na kitu Cha kushangaza ni kuwa, Kila mwaka, lazima utokee upungufu ,uhaba utangazwe, watu waagize nje ya Nchi, braziliiii!!!kiuhalisia ningekuwa mimi ndiye anayeteua ningekuwa nishafuta uteuzi muda mrefu.mpaka sukari inaadimika ina maana waziri mwenye dhamana hakuwa anajua akiba ya sukari imebaki kiasi gani? hawawezi ku predict kwamba kwa akiba hii iliyobaki hatutoboi wakaandaa mazingira rafiki ya kuagiza sukari kabla haijapanda bei? eti waziri wa kilimo wakati hasaidii taifa kulima miwa ya kutosheleza .hahhaaaaaaa. mna bahati sana aisee.nchi nyengine umeshatemwa muda mrefu
Inaweza kuwa ndiyo ukweli ila nani atakusikiliza na kukutetea wewe?.Nilisikia Leo kwenye EFM radio kuna wananchi walipiga simu wanalalamika sukari kuwa haikozi na haina ladha ya sukari!
Daa, Uhai wetu unazidi kufupishwa kwa kila njia huku viongozi walioshika dola wanaona mi sawa tu acha tuondoke mapema!.Unajua kitu inaitwa"GMO"ni kama Maji ukikataa kuyaoga basi utayanywa.😕
Si nyie wenyewe huleta ubabaishaji kila mara kwenye swala la mahindi,mara Jambo dogo,oooh ooh mmezuia mahindi yasiuzwe Kenya,Acha kujitoa ufahamu wewe.Sio swala la Bashe ni swala la ukiritimba wa kipumbavu wa Serikali za Kiafrika ambazo Huwa zinaona kufanya biashara baina Yao ni kuwanufaisha Majirani.
Huu upumbavu upo sana Africa mfano Kenya imeona iwe inaagiza mahindi kutoka Brazil,Ngano kutoka Russia badala ya kuwa na Mkataba wa hivyo na Tanzania.
Kwa taarifa Yako anaeletaga shida ni Kenya sio Tanzania Sasa ukisema sisi unakuwa hueleweki Kwa sababu Tzn inazalisha zaidi na inahitaji soko kushinda hao Kenya.Si nyie wenyewe huleta ubabaishaji kila mara kwenye swala la mahindi,mara Jambo dogo,oooh ooh mmezuia mahindi yasiuzwe Kenya,Acha kujitoa ufahamu wewe.
Ni Nani anayeweza vumilia upuzi kama huu uliotukuka kwa biashara zake?
Kalb hayawan
sasa kama unayo hela mfukoni malalamiko ya nini, si ukwee pipa na ukachukue hiyo sukari chap mara moja, apo kwa HH na urudi, unywe chai na uendeelee na shughuli zako
HATUHITAJI DATA HATUHITAJI SUKARI CHAFU TUNATAKA SUKARI.TUMESHUTUKA MPANGO WENU CHAFU.ETI KUWALINDA WAWEKEZAJI WA NDANI MBONA HAMKULINDA WA NGANO MNAAGIZA UNGA WA NGANO NJEKwa hiyo unadhani sukari kiasi gani inahitajika kwa mwezi ili tu-import? Na Zambia, Uganda na Malawi wanazalisha kiasi gani ili uagizaji wetu usiharibu Bei zao za ndani?
Pia tujulishe gharama au Bei ya hizo nchi vs. Brazil.
Au unasema tu bila data?
Sukari Bora itokanayo na miwa halisi IPO UG na Zambia na Malawi Kwa Jirani zetu,HATUHITAJI DATA HATUHITAJI SUKARI CHAFU TUNATAKA SUKARI.TUMESHUTUKA MPANGO WENU CHAFU.ETI KUWALINDA WAWEKEZAJI WA NDANI MBONA HAMKULINDA WA NGANO MNAAGIZA UNGA WA NGANO NJE
Wao wakale wapi???Ndege zetu mpya kabisa zimepaki,
Tuchukue ndege Moja mpya itue pale Lusaka Zambia ipakie shehena ya kutosha sukari iwe mtaani ndani ya siku 7 tu.
Wewe unaesema kweli mbona bei inazidi kupaaa?unawasilisha nini akati shehena ya sukari inapakuliwa bandarini wakati huu [emoji205]
hayo masuala ya sheria sio ya wakati huu ni wakati ujao, hiyo ni dira na uelekeo tu umepewa ili kusudi baadae isijekutokea hali kama ya sasa [emoji205]
hivi sasa mambo yalishapangwa na yanatekelezwa kama yalivyokusudiwa [emoji205]
upotoshaji si muhimu na hauna maana yeyote....
Sukari ya Brasil inatengenezwa kutoka sweet potato.Brazil siyo sukari ni uhundwaji wa chemicals ndiyo maana hata ukiunga inawekwa nyingi sana.
Hakuna nchi (kama Tanzania) wataruhusu mlete sukari kutoka Zambia au Uganda ambapo wanajua hawatapata 10 percentage, hii dunia imebaki na binadamu wachache sana, wengi ni watu waliopo duniani.