msonobali
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,521
- 1,607
Yalivyo kwenye sukari, mbona umeme wanasaini contract kwa dharula na makampuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalivyo kwenye sukari, mbona umeme wanasaini contract kwa dharula na makampuni.
Waruhusu tu. Soko litaamua bei.Kwa hiyo unadhani sukari kiasi gani inahitajika kwa mwezi ili tu-import? Na Zambia, Uganda na Malawi wanazalisha kiasi gani ili uagizaji wetu usiharibu Bei zao za ndani?
Pia tujulishe gharama au Bei ya hizo nchi vs. Brazil.
Au unasema tu bila data?
Wewe mzee hivyo bado unakula biskutiUmeacha kutumia pia juice na biscuits?
Zote zinatumika sukari.
Hakuna nchi inayofanya hivyo. Hiyo ni dhana ya kufikirika.Waruhusu tu. Soko litaamua bei.
Bado kidogo watu watauziwa mbolea badala ya sukari.Salaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari Toka Zambia na Uganda?
Nchi Iko kwenye uhaba wa Sukari, kwanini wafanyabiashara wasiruhusiwe kuvuka mipaka na kununua sukari hapo Jirani Zambia au Uganda?
Sukari Toka Zambia au Uganda ni wiki tu imefika.
Brazil kunani? Hata ubora tu wa Sukari ya kilombero imethibitika kuwa Bora kuliko ya Brazil, ni muda mwafaka wa kununua sukari Kwa Jirani zetu kukidhi uhaba uliopo tukisubiri viwanda vyetu vya ndani vizalishe sukari ya kutosha.
Ombi: Tuchukue ndege yetu mpya ya mizigo ilopaki, ipakie shehena ya kutosha hapo Zambia na Uganda, ndani ya wiki shida ya sukari iwe historia.
Nawasilisha[emoji120]
kumbuka kuna sheria imetungwa na bunge,huwezi kuivunja tu hiyo sheria utaleta kesi za hatariSalaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari Toka Zambia na Uganda?
Nchi Iko kwenye uhaba wa Sukari, kwanini wafanyabiashara wasiruhusiwe kuvuka mipaka na kununua sukari hapo Jirani Zambia au Uganda?
Sukari Toka Zambia au Uganda ni wiki tu imefika.
Brazil kunani? Hata ubora tu wa Sukari ya kilombero imethibitika kuwa Bora kuliko ya Brazil, ni muda mwafaka wa kununua sukari Kwa Jirani zetu kukidhi uhaba uliopo tukisubiri viwanda vyetu vya ndani vizalishe sukari ya kutosha.
Ombi: Tuchukue ndege yetu mpya ya mizigo ilopaki, ipakie shehena ya kutosha hapo Zambia na Uganda, ndani ya wiki shida ya sukari iwe historia.
Nawasilisha[emoji120]
🙏👏👍🆒Hiyo sukari ya Brazil inayoitwa brown sugar ni sukari chafu na takataka za sukari ambazo ni very cheap, kama London wazungu hawali utumbo hivyo Wanigeria na Waafrika ni kujikusanyia tuu bure, the cost ni transport only!.
Sukari yote ya Zambia inapita Dar port!. Tuondoe tuu zuio la ku imports sukari, ya Uganda ipitie Mutukula, ya Zambia ipitie Tunduma, ya Malawi ipitie Kasumulu, ya Kenya ipitie Namanga na Holili, ya Rwanda ipitie Rusumo, Burundi kupitia Mayovu, Msumbiji kupitia Mkenda, it take just a day na sukari itakuwa imejaa Tanzania!.
P
Tusubiri Mama atoke msibani tumpe hili wazo.Ndege zetu mpya kabisa zimepaki,
Tuchukue ndege Moja mpya itue pale Lusaka Zambia ipakie shehena ya kutosha sukari iwe mtaani ndani ya siku 7 tu.
Ama kweli uongozi ni kipaji. Yeye mama kachuna tu kama vile ni RAIS wa nchi nyingineSalaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari Toka Zambia na Uganda?
Nchi Iko kwenye uhaba wa Sukari, kwanini wafanyabiashara wasiruhusiwe kuvuka mipaka na kununua sukari hapo Jirani Zambia au Uganda?
Sukari Toka Zambia au Uganda ni wiki tu imefika.
Brazil kunani? Hata ubora tu wa Sukari ya kilombero imethibitika kuwa Bora kuliko ya Brazil, ni muda mwafaka wa kununua sukari Kwa Jirani zetu kukidhi uhaba uliopo tukisubiri viwanda vyetu vya ndani vizalishe sukari ya kutosha.
Ombi: Tuchukue ndege yetu mpya ya mizigo ilopaki, ipakie shehena ya kutosha hapo Zambia na Uganda, ndani ya wiki shida ya sukari iwe historia.
Nawasilisha🙏
Nakumbuka vzr sana,na kinachofanyika mkuu,Brazil kuna sukari mpk isiyo ruhusiwa kutumika,hiyo ndio inaletwa kwa kutiwa nembo mpya.wewe huoni kwa nn siku hizi cancer inazidi kuchanja mbuga hapa nchini!?. Jibu ni kuwa tunakula vitu visivyotakiwa.Sukari ya Brazil shujaa Magufuli alikataa kabisa [emoji209]
amemsoma akasomeka. Ngoja ale Bata mama wa Ki ZenjiTusubiri Mama atoke msibani tumpe hili wazo.
Kama hawaja mpangia trip nyingine.
Yaani wana mkeep busy ili asijue ni nini kiko under the carpet.
CCM ni nyoka tu, hili swala LA sukari, limetengenezwa tu kama ilivyokuwa tozo za simu, uhaba umetengrnezwa, bei ipande,tulazimishwe tuizoee, hata sukari itakapo kuwa ya kutosha, ambapo bei inabidi iwe 3000,kenge wa CCM wameishapiga mahesabu waongeze buku tatu kama Kodi, wapate maokoto ya kuendesha uchaguzi! Hii bei haitashuka, bei ya buku Sita wa bongo wataizoea, na itaendelea, CCM ni nyoka kqbisaSalaam, Shalom!!
Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha,
Ningependa kujua nini maana ya dharura?
Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari Toka Zambia na Uganda?
Nchi Iko kwenye uhaba wa Sukari, kwanini wafanyabiashara wasiruhusiwe kuvuka mipaka na kununua sukari hapo Jirani Zambia au Uganda?
Sukari Toka Zambia au Uganda ni wiki tu imefika.
Brazil kunani? Hata ubora tu wa Sukari ya kilombero imethibitika kuwa Bora kuliko ya Brazil, ni muda mwafaka wa kununua sukari Kwa Jirani zetu kukidhi uhaba uliopo tukisubiri viwanda vyetu vya ndani vizalishe sukari ya kutosha.
Ombi: Tuchukue ndege yetu mpya ya mizigo ilopaki, ipakie shehena ya kutosha hapo Zambia na Uganda, ndani ya wiki shida ya sukari iwe historia.
Nawasilisha🙏
Wewe hoja yako ni ipi?kuendelea kuheshimu viongozi wapumbavu kwa gharama ya uhai watu?,watu wanakufa kwa cancer kwa sababu ya kutumia takataka inayo itwa sukari kutoka Brazil,hivi kiongozi mwizi na mwovu kuna haja ya kumuheshimu?!.aliekwama ni ww wengine twasonga bila tashwishwi wala mbambamba [emoji205]
uhuru wa kudharau na kubeza viongozi [emoji205]
eti nahela,
kwahiyo apo ndio umejiona hodariiii, mwamba, boss, tajiri, chief [emoji205]
wenye hela wanalalamika bana [emoji205]
acha upotoshaji.....Wewe hoja yako ni ipi?kuendelea kuheshimu viongozi wapumbavu kwa gharama ya uhai watu?,watu wanakufa kwa cancer kwa sababu ya kutumia takataka inayo itwa sukari kutoka Brazil,hivi kiongozi mwizi na mwovu kuna haja ya kumuheshimu?!.
Unajua kitu inaitwa"GMO"ni kama Maji ukikataa kuyaoga basi utayanywa.😕Brazil siyo sukari ni uhundwaji wa chemicals ndiyo maana hata ukiunga inawekwa nyingi sana.
Hakuna nchi (kama Tanzania) wataruhusu mlete sukari kutoka Zambia au Uganda ambapo wanajua hawatapata 10 percentage, hii dunia imebaki na binadamu wachache sana, wengi ni watu waliopo duniani.
Sio swala la Bashe ni swala la ukiritimba wa kipumbavu wa Serikali za Kiafrika ambazo Huwa zinaona kufanya biashara baina Yao ni kuwanufaisha Majirani.Salaam, Shalom!!