Bashe, Tofauti ya Sukari Kutoka Brazil vs itokayo Zambia na Uganda ni ipi?

Sijakuelewa,

Sukari niiongeleayo siyo ya importation, ni ya kuzalishwa ndani ya Zambia na Uganda.
 
Unaachaje sukari Toka Kwa Museveni au Zambia Kwa Jirani zetu halafu uagize sukari Toka Brazil?

Tukichukua ndege yetu mpya ya mizigo ikapakie sukali Zambia au UG, ni siku mbili tu Nchi tatizo limeisha.

Mbona Mrema aliweza?
Tuache ubinafsiπŸ™
Ndiyo maana nikasema, duniani binadamu wanaendelea kupukutika wengi wanaobaki ni watu.
 
Nawezaje kuwa na subira ikiwa Nina pesa yangu mfukoni , nikihitaji sukari naambiwa nisubiri itoke Brazil ilhali hapo Zambia upo Mzigo wa kutosha?

Matatizo ya nchi hii, CCM inayatengeneza makusudi!!
sasa kama unayo hela mfukoni malalamiko ya nini, si ukwee pipa na ukachukue hiyo sukari chap mara moja, apo kwa HH na urudi, unywe chai na uendeelee na shughuli zako πŸ’

wewe huna shida na sukari una gubu na kitu ingine,acha kuhadaa watu hapa πŸ’
 
Ndiyo maana nikasema, duniani binadamu wanaendelea kupukutika wengi wanaobaki ni watu.
Kenya hapo amekamatwa tajiri aliyehonga mamlaka zilizokuwa zimekamata sukari fake Toka huko huko Brazil Kisha akaanza kuingiza sokoni!!

Kweli binadamu wamepungua, wamebaki mapepo katika form ya WANADAMU.
 
Hizo dharau zako utakwama muda Si mrefu.

Tangu uhuru sukari haijawahi fika 6500, ni pekee chini ya uongozi wa sa100!!

Tusubiri.
 
Hao jamaa wana control soko makusudi. Deal zao hizo. Magufuli pamoja na madhaifu yake, asingeruhusu upuuzi huu.
 
Hao jamaa wana control soko makusudi. Deal zao hizo. Magufuli pamoja na madhaifu yake, asingeruhusu upuuzi huu.
Kwa bibi yangu kijijini sukari 6,500,

Halafu Bashe atwambia anasubiri Bunge Ili apekeke muswada kubadili SHERIA Ili vibali vitolewe Kwa wote.

Ni kana vile hakuna dharura!!
 
Hizo dharau zako utakwama muda Si mrefu.

Tangu uhuru sukari haijawahi fika 6500, ni pekee chini ya uongozi wa sa100!!

Tusubiri.
aliekwama ni ww wengine twasonga bila tashwishwi wala mbambamba πŸ’


uhuru wa kudharau na kubeza viongozi πŸ’

eti nahela,
kwahiyo apo ndio umejiona hodariiii, mwamba, boss, tajiri, chief πŸ’

wenye hela wanalalamika bana πŸ’
 
aliekwama ni ww wengine twasonga bila tashwishwi wala mbambamba πŸ’


uhuru wa kudharau na kubeza viongozi πŸ’

eti nahela,
kwahiyo apo ndio umejiona hodariiii, mwamba, boss, tajiri, chief πŸ’

wenye hela wanalalamika bana πŸ’
Haiwezekani nilipe bill ya maji, maji yasitoke bombani,

Nikiuliza, najibiwa nipande gari nikaoge ziwani au mtonii!!

Hizi dharau IPO siku yaja!!
 
Kilichonisikitisha ni pale ambapo mvua za Elnino nazo zilikuwa sababu ya kukosekana sukari. Sasa najiuliza wakati TMA wanatoa utabiri wao ilichukuliwa desturi inawahusi watu wa mabondeni tu. Huwezi amini kama tunaviongozi wanaoona mbali. Ilipaswa suala la kuagiza sukari nje lianze tokea mwezi December coz ndio wakati ambao miwa ilikuwa ivunwe na mvua zilikuwa kubwa so ilikuwa ngumu Kuvuna so ilibidi hata watu wa viwanda nao utabiri wa Hali ya hewa na wao wautumie sio Kwa watu waishio mabondeni tu
 
Haiwezekani nilipe bill ya maji, maji yasitoke bombani,

Nikiuliza, najibiwa nipande gari nikaoge ziwani au mtonii!!

Hizi dharau IPO siku yaja!!
sasa umeanza kuchekesha na kujitoa mwenyewe kwenye reli πŸ’

For your information, shehena ya sukari ya kutosha nchi nzima inapakuliwa bandarini wakati shehena kubwa zaidi iko njiani kukabili upungufu wa sukari nchini πŸ’

hata hivyo jitihada kubwa zaidi zinaendelea kufanyika kuhakikisha uzalishaji wa ndani unaanza maramoja pale hali ya tabianchi itakapokaa sawa πŸ’
 
Kwa hiyo unadhani sukari kiasi gani inahitajika kwa mwezi ili tu-import? Na Zambia, Uganda na Malawi wanazalisha kiasi gani ili uagizaji wetu usiharibu Bei zao za ndani?
Pia tujulishe gharama au Bei ya hizo nchi vs. Brazil.
Au unasema tu bila data?
 
This scandal will never go unpunished and Kizimkazi's reign will be remembered as a failed regime.
 
Acha Maneno ya kisiasa haswa kwenye maswala ambayo hata mbumbumbu anayafahamu.
 
Nilisikia Leo kwenye EFM radio kuna wananchi walipiga simu wanalalamika sukari kuwa haikozi na haina ladha ya sukari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…