Bashe, Tofauti ya Sukari Kutoka Brazil vs itokayo Zambia na Uganda ni ipi?

Kwa hiyo unadhani sukari kiasi gani inahitajika kwa mwezi ili tu-import? Na Zambia, Uganda na Malawi wanazalisha kiasi gani ili uagizaji wetu usiharibu Bei zao za ndani?
Pia tujulishe gharama au Bei ya hizo nchi vs. Brazil.
Au unasema tu bila data?
Waruhusu tu. Soko litaamua bei.
 
Bado kidogo watu watauziwa mbolea badala ya sukari.
Hivi Serikali inatumia mbinu gani hovyo kivile!

Hizi viwanda tulivyo nazo kuanzia Kagera, TPC inayozalisha kwa wingi.
Ni kwanini wasiombwe wakauza ndani kwa mieI 3 na 3 nje! Na iwe kwa viwanda vyote! Nusu ya mwaka uza ndani na nusu ya pili nje ?

Mbona tatizo hili lingeenda!
 
kumbuka kuna sheria imetungwa na bunge,huwezi kuivunja tu hiyo sheria utaleta kesi za hatari
 
🙏👏👍🆒
 
Ndege zetu mpya kabisa zimepaki,

Tuchukue ndege Moja mpya itue pale Lusaka Zambia ipakie shehena ya kutosha sukari iwe mtaani ndani ya siku 7 tu.
Tusubiri Mama atoke msibani tumpe hili wazo.
Kama hawaja mpangia trip nyingine.
Yaani wana mkeep busy ili asijue ni nini kiko under the carpet.
 
Ama kweli uongozi ni kipaji. Yeye mama kachuna tu kama vile ni RAIS wa nchi nyingine
 
Sukari ya Brazil shujaa Magufuli alikataa kabisa [emoji209]
Nakumbuka vzr sana,na kinachofanyika mkuu,Brazil kuna sukari mpk isiyo ruhusiwa kutumika,hiyo ndio inaletwa kwa kutiwa nembo mpya.wewe huoni kwa nn siku hizi cancer inazidi kuchanja mbuga hapa nchini!?. Jibu ni kuwa tunakula vitu visivyotakiwa.
 
W
Tusubiri Mama atoke msibani tumpe hili wazo.
Kama hawaja mpangia trip nyingine.
Yaani wana mkeep busy ili asijue ni nini kiko under the carpet.
amemsoma akasomeka. Ngoja ale Bata mama wa Ki Zenji
 
CCM ni nyoka tu, hili swala LA sukari, limetengenezwa tu kama ilivyokuwa tozo za simu, uhaba umetengrnezwa, bei ipande,tulazimishwe tuizoee, hata sukari itakapo kuwa ya kutosha, ambapo bei inabidi iwe 3000,kenge wa CCM wameishapiga mahesabu waongeze buku tatu kama Kodi, wapate maokoto ya kuendesha uchaguzi! Hii bei haitashuka, bei ya buku Sita wa bongo wataizoea, na itaendelea, CCM ni nyoka kqbisa
 
Janabi toka kifo cha Shuja jiwe,akili yake haijatulia kbs, janabi anapitia kipindi kigumu sana kuwahi kutokea ktk maisha yake.
 
Wewe hoja yako ni ipi?kuendelea kuheshimu viongozi wapumbavu kwa gharama ya uhai watu?,watu wanakufa kwa cancer kwa sababu ya kutumia takataka inayo itwa sukari kutoka Brazil,hivi kiongozi mwizi na mwovu kuna haja ya kumuheshimu?!.
 
Wewe hoja yako ni ipi?kuendelea kuheshimu viongozi wapumbavu kwa gharama ya uhai watu?,watu wanakufa kwa cancer kwa sababu ya kutumia takataka inayo itwa sukari kutoka Brazil,hivi kiongozi mwizi na mwovu kuna haja ya kumuheshimu?!.
acha upotoshaji.....

na si urilax sasa,
panic na mihemko ni ya nini kwenye majadiliano ya kiungwana namna hii....

ni wapi duniani hapana hayo magonjwa? wametumia sukari ya brazili sio? inaitwaje hiyo kansa ya sukari ya brazili?

acha kubebwa ung"ombe na wapotoshaji wa mjini...

sikari ya Brazili ni safi na salama kwa matumizi ya chakula cha binadamu yaani chai, uji n.k lakini pia ipo sukari safi kutoka brazili kwaajili ya matumizi ya viwandani nayo ni safi na salama na ndio maana unakunywa vinywaju barid na moto kwa raha, burudani na mustarehe nyakati mbalimbali unapotamani kupumzika na kuburuduka na vinywaj mbalimbali...
 
Unajua kitu inaitwa"GMO"ni kama Maji ukikataa kuyaoga basi utayanywa.😕
 
Sio swala la Bashe ni swala la ukiritimba wa kipumbavu wa Serikali za Kiafrika ambazo Huwa zinaona kufanya biashara baina Yao ni kuwanufaisha Majirani.

Huu upumbavu upo sana Africa mfano Kenya imeona iwe inaagiza mahindi kutoka Brazil,Ngano kutoka Russia badala ya kuwa na Mkataba wa hivyo na Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…